Yule mzee katoweka kabisa .. binadamu siye hakika wa kumwamini ni Mola tu .. ufahari wote ule kwenye ugonjwa haonekani ... Mwenyezi Mungu tuepushe na maradhi ya sihr
mm nadhani wakumlaumu ni mume wako, usikurupuke na wanawake wenziyo kwani nao wametongozwa kama ww, you should have a long talk with your man .. find out what he wants in those women .. mhh watatu kazidisha nawe unachekelea ... umekula kwako bibi
kilichokuudhi ni kukosa kupata taarifa za mtoto au una wasiwasi kwamba mumeo amerudiana na housegirl? what i would think ni kwamba mumeo kwa sasa hana akili nzuri .. hawezi kutulia na kukupangieni maisha ya baadae maana expenses zake ni kubwa, anasehemu nyingi za kutoa huduma .. so what you do...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.