Search results

  1. T

    Timu ya Kampeni ya Pinda Mizengo Wasambaza Waraka Makanisani

    Atakaye mpigia kura Pinda na yeye kapinda.
  2. T

    Rais bora atatoka CCM - Mwalimu Nyerere

    Bora raisi atatoka CCM
  3. T

    Waraka Wa Jaji Warioba kwa Wassira

    Mzee huyu amekaa vizuri sana nampenda.Bravo mzee Warioba.
  4. T

    Lowassa afuata upako kwa 'Nabii' wa Nigeria

    Ngoja nao wakatolewe kafara!
  5. T

    Msaada: Baba amekuwa "mtumwa wa pombe", familia inaangamia

    Mmm,hii kali, yaani ya kipepo kabisa!
  6. T

    Una uhakika gani kwamba TB Joshua ni nabii fake?

    Aloo umekomaa kweli,utadhani TB Joshua sio nabii fake, he is.Yeyote anayetoa unabii usiotimia ni nabii fake.Ameshatoa nabii ambazo hazikutimia.Hiyu ni characteristic moja tu ya nabii wa uongo,Zipo nyingi ambazo anazo.Sikio la kufa halisikii dawa.
  7. T

    Maajabu: Kutana na mwanaume aliyetembelea mbinguni mara nne na kuchora ramani

    Wajinga tu ndio wanaoweza kufikiri jambo linawezekana.It's completely against BIble teachings.
  8. T

    Wastahafu ambao hawajasafirishwa kwenda makwao serikali itawasafirisha lini?

    Lipo jambo la kushangaza ambalo jamii, vyombo vya kisheria na asasi za kiraia zimelifumbia macho. Wapo wazee waliostahafu mpaka hata miaka mitatu iliyopita lakini mpaka leo hawajasafirishwa,kwa maana kwamba hawajalipwa nauli ya mizigo na likizo ya mwisho. Upo mpango wa kuipeleka serikali...
  9. T

    UKAWA wanachotaka ni Vyeo, Maslahi ya Wananchi Geresha tuu

    Na CCM wanataka nini.Watanzania kweli hamnazo.Hivi lazima uandike thread.Yes, Tanzania ni ya tisa kwa ujinga kutoka nchi ya mwisho.Kwa jinsi hii ni sawa kabisa.
  10. T

    Kikwete na TCD wakubaliana kurekebisha Katiba iliyopo! Katiba Mpya hadi baada ya 2015

    Sijawahi kutoa comment yeyote juu ya mwenendo mzima wa mchakato wa kuandika katiba mpya.Ilikuwa ni kichekesho na aibu kwa Tanzania.Ilikuwa inaleta kichefuchefu.Ni kama Watanzania wote ni mataahira hivi.Ninachojiuliza ni kwamba,watu ambao hawakutumia busara kabisa,na kufanya upumbavu wote huu na...
  11. T

    Mtanzania wakawaida hana pakwenda kupata haki yake

    Ukiangalia haraka haraka utaamini kwamba vyombo vya kutoa haki vipo kwa ajili ya Watanzania wote.Hata hivyo uchunguzi wa karibu proves otherwise.Ulipuaji wa mabomu unaoendelea Arusha ungedhani somebody would be aprehended and procecuted.Lakini ni hadithi ile ile ya watu wasiohusika kabisa...
  12. T

    Bajeti Mbadala: Deni la Taifa limevunja rekodi, linatishia uchumi na usalama wa nchi!

    Kama kuna upofu huu ni upofu kweli kweli,pole.Hivi mnapata nini hasa mnapotetea mambo ya hovyo,mnachumia matumbo eeh?Watu wazima hovyo.
  13. T

    Serikali imeshindwa kulipa wastahafu wake.

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida serikali ya CCM imeshindwa kulipa wastahafu wake.Taarifa za ndani kutoka Wizara ya kilimo kitengo cha Utafiti zinaeleza kwamba wastahafu waliostahafu tangu mwaka wa jana hawajalipwa nauli zao za mizigo na likizo ya mwisho.Hii inashangaza kwa vile hela zenyewe sio...
  14. T

    Uhusiano wa kanisa na bendera hasa ya Marekani

    Kwa mtu wa kawaida si rahisi kuona uhusiano huo,lakini upo.Umesema mahali fulani kwamba au inawezekana uwepo wa bendera hiyo ina maanisha kukubaliana na sera za taifa hilo?Upo sahihi kwa asilimia kubwa.Kama wewe ni mchunguzi utagundua kwamba kila alama iliyoko kwenye bendera ya Marekani ina...
  15. T

    Maajabu: Eti hataki tufanye hadi nimuoe kwanza!

    Anachofanya binti huyo ni sahihi kabisa.Kwanza unasema unaweza ukamuoa,je usipomuoa itakuaje.Hivi nikuambie kitu,kama kweli unampenda msubiri,huyo ni mwanamke bwana,hataki ujinga,hicho ni kifaa.Remember anayekubali ngono kabla hujamuoa ni cheap.
  16. T

    Serikali yashindwa kuwalipa wastaafu wake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida serikali imeshindwa kuwalipa wastahafu wake nauli za mizigo na likizo ya mwisho. Inashangaza zaidi kwa vile hela yenyewe sio nyingi kiasi hicho.Wizara ambayo tuna hakika inahusika ni ya Kilimo kitengo cha Utafiti. Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu hakuna...
  17. T

    Ni vizuri kufahamu maana na asili ya jina lako!

    Text na title ya thread mm.Jitahidi next time.
  18. T

    Abdallah Bulembo: James Mbatia hana shukrani

    Kweli dunia hii imejaa wajinga.Kwa hiyo Bulembo anataka Mbatia auze uhuru wake kwa ajili ya tumbo kama yeye.Ndio sasa ajue kwamba kama yeye ni mchumia tumbo,sio wote.
  19. T

    Wakati baba yake akitangaza kuingia msituni mtoto wa Komba ajiunga na CHADEMA

    Kama Zitto.Tuliwashauri CDM lakini hawakusikia,they have paid heavily.
Back
Top Bottom