Search results

  1. C

    GET YOUR OWN FREE WEBSITE !(anyone can have a website)

    Yeah, since when does anything free have a discount?!
  2. C

    Tanzania yakataliwa kuuza pembe za ndovu!

    Haya ndiyo matunda ya usanii wa Serikali yetu. Ilikubali KUZUIA uwindaji haramu wa tembo. Badala yake ikaridhika tu KUWAKAMATA majangili wanaoua tembo na kuwanyang'anya nyara ilizowakuta nazo.Ushahidi (Exhibits) ndiyo hilo lundo la meno; la sivyo ieleze meno hayo yamepatikanaje. Haijafanya lo...
  3. C

    Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

    Sijaipata sawasawa.Tupeni hotuba yake tusim"quote" out of context. Vinginevyo hatujamwelewa anataka kusema nini.... Au kulikuwa mvinyo pale??? Ni sawa na mwizi anayasema yake kamba tu, mbuzi aliye mwisho wa kamba kanasa mwenyewe!!!!
  4. C

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    "Waisalamu wajaziwe" kwa kigezo gani?! Uislamu tu, au uwezo wao? Tusipoangalia, Udini mtupu hapo.... Na hicho ndicho chanzo cha mada yenyewe hii....
  5. C

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    "Waisalamu wajaziwe" kwa kigezo gani?! Uislamu tu, au uwezo wao? Tusipoangalia, Udini mtupu hapo.... Na hicho ndicho chanzo cha mada yenyewe hii....
  6. C

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Ongeza Ponsian Nyami, Mbunge wa Nkansi. Hakuonekana Bungeni kwa miaka 3 alipoenda kusoma akiwaacha wananchi bila Mwakilishi. Sheria zetu bwana... Toka arudi hana lo lote....
  7. C

    Rais Kikwete kuwasili Houston na msafara wa kitajiri Oktoba 3

    Lo. Mpaka huyu Sind Bad aondoke IKULU, NCHI ITAKUWA IMEFILISIKA! Sijui tufanyeje.
  8. C

    Vigogo zaidi wa BOT watinga kortini

    Hajajulikana? Na mashitaka yameandaliwa vizuri? Mchezo wa kuigiza uishe jamani.
  9. C

    Mkutano wa Waislam Mnazi mmoja - Kura ya kundi inaleta maana?

    Kwa Mashehe waliokuwa Mnazi mmoja, wenye dini nyingine ambao wao wanawaita makafiri, si Watanzania au ni second class citizens. Hivyo wao Waislamu ni wengi zaidi, au wana haki zaidi kuliko wote!!!!!
  10. C

    Mkutano wa Waislam Mnazi mmoja - Kura ya kundi inaleta maana?

    Jamani... Hawa Masheik na wafuasi wao Waislamu hawataki kukabili hoja... Badala ya kuushambulia ufisadi, wanaelekea kushambulia Serikali na kanisa tu... Naomba Mungu huo usiwe msimamo wa Waislamu wote. Kama kuna mwenye Waraka wao huo, atupostie hapa tuuchambue zaidi ya kuamini matamko tu...
  11. C

    Mafisadi wengine ni hawa

    Ni kweli ndugu yangu. PPF inanyonya wanachama na kunufaisha wasio wanachama kama huyo uliyemtaja. Imulikwe. Lakini angalia usijeburuzwa kortini kwa kutaja majina hata kama utadaiwa shilingi moja kama Bwana Mengi. Pia chunga wazee wa Yanga wasikuweke kwenye luninga ukashindwa kuwajibu!
  12. C

    Mlipuko wa mabomu;laana ya deci??

    Hapa hakuna laana. Ni uwoga wa Serikali zetu wa kupinduliwa. Toka 1961, wanajeshi walianza kusambazwa kila kona ili isitokee kambi yo yote yenye nguvu ya kuweza kupindua serikali, kama ilivyotaka kujitokeza wakati ule. Wamefika mpaka kuishi uraiani. Wakati wa chama kimoja, siasa ikaingizwa...
  13. C

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Hivi sheria ya vyombo vya habari ndiyo basi? TUNAZUNGUKA KAMA "TENGALUZI" YA DR(???) MZINDAKAYA!
  14. C

    April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    Jamani, huko jeshini ni salama? Kwa nini wakuu wakae kimya? Inatatanisha. Sijui zimetulia hizo bomu, au tuendelee kuchukua tahadhari?
Back
Top Bottom