Search results

  1. J

    Zitto: Namkubali Rais Magufuli asilimia 100, sizitaki tena siasa za vurugu

    Wizara ya Nishati na Madini haina Waziri mpaka sasa. Hadi nafasi hiyo ijazwe tutasikia mengi. Huu ndio ukweli.
  2. J

    Line za Tigopesa, M-pesa, Airtelpesa na halotelpesa zinahitajika

    NB: UPDATES Wakuu, naomba kuchukua fursa hii kuwapongeza wote waliofanikiwa kuwasiliana nami kuhusu hitaji langu la lines za wakala. Hatimaye nimefanikiwa kupata lines zote, na hivyo nawashukuru sana. Ahsanteni sana.
  3. J

    Line za Tigopesa, M-pesa, Airtelpesa na halotelpesa zinahitajika

    Wakuu, Bado sijafanikiwa kupata. Nimejaribu kuwaandikia kwa pm lakini hakuna majibu mpaka sasa. Simu pia nikipiga hazipatikani. Mwenye line hizo tajwa naomba tuwasiliane kupitia 0715060229. Ahsanteni.
  4. J

    Line za Tigopesa, M-pesa, Airtelpesa na halotelpesa zinahitajika

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nina jamaa yangu anahitaji line tajwa hapo juu. Anapatikana Dar es Salaam. Siyo lazima uwe na line zote. Hata kama una 1 au mbili kati ya hizo lines unaweza kuwasiliana naye kupitia pm hapa hapa JF au email address: lindinachingwea@gmail.com...
  5. J

    RE: kiwanja kinauzwa bei poa Busweru Mwanza

    2.5m offer yangu
  6. J

    Mume wangu amejua kuwa namsingizia mtoto, lakini pia ameshindwa kumkataa

    Dada, Kwa usalama wa mwanao na wewe omba talaka. Hali hiyo inamuathiri mwao kwa jinsi ya hatari hasa kwa siku za baadaye. Kumbuka si mmeo wala ndugu zake mwenye upendo na huyo mtoto na hata wewe tangu uliposhika ujauzito, hivyo hujui kinachopangwa dhidi yako wewe au mwanao. Kumbuka wale ndugu...
  7. J

    Hoteli Nzuri Mwanza (TZS 20,000-30,000) kwa siku

    Thanks so much will come back to you.
  8. J

    CRDB semeni ukweli

    Mkuu sio CRDB pekee, Benki nyingi zimesitisha mkopo kwasasa lakini hawawezi kusema, kwani ni agizo toka kuleeee!!!! Benki pekee inayoweza kukupa mkopo kabla hawajaacha kwasasa ni NMB. Mengine sina taarifa, lkn kwa CRDB usiendelee kupoteza muda, kwani kwasasa hawatoi tena mikopo.
  9. J

    Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

    Airport.
  10. J

    Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

    Mkuu Kabas, Kati ya hizo mbili ipi iko poa zaidi na location ni wapi? Nitakaa hapo zaidi ya wiki, hivyo nahitaji sehemu tulivu ili niweze kufanya majukumu yangu. Naomba usinichoke tafadhali nisaidie hizo taarifa Mkuu.
  11. J

    Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

    Mkuu Elungata, zipo sehemu gani pale Mwanza tafadhali?
  12. J

    Hoteli Nzuri Mwanza (TZS 20,000-30,000) kwa siku

    Kati ya hizo ipi ambayo iko vizuri zaidi ukirejea mahitaji yangu na gharama ni shs. ngpi Mkuu? Je na location ni wappi hapo Mwanza? Naomba univumilie mkuu kwa maswali zaidi.
  13. J

    Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

    Dinazarde Ahsante sana. Hapo Renana iko wapi hapo Mwanza?
  14. J

    Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

    Bei ya Hotei ni Tshs. Ngapi kwa Mwanza? Mbona hata Dar na Arusha zipo Hoteli nzuri kwa hiyo bei? Naomba msaada wako kama ipo sehemu nzuri unayoijua kwa hiyo bei na inakidhi hivyo vigezo tafadhali.
  15. J

    Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

    Ahsante sana Mkuu. Kama kuna nyingine tafadhali naomba unisaidie taarifa zaidi.
  16. J

    Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

    Ndiyo Miss Natafuta.
Back
Top Bottom