Search results

  1. K

    Apigwa risasi akijaribu kuwatoroka polisi

    Risasi ya mguu inauwa?tens mtuhumiwa akiwa chin ya ulinzi na uangaliz was jeshi LA polis?well done polis wetu
  2. K

    Tuwachore

    Ila kwel
  3. K

    Mtifuano Ulaya Leo, Mtoto Halali na HELA

    Hivi tbc2 wataonyesha kwel?
  4. K

    VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

    Bado second half haijaanza?
  5. K

    Dalili za hatari kwenye akaunti yako ya mshahara ni hizi hapa

    Halafu nifanye nn hapa mjini?mbona tunadanganyana?
  6. K

    Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    Jaman jk mbona unafanya mambo kammmmmma unatukomoa?sasa hii nazi unaikabidhi willaya itafanya nn? Kwann usimalize kipind chako kwa aman?una nadharaulika kwa kuwabeba wasiobebeka
  7. K

    Kwa hili serikali hamjatumia akili

    Nunua kifurushi cha mwez uone kama na ww utakua umeongeza tisa,hawa jamaa ni wehu kabisa,lengo lao tushindwe kujadili mambo ya ufisad na hiyo danganya toto la ambon tanga
  8. K

    Kwa hili serikali hamjatumia akili

    Je mnajua ni kwa nn bundle zimepunguzwa? Serikali wamegundua kuwa mijadala mingi ya kimapinduzi inafanyikia kwenye mitandao(haswa JamiiForums)so ili kuizimisha jibu ni kupunguza bundle la internet, haiwezekani lazima haya makampuni wamepewa maelekezo na wenye nchi, iweje makampuni yote yaongeze...
  9. K

    Ving'amuzi vina kamera za kumchunguza mmiliki?

    Duu jaman kuna watu wavivu kufikiri
  10. K

    Kamateni hii kitu kwa faida yenu au kwa usalama wenu ila mtanilipa kwa maarifa haya sawa ?

    Mwana nipe hayo maujanja maana kuna mfanyakaz wangu wa dukan ananitia hasara so nataka nijue anapeleka wap
  11. K

    Basi la kampuni ya Abood limemgonga na kumsababishia mauti mwendesha bodaboda

    Duu kwel kuna watu wa ajab,mi ndo nimeripot hivyo na nimeshuhudia,kama huamin uliza mtu yeyote anayeishi au aliyepita maeneo ya ubungo mida ya saa moja akuhakikishie
  12. K

    Basi la kampuni ya Abood limemgonga na kumsababishia mauti mwendesha bodaboda

    Basi la kampuni ya Abood lililokuwa likitokea Morogoro, limemgonga na kumuua dereva wa bodaboda maeneo ya Ubungo Maji. Inasemekana matairi ya mbele na nyuma yamempitia juu ya dereva wa bodaboda,yaani hatamaniki.Polisi wameshafika kurudisha amani.
  13. K

    Taarifa ya Startimes na TCRA kuhusu ukweli wa tatizo la ITV na EATV katika Startimes

    Hapo ndo wadanganyika tunapowezwa,sio ajab kuna watu wameridhishwa na hayo majib
  14. K

    Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

    Wise respond,thanx eiyer,m waiting
  15. K

    Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

    Cjaelewa,huyu jamaa alikua mchaw?
  16. K

    Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

    Jamani naomba kupata historia ya mtu mmoja aliyeitwa mwanamalunde,kwa wenyeji wa mwanza nadhan ndo watakua wanamkumbuka zaid
  17. K

    Naomba Msaada tatizo la Internet kwenye Huawei Y530

    Mwana naomba nisaidie ku unlock huawei y530 ya tigo ili niweze lutumia line zpte
  18. K

    VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA) wahukumiwa kifungo

    Hii inanikumbusha kondoo wa kafara. Dhambi wafanye wengine kufa wafe wengine wasio na hatia TANZANIA NCHI YANGU
  19. K

    Kinyozi afanya tukio baya/wanted

    yan ww ni m.k.u.nd....u kwel yan se... ,,,nge
  20. K

    For the lazy ass dudes

    mbona kama unawasema wanawake wenzio maana takwim zinaonyesha 78.426% ya wanawake nchin wana vitambi
Back
Top Bottom