Search results

  1. ameline

    Soda zinazeesha

    Inawezekana nini[emoji38]
  2. ameline

    Msaada jinsi ya kupika bata

    Habari zenu machef wa JF naombeni msaada njia gani rahisi ya kumpika bata awe mtamu. Sijawahi kula bata kabisa wala kumuandaa. Mwanangu kashinda mashindano ya michezo huko shule akapata zawadi ya bata sasa sijui pa kuanzia maana nasikia hapikwi kama kuku. Naombeni msaada kuanza kumnyonyoa vipi...
  3. ameline

    Kwa wenye kampuni za utalii Arusha pamoja kijana mzoefu na volunteers

    Kuna mdogo wangu mdada ana agents wake huko nje ya nchi ambao humletea wageni.sasa anahitaji mtu ambae ana kampuni ya utalii ambayo ina sifa zifuatazo; -iwe na uzoefu wa kufanya kazi na volunteers -iwe na apartment(nyumba ya.kulaza wageni) - iwe ni kampuni ndogo ambayo ndo inachipukia isiwe...
  4. ameline

    Namchukia mume wangu kwa sababu amenifanya niwe malaya

    Jamani habari zenu. Leo nimetoka kanisani nikamkuta mgeni nyumbani kwangu muda wa saa mbili asubuhi.naanbiwa alifika tu nilipotoka ile kumi na mbili kasoro.si mwingine bali ni bint ambaye nilisimamia ndoa yake mwaka jana mwezi wa kumi na moja ana mtoto mmoja na umri wake ni 26yrs...
  5. ameline

    Majina ya usaili Halimashauri ya jiji la Arusha yametoka

    kwa wale wadogo zangu waloomba nafasi mvalimbali katika halmashauri ya jiji la arusha nimeona majina yenu tembeleeni www.arushacc.go.tz/ kuna ndugu yangu nae kabahatika kazi kwenu mjitahidi kwenye maswali sasa.
  6. ameline

    Naweza kuwasiliana whatsapp bila kuonesha namba yangu ?

    Wataalam salam kwenu.hebu niambieni kama kuna uwezekano huo.naweza kumtumia mtu ujumbe kwenye whatsapp bila yeye kupna namba zangu? au naweza kuweka namba yangu invisible asiitambue?
  7. ameline

    Sasa wezi wa mabwana kukiona

    Jamani wezi wa mabwana za watu mmesababisha kuwepo vikundi kama hivi. Kwa Arusha sijasikia wala kuona labda mikoani. TANGAZO TANGAZO TANGAZO LAURAPETTIE a.k.a LP MSUTORING THEATRE GROUP Hiki ni kikundi cha kukodi kwa ajili ya shughuli za msuto. Tuko akina dada watano tu na tuna vifaa...
  8. ameline

    Natafuta matango pori(KARELA)

    kwa yeyote atakayeisaidia wapi nitapata Karela tafadhali.nipo Arusha ila hata wa mikoani nitapokea tu.tafadhali nijulisheni ama mwenye nayo anijulishe.asanteni.kwa ushirikiano wenu.
  9. ameline

    Msaada: Huduma ya kwanza kwa mtu aliyelewa kupindukia

    Ndugu zangu,kuna wifi yangu amekuja kunitembelea amekunywa dompo akachanganya na konyagi sijui kama kuna vingine maana hizo ndo naziona.amelewa sana mpaka amezimia.mim si mnywaj so, sijui hata nimpe nini kikate kilevi.ametapika sana kabla hajazimia nlichofanya nimempa huduma ya mtu aliezimia tu...
  10. ameline

    Nauza Laptop Dell Latitude 5400, ina tatizo

    Habar zenu wandugu. niliwahi kuomba msaada hapa kuhusu laptop yangu iloungua IC ila sikupata suluhu. naiuza kwa yeyote anaeweza kuichukua hasa kwa mafundi. ram 2gb hdd 250 naomba mniambie bei jamani.kuna anaetaka ram na hard disc. sasa sijui nimuuzie bei gan wataalam nisaidien.kama...
  11. ameline

    Kampuni ya MOBISOL Arusha

    Habari zenu wakuu, Naomba anaefahamu zilipo ofisi za kampuni hii ya wajerumani inayohusika na usambazaji wa umeme wa solar kwa hapa Arusha anisaidie.Hata contacts zao jaman nimegoogle sioni chochote kwan website yao haijitoshelezi..Ahsanteni kwa ushirikiano wenu.
  12. ameline

    Natafuta harrier nyeusi ya kukodi kwa ajili ya harusi

    Kwa hapa Arusha mwenye harrier nyeusi aache namba ama anipm tafadhali.Ndo hitaji la bwana harusi hata akishauriwa abadili gari hataki. Naona ndo fantasy yake natakiwa jibu kikaoni kesho.Tafadhali sana anaejua ninapoweza kuipata hapa Arusha .
  13. ameline

    Naombeni series nzuri nzuri za Kikorea

    Jamani mimi ni mpenz wa series za kikorea niambieni nzurinzuri kama Giant hivi ama east of eden ama scandal nataka za sampuli hii za.kifalmefalme sipend sana.napenda za visasi na mkono kidogo. asanteni
  14. ameline

    Samsung GT- ACE 5830i

    habar wandugu.. Samahan kama nitakua nimekosea kuiname hiyo simu.. hii simu jamani nikirecord video baadae nikizitafuta sizioni kabisa..nimeenda mafaili yoote sizioni ila picha naziona..anaejua kwenye hii simu zinajificha wap jaman anisaidie..ninayo samsung galaxy tab naziona bila shida ila...
  15. ameline

    Ushauri ya Interview Utumishi

    Habari zenu wandugu. Kuna wifi yangu nimeona jina lake ameitwa kwenye interview tarehe 7 huko Dar wizara ya afya na ustawi wa jamii..Ndo kwanza amejifungua jana tena kwa kisu sasa jamani naombeni kuuliza anawezaje kuipata haki yake ya kufanya hiyo interview kwa baadae maana kwa hali aliyonayo...
  16. ameline

    Mfanyakazi wa Ndani Anahitajika Haraka Arusha

    Habari zenu jamani hope mko poa, Ndugu zangu nawashukuru kwani kuna watu wapo serious hapa nilishatafuta mfanyakazi hapa nikapata. Sifa za mhusika umri kuanzia miaka 18 msichana mwenye maadili ya Kitanzania (sitaki sistadu) elimu kuanzia form four, awe single (asiwe na mume) kazi za kufanya...
  17. ameline

    Ukomo wa damu baada ya kujifungua

    Habari zenu ndugu wana JF wa jukwaa hili.. Nimejifungua watoto mapacha mnamo tarehe 15/4/2014 mpaka leo bado damu inatoka ingawaje ni vimatonematone.nauliza jamani kwani ni uzao wangu wa kwanza..ni sawa mpaka sasa damu/uchafu kutoka ama nina tatizo? Na je kawaida damu/ hukata baada ya muda...
  18. ameline

    Ameline:Namshukuru Mungu amenipa twins wa kike!

    Jamani ndugu wana MMU labour siyo mchezo jamanii duu..hasa sie wa mapacha kila mtoto ana uchungu wake..namshukuru Mungu wa mbinguni nimejifungua salama salmini..kazi kwenu kunitafutia majina... cc: miss chagga, defend or die, excel, na wengineo! ONE LOVE!
  19. ameline

    Hadithi ya kusisimua: Kosa langu ni lipi?

    Sehemu ya kwanza Ilikuwa ni siku ya jumanne mida ya saa kumi nambili jioni Mzee Ndesanjo alikuwa akiendesha gari aina ya Eskudo. Alifika nyumbani naharaka alishuka ndani ya gari kitendo cha kuingia ndani tu alianza kuita kwa sauti "Mama Joyce MamaJoyce" huko chumbani Mama Joyce alimsikia...
  20. ameline

    Ajali mbaya yatokea Hedaru Same..watu 10 wafariki papo hapo

    Ajali mbaya imetokea Hedaru-Majengo same ambapo watu 10 wamefariki dunia papo hapo ambao ni wanawake waliokua wanaenda msibani na kadhaa kujeruhiwa..baada ya gari lao double cabin kugongwa kwa nyuma na lori lililokua likitokea moshi kuelekea chalinze. majeruh zaid wamekatika viungo kwa kulaliwa...
Back
Top Bottom