Search results

  1. E

    Car4Sale Magari mbalimbali mazuri yanayouzwa leo

    Mkuu siku ukipata Premio 1.5F prime green selection ya 2011 or 2012 either registered or unregistered uni-pm tufanye biashara.
  2. E

    Nimepokea barua ya Invitation (Norway) napataje VISA?

    Inabidi uombe tourist visa na ubalozi wa Norway kwa sasa uko Nairobi. Ila kwa sasa tourist visa hutaweza kuingia Norway kwa sababu ya mambo ya COVID-19. Inabidi uvute subira kidogo mpaka mwaka kesho labda.
  3. E

    Kiwanja kinauzwa Goba

    Nina shida na kiwanja Goba ila kiwe maeneo yasiyovuka "round about " kuja masana! Square meter 800 hadi 1200! Nitapata?
  4. E

    Watumishi 450 washinda rufaa ya vyeti feki, hakuna mishahara mipya

    Kiwango cha uchapaji kazi kwa mtumishi wa UMMA kinapimwa na nani?! Kuna delegation of power ya upimaji huo unaoita uchapaji kazi ambao wamepewa ma-HR officer katika ngazi tofauti kuanzia taasisi, wizara, halmashauri n.k! Inapofikia hatua HR officer amempatia mtu barua ya promotion ina maana...
  5. E

    Sitarudia kuitetea tena CCM. Nimechoka

    Ulimaanisha ku-"declare interest " au declear interest! ?! Bora hata amekuacha maana yale yale
  6. E

    Swali Gomvi: Ni nani Unayemwamini na Kwanini?

    Wote wawili wanadanganya! Hakuna wa kumuamini hapo
  7. E

    Hizi Bodi naona hazina Faida zivunjwe zote

    Siyo bodi tu kuna taasisi nyingi za serikali zinafanya kazi sawa! Ushauri wangu kuna haja ya kuunganisha taasisi nyingi zinazoelekeana majukumu!
  8. E

    BREAKING NEWS: A huge bang in Manchester Arena

    Badilisha heading mkuu ongeza maneno "terorrist attack " 19 people confirmed dead and 50 injured
  9. E

    Uwanja wa ndege wa DSM(JNIA) washushwa viwango vya ubora kimataifa,Waziri Mbarawa chukua hatua upesi

    Kwenye report iliyopo kwenye website ya tcaa.go.tz serial no inaishia na A0139/17 hiyo 140 umeitoa wapi mkuu! But nahisi umetoa ushauri mzuri ukiachilia mbali na uhakika wa hiyo series no yako uliyoweka
  10. E

    Dodoma: Rais Magufuli apokea ripoti ya uhakiki wa vyeti vya watumishi wa umma, awataka wajitumbue

    Kuna tishio la usalama kwani? Au ni basi tu ni utaratibu mpya wa kuzuia watu kutumia simu'
  11. E

    Kwanini tunawaita watoto wetu majina ya Kizungu/Kiarabu wakati wao hawawaiti watoto wao majina yetu?

    Mimi natumia jina la kiafrica kabisa hata passport yangu imeandikwa hilo jina! Kuna siku nimeenda bank kutoa kitambulisho dada aliyekuwa mhudumu pale akanicheka akadai sifanani na jina langu akashauri niende mahakamani kubadili jina! Uko tuendako majina haya ya ukoo yatapotea kabisaa! Vijana...
  12. E

    Hans Pope: Ni nchi nne tu zenye smelting duniani,tanuri moja tu linaweza kula nusu ya umeme wetu

    Hawatajibu hoja tegemea kuitwa muuza madawa na mpenda udaku! Nchi yangu Tanzania
  13. E

    Saga la Makonda: My Take

    Ukiona Baba jirani yako anatoa machozi kwa uchungu kwa kufiwa na mwanae usimuone ni dhaifu! Subiri ukifiwa mtoto ndiyo utajua uchungu wake!
  14. E

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Haujanikwaza kwa lolote Mkuu! Ulikuwa sahihi kabisa kisema hivyo! Tujenge Taifa kwa pamoja
  15. E

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Sikatai kwa hilo maana najua kuna wakubwa zangu tu wengi humu na wengine wananizaa kabisaa! Ila na mimi nina wadogo zangu pia humu humu! Sijakukatalia mkuu ndiyo maana sijawahi toa lugha ya matusi yeyote maana haileti heshima yeyote! Mimi nashauri watu wapingane kwa hoja!
  16. E

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    2003 unaniona mtoto mkuu?! Niko above 30 bado unaniona mtoto??
  17. E

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Hicho si cheti mkuu ni results slip hata kama umepata zero ukienda NECTA wanakupa
  18. E

    Exclusive: Askofu Gwajima atoa cheti chenye matokeo ya kidato cha nne ya Daudi A. Bashite (Makonda)

    Mfumo wa picha umekuja juzi tu! Mimi nimemaliza form four 2003 hakukuwa na picha kwenye vyeti bado Pia hicho si cheti ni results slip huwa zinatolewa hata kama umepata zero
  19. E

    Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Let's go that place you wish you kudu ...[emoji7][emoji8]
Back
Top Bottom