NAMUUNGA mkono kabisa mheshimiwa maana na mimi pia na dada yangu kama sio Kanisa leo, hivi tungelikuwa hai, sidhani. Na kama tungelikuwa hai tungekuwa kijijini tukijiliwaza kwa dadiii, gongo, ulanzi, mbege na kangara saa za kazi maana tusingelikuwa na kazi.
Tunamshukuru sana Askofu Moshi wa...
TAFAKARI. Hivi kuna mtu mwenye utu, akili, busara na hekima anayeweza kukataa zuri akakubali baya; au wema akakubali maovu; au la faida akakubali la hasara na la ibada akakubali la ukafiri ?
Haiyumkiniki iwe hivyo ila pale palipo na sababu maalum, iliyofichwa na inayojengewa ajenda ya...
KATIKA dunia ya leo ni vizuri kupata ushauri wa wateja au watumiaji huduma au bidhaa fulani endapo unataka kufanya mabadiliko yoyote ya msingi.
ZOEZI la kusajili namba za simu lingelikuwa rahisi sana kama haya yangelifanyika:
1. Fomu za kujazwa ziwe kwenye ofisi za Mwenyekiti wa Mtaa...
Waislamu wa MMmasjid Hawa Buguruni wanadai kwamba kuna njama imefanyika kati ya Kanisa na mfanyabiashara mmoja jijini ambaye kauziwa kiwanja kilichokuwa sio mali ya Kanisa ili kuepusha kujengwa msikiti karibu na eneo hilo.
Ingawa mahakama tayari imetoa oda (injunction) ya kusimamisha ujenzi wa...
HABARI za kuaminika zilizochapishwa katika magazeti mbalimbali nchini hivi leo zinasema kwamba Viongozi wanne wa chama cha Mapinduzi wanamshtaki Bw. Said Kubenea, Mhariri wa gazetil lililosimamishwa na serikali ya Chama hicho kwa madai ya uchochezi ambayo hayakupitia polisi wala mahakamani...
I think this is a pre-independence product, child, if not my God bless him or her!
same excuses, same scapegoats and such a hatred for a very,very white and opaque ttuth.
Has he or she ever been to the rural areas and find for self how hardhit is the ordinary Tanzanian.
For a job...
Mbunge,
ACHA kuota ndoto za mchana. CCM iachie mikoa? Wenyewe si unaona ni product ya recycling toka enzi za Uhuru na hawana lolote jipya.
Ukitaka maendeleo ya kweli ni lazima tuwe na decentalization na wakati huo huo inegration ndani ya kitu kikubwa zaidi. Hili lina faida kubwa ya kila...
NAOMBA Bunge letu tukufu liwe linaheshimu sala lya Ijumaa. Je, wabunge ambao ni Waislamu mnaburuzwa au ndio walewale ambao wanauonea aibu Uislammu wao. Hivi nyie mnamuogopa Mungu kweli au ni wanafiki!!
NAAM, sasa nadhani nimejua kwanini kuna baa zinajengwa karibu na misikiti au kanisa; kwanini nguruwe wanafugwa jirani na Waislamu; kwanini magesti hausi yako nyuma ya makanisa na mambo kama hayo.
Hivi Waziri Mkuu na Spika naye hawakujua kwamba Ijumaa iliyopita yaani tarehe 30 Agosti 2009...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.