Search results

  1. leipzig

    Naomba kujuzwa gharama za zege au concrete

    Nina imani hili jukwaa limekamilika kwa maana elimu na ujuzi pamoja na uzoefu vinapatikana hapa. Nina project yangu ya ujenzi ambayo itahitaji zege la kutosha sasa nimeonelea niagize zege la class 25 toka kwenye malori yanayotembeza. Shida yangu kubwa in kujua kiasi cha zege kwenye ule mtungi...
  2. leipzig

    Mateja na malori ya mafuta!

    Kwa muda mrefu sana mateja wamekuwa wakifungua mifuniko ya malori ya mafuta yakiwa kwenye foleni sehemu mbali mbali hapa jijini Dar. Katika kuuliza kwangu ni kwanini polisi hawawazui mateja hao wanapofanya vitendo hivyo hatarishi nilijibiwa eti hayo malori yanakuwa yameshamwaga mafuta na pia...
  3. leipzig

    Kugeukageuka usiku

    Yapata mwezi sasa nimekuwa nageukageuka sana usiku huku nikipata usingizi finyu sana, sina mahali popote mwilini ninaposikia maumivi yoyote. Kitu pekee nilichoona ni kuwa nimeongezeka uzito kwa kilo sita ndani ya miezi saba pengine ni kwa sababu ya kutumia gari sana. Sijachukua jukumu la...
  4. leipzig

    Kuumwa miguu

    Hii hali ya kuwa na maumivu ya miguu imenianza muda mrefu na baada ya kumuona clinical doctor akanishauri nipunguze uzito,umri wangu ni 55 yrs. Haya maumivu yako kwenye ankle na misuli ya miguuni,hivi ni uzito tu au kuna mengine? Naomba ushauri wa ziada kwa vile huu uzito nilionao ni wa asili...
  5. leipzig

    Drones na kibali

    Nimekuwa nasumbuliwa sana na ndege waharibifu wa mazao shambani na hivyo nikashauriwa kuwa naweza kutumia drones ndogo ndogo kwa ajili ya kufukuzia hao ndege waharibifu, sasa je nahitaji kuwa na kibali cha umiliki wa drones? kama ndio process inaanzia wapi? Ni mimi mkulima wa ufuta, mpunga n.k.
  6. leipzig

    Wezi Konki wabodaboda mbaroni

    Walikamatwa Mbwewe wakielekea Tanga baada ya kupora bodaboda mpya huko Tegeta wiki iliyopita kwa kijana mmoja. Baadhi ya bodaboda wameweza kuwatambua wezi hao ambao wako mahabusu kituo cha polisi Mbweni. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. leipzig

    Urgently needed batteries!

    Looking for Lithium rechargeble batteries,at least 100pcs.
  8. leipzig

    Usumbufu wa kupata visa ya Italia

    Serikali iangalie kinachoendelea katika ubalozi wa Italia hapa Dar kwa vile ubalozi umeweka vigezo vya kupatiwa visa, jambo la kushangaza ni kwamba hata ukitimiza hayo masharti waliyoweka bado hawatoi visa tena bila maelezo na hela inakuwa imeenda. Ni kawaida kukuta watu wanalipia maombi zaidi...
  9. leipzig

    Traffic police: Kosa la taa moja ya gari

    Naomba kuuliza "Ni haki kwa askari wa barabarani kutoza faini ya sh.30,000/= kwa kosa la kutowaka taa moja ya nyuma ya brake? Leo hii nimejaribu kumuelimisha askari kuwa hiyo taa moja inaweza kuwa pengine imeungua hivi leo lakini bado akaniandikia faini hiyo bila kunisikiliza.
  10. leipzig

    Maombi ya Hati ya kiwanja

    Naulizia utaratibu wa kuomba hati ya kiwanja, ni hatua zipi na gharama kiasi gani unalipia. Sitegemei kutoa wala kupokea rushwa,ni mpango wa halali bin halali!
  11. leipzig

    Msaada: Elimu zaidi

    Waungwana nimekuja kwenu kutaka ushaur,nina binti amehitimu Form 4 na kwa bahati mbaya hakuchaguliwa kuendelea kidato cha 5 kama ambavo mimi nilivyotarajia. Sasa basi nikiwa mzazi inaniumiza sana,naombeni ushauri
  12. leipzig

    Utambuzi

    Kwa anayelijua hili tunda linaitwa kwa kiswahili na kwa kizungu.
  13. leipzig

    Nampongeza Kangi Lugola

    Kwa kuvunja kamati na mabaraza ya usalama barabarani ya mikoa yote kuanzia leo, bora vyombo hivyo viundwe upya tuanze na moja. Rushwa imefikia peak yaani imekuwa kama ni sehemu ya utendaji kazi kwa askari barabarani kukusanya hela kwa matumizi yao binafsi. Jinsi serikali inavyojaribu kuweka...
  14. leipzig

    Msaada: Nawashwa koo na kukohoa sana baada ya kuingia chumvini!

    Yapata mwezi mmoja sasa nawashwa koo na kukohowa isivyo kawaida baada ya kuingia chumvini. Siku chache baada ya kuingia chumvini kwa binti mmoja alinitaarifu kuuwa alienda kupima afya na kupewa majibu kuwa yuko -ve HIV isipokuwa ana UTI kali ambayo atahitajika kuchanganyiwa dawa mbalimbali ili...
  15. leipzig

    Kikowapi?

    Mange mange mbona sasa kimyaa,achana na serikali ina mkono mrefu. Yaani uhusiano wa Marekani au Israel uharibiwe kwa sababu ya changudoa! Nashangaa sana,apaaa woomi.
  16. leipzig

    Maumivu !!

    Hivi karibuni kuna maumivu nayahisi ubavuni chini ya mbavu panda zote mbili za tumbo. Mara nyingi nayahisi maumivu hayo usiku. nimelala au asubuhi hasa kama jana yake nilikunywa pombe hata kama ni bia mbili tu. Baada ya kuamka kitandani huwa siyahisi tena maumivu hayo. Mwanzoni nilidhani kwa...
  17. leipzig

    Kwa uchakachuaji huu magari hayaponi!

    Leo nimelazimika kutoa petrol iliyokuwa kwenye tank ya gari yangu baada ya kusumbua kwa kuzimazima na kutoa milio isiyo ya kawaida. Fundi akanieleza hali hiyo inasababishwa na petol mbaya ndipo alipoitoa na kulinganisha na petrol nyingine,baada ya kuibadilisha tu gari yangu ikarudi kama...
  18. leipzig

    Nanyi mtakuwa mwili mmoja!

    Nina muda unaokaribia miaka 20 katika ndoa lakini bado napata shida nikikumbuka kiapo hiki cha kuwa mwili mmoja kwamba hakitekelezeki, kiliishia na kinaendelea kuishia kwenye maneno. Nimekuwa najaribu kukitekeleza hiki kiapo kwa vitendo kama familia lakini nimeshindwa. Ninachofahamu ukila kiapo...
  19. leipzig

    Huwa BBC Swahili siwaelewi!

    Unakuta wakati fulani wanafululiza kuzungumzia agenda za ajabu. Kwa mfano unakuta wanajadili kuhusu pedi kwa wanafunzi au ushoga nk nk Hivi wanakuwa wamekosa agenda zingine hadi wazungumzie agenda hizo! unakuta umekaa na wazazi au watu unaowaheshimu halafu ndio wanalianzisha,yaani ni aibu...
  20. leipzig

    Vigezo gani hutumia kwenye kuchagua eneo la kuwekwa taa za kuongoza magari?

    Wandugu naomba kujua vigezo vinavyotumika kabla ya kuweka taa za barabarani. Nimeshuhudia sehemu zenye makutano ya barabara tatu au zaidi lakini lakini hakuna taa za barabarani huku askari wakitaabika kwenye mvua na jua kali.
Back
Top Bottom