Search results

  1. Penny

    Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na mama yake wahamia CHADEMA kutoka CCM

    Welcome madame, umenifanya mpaka leo nikakumbuka password ya JF!:):):)
  2. Penny

    Kwanini T. B. Joshua kaikanyaga ardhi ya Tanzania Pekupeku?

    Jamani wapendwa hio ni design ya viatu.
  3. Penny

    wanaume wananafasi kubwa sana kwa wanawake

    Jamani kwani mwanamke si ametoka ubavuni mwa mwamme? au hilo hulijui? Hio kitu ni kwa wote. Hata wanaume ni vivyo vivyo kama wanawake. Sema tuu sisi wanawake tuna hisia kali na ni waoga. Wasiwasi wa huyo binti ni kuogopa bigudha na kuhofia asionekane changudoa fulani. Upo hapo the Zekidon!!
  4. Penny

    Editing scanned documents

    Hello everyone, Naulizia ni jinsi gani naweza kufanya scanned document editable. Msaada tafadhali. Wasalam.
  5. Penny

    Free calls

    Hello everyone, I wanted to call USA for free from my mobile!!! What should I do.
  6. Penny

    Isbn...

    Asante kwa ushirikiano wako ndugu, Ila nimeshindwa kufungua. ISBN no ni 9789127412132 Nijaribie please.
  7. Penny

    Isbn...

    Za leo wapendwa, Jamani naombeni msaada, eti mtu anawezaje kufungua kitabu kutumia ISBN no ya kitabu? Mjuzi anijuze jamani. Asanteni :confused:!
  8. Penny

    To unlock locked new smartphone!!

    Ok asante ntakutafuta kaka.
  9. Penny

    To unlock locked new smartphone!!

    Yani ndugu yangu sijakuelewa kabisaa
  10. Penny

    To unlock locked new smartphone!!

    Ntashukuru sana ndugu, Hio simu nililetewa kutoka Sweden, ni aina inaitwa Sumsung galaxy pocket. Ziko mbili na details zingine ni IMEI:359078/05/288528/5 -Comviq -Sweden IMEI:359078/05/286916/4 -Comviq -Sweden Asanteni kwa msaada wenu.
  11. Penny

    To unlock locked new smartphone!!

    Za leo waungwana, Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock locked phones. Nimenunua smartphone ambayo iko locked. Asanteni kwa msaada wenu.
  12. Penny

    Mbinu za kumweka mmeo kiganjani kabaaaaang

    Asante ndg mpendwa kwa mafunzo hayo...ila hawa wenzetu hawatabirikagi. Unaweza kuwa una perform all those vipengelez ila baaadooooo akatoka njee. Ngumu kweli kuwaelewa.
  13. Penny

    Wanaume hujali vitu vipya tuu !!

    Tell them smati, ama kweli wewe smati. Yani leo umenikuna mpaka basi.
  14. Penny

    Heeeeeeeellllll ppppppppp!

    Za leo wandugu, Jamani naombeni msaada, mwanangu wa ana 4 months ila anasumbuliwa sn na mbaa mwingi kichwani, kapimwa damu kakutwa na deficiency of Zinc minerals. Na kwa sasa yuko kwenye doze for one week...but no improvement kichwani. Ila sehemu zingine za mwili zimeanza kurudia hali yake ya...
  15. Penny

    JF wamo wanaopenda ?????????????????????

    Shem wee acha tuu...malezi si unajua tena! kwani Balant..hamjaonana hivi karibuni. Asante kwa salamu za cuppy na tuzidi kuwasiliana.
  16. Penny

    JF wamo wanaopenda ?????????????????????

    Haswa my shem shem...vp cupcake(my sis) hajambo? Mpe hi sn naona majukumu yamembana.
  17. Penny

    Nifanye nini...

    Jamani asanteni sana kwa walionipa moyo. Maana naona kama wengine wanadhani na joke vile. Niko nchi za nje, nijibu swali kwa walioniuliza. Uoga lazima uupate kama ni kwa mara ya kwanza. Mimi niliitaji mtu mwenye uzoefu au Dr. kabisa anieleze jinsi huwa. Ila nashukuruni sn. Will let u know when...
  18. Penny

    Nifanye nini...

    Za leo wandungu, jamani naombeni mnisaidie mimi na kitu shingoni kimevimba na natakiwa kufanyiwa operation. Ila kila mda ukifika na cancel nakuweka tarehe nyingine. Shida yangu kuu ni kuogopa kaputi. Nisaidieni jamani, hivi eti kaputi huu ua na ni nini nifanye ili nitoe huu uoga. Naukiwekewa...
  19. Penny

    Afadhali changudoa

    Tuache propaganda mwanauume pochi bwana na kuchunwa ndo raha yake hata kuutwa MWANAMUME. Ila kwa ayafanyayo huyo mwenzetu ni umalaya tena ule wa kumumaliza mtu. Hafai huyo tupa yeye kwenye dustbin.
  20. Penny

    Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

    Jamani nani mwenye mpya za mtu wetu dr. Slaa! Nimeona kwa kifupi tuu kuwa kavunjika mkono.
Back
Top Bottom