Search results

  1. ERoni

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Naona kimasihara bado zinaendelea, hongereni vijana.
  2. ERoni

    Never date a girl who can't respect your wife

    We can't date our wives only, it's tiresome and boring. Allow us to date a few more girls.
  3. ERoni

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Unachojutia hapo nini, mbona uzito wa kawaida sana huo...tafadhali usipunguzwe hata kidogo ili furaha ifikie kilele🤣🤣
  4. ERoni

    Mara ya mwisho kupima uzito ulikuwa na kilo ngapi?

    Hii inathibitisha kwamba pakushika papo...that's what I like🤣🤣
  5. ERoni

    DART kuchukua hatua dhidi ya Dereva na Wasimamizi wa Mwendokasi waliowapeleka Abiria Morocco badala ya Kimara

    Madereva bado wana mentality za daladala, kuwatoa hizo fikra ni ngumu sana.
  6. ERoni

    Ombaomba kuna ujumbe wenu huku

    Hela zina kazi nyingi sana mama, haitolewi kizembe, hadi nione "value for money"! Lakini sitoi ili kubadilishana na papa, huwa sinunui direct🤣
  7. ERoni

    Nimeiona Meli Mpya ya Karne ya Mwaka 2024 -Mwanza, Jaribu kulinganisha na MV Victoria ya Miaka ya 1974 na utoe maoni yako

    Hongera kwa engineers, designers na waliohusika na kuiunda meli.
  8. ERoni

    Ombaomba kuna ujumbe wenu huku

    Umenichekesha sana legend. Hela na iheshimiwe na kila mtu.
  9. ERoni

    Mchezo wa sabuni unanitafuna taratibu, naomba msaada niache

    Hapa duniani, kila kitu kinahitaji kufanywa kwa kiasi. Fikiria kula, yaani kula ni LAZIMA ila ukila kupita kiasi ni tatizo. Shida yako umepiga mkono kupita kiasi.
  10. ERoni

    Baada ya kifo!

    Hizi ni nadharia tu, kupeana moyo kwa ajili ya yasiyojulikana. End of man is death, baada ya hapo unachanganyikana na udongo kwa ajili ya viumbe wengine waliopo hai.
  11. ERoni

    Kwa mara nyingine leo hili jambo limenifanya nijisikie vibaya sana moyoni

    Usafiri wa umma na hasa daladala ni kero na laana kubwa sana. Ni basi tu hatuna magari binafsi ila asubuhi ukifika stand ya daladala unatamani kurudi home.
  12. ERoni

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Hii mali huwa nikiiona huko mitandaoni nashtuka, hizi ndio pigo zetu sasa
  13. ERoni

    Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

    Imagine na uzee huu kuna siku nashtua na mkono🤣🤣
  14. ERoni

    Niliyoshuhudia leo, kama sio lazima usipande bodaboda

    Sio bodaboda tu, hata wewe mwendesha gari, mtembea kwa miguu nk kuimaliza siku na kurudi home kw wapemdwa wako ni kushukuru tu, huko barabarani na mitaani kuna mabalaa mengi sana.
  15. ERoni

    Niliyoshuhudia leo, kama sio lazima usipande bodaboda

    Binafsi kwa hili la bodaboda naipa serikali lawama kwa 80%.
  16. ERoni

    Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

    1. Mayai matatu 2. Kitunguu kimoja 3. Nyanya mbili 4. Mafuta na chumvi. Five minutes mboga imeiva, ugali unasongwa ghetto linachangamka.
  17. ERoni

    Msingi wa Ikulu ya Dodoma, ulitumia nondo za Tsh. Bilioni 1

    MMM angeleta mchanganuo wa ujenzi wote, shida ya wapinzani kuna wakati wako busy kuokoteza vineno viwili vitatu na kujenga hoja dhaifu.
  18. ERoni

    Mwanamke hakuumbiwa majukumu, ni Shida tu.....

    Mwanamke ni msaidizi, unajua kazi ya msaidizi? Unajua CEO huwa anafanya kazi chache sana kulingana na wasaidizi wake? Siku zote msaidizi ana majukumu mengi kuliko kiongozi wake. Hata dada(house helper) anafanya kazi nyingi kuliko bosi wake na huyo ni msaidizi tu. Bottom line, let women work...
Back
Top Bottom