Search results

  1. W

    Sherehe za Uhuru wa Tanganyika: Unasherehekea kama Raia Daraja la kwanza au kama “Div. 5”?- Tafakari

    KWELI Tunasherehekea siku ya uhuru wa Tanganyika. Mimi pamoja na maccm wote tumeungana kwa pamoja. Hata na wewe unayedhani husherehekei tumekulazimisha kusherehekea nasi iwe ni kuadhimisha machungu ya zaidi ya miaka hamsini ya utawala wa mkoloni mweusi au hata kusherehekea jinsi mkoloni mweusi...
  2. W

    Ajira tanzania police force, diploma na digrii

    Sasa hivi site inafunguka. Tangazo linahusu vijana wanaotarajiwa kumaliza masomo yao mwaka huu 2013. Kama ni fomu hiyo nakumbuka ilishawekwa hapa. Pia hilo tangazo lin aeleza matarajio ya polisi kuajiri wahitimu wa kidato cha nne 2012 na kidato cha sita 2013 ambao walijaza fomu kabla ya mitihani...
  3. W

    Zitto ang'ang'aniwa viwanja vya Temeke Mwisho, asisitizwa asiondoke CHADEMA

    Kweli Zitto karudi kazini kama hata Taswira sasa hivi anaisifu CHADEMA kama taasisi na wala si mtu mmoja hapo safi. Jamani sisi WANACHADEMA tunampenda sana ZItto akiwa kama sehemu ya taasisi. Ukosoaji huwa unaanza pale anapotafuta mamabo yake . Zitto bado tunakuthamini sana
  4. W

    Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    leo ndio umeona kuwa na vyama vya upinzani vinaushawishi? Si vilisemwa kuwa ni vya msimu!
  5. W

    Tovuti(website) ya tume ya maoni ya katiba imeingiliwa(hackers)

    Kweli kuna muda ilivamiwa nikaendelea kusubiri na baada ya masaa kadhaa ilirejea katika hali ya kawaida na nilifanikiwa kutuma maoni yangu!
  6. W

    Tovuti(website) ya tume ya maoni ya katiba imeingiliwa(hackers)

    Sasa inafanya kazi vema na nimefanikiwa kutuma maoni yangu
  7. W

    Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!

    Suala siyo muono tofauti suala ni kutumika na kuamua kuwatukana viongozi wao tena kwa matusi ya nguoni. Wewe nusiyesikia kwa nini utuonee uchungu sisi anacdm? Ushahidi wa Kimazingira unaonesha namna ambavyo ccm walikuwa nyuma ya watu hawa! Ulishawahi kuona katibu mkuu wa ccm anatukanwa matusi ya...
  8. W

    Dr. Slaa & CHADEMA Must Come Clean Now! or Else!!

    Pole sana ninamhurumia huyu mzee kuwa na debe tupu kama wewe. Hivi huwa hauoni hata aibu labda kwa sababu wewe ni baharia. Ila inaonekana kabisa kuwa uwezo wa kufikiri hata tu kipropaganda ni mdogo sana. Ndio maana Nyerer alikataa msiwe wapanagaji wa Ikulu! Slaa tunampenda sana na kila...
  9. W

    Tovuti(website) ya tume ya maoni ya katiba imeingiliwa(hackers)

    Wanabodi leo hii nimeamka na nia ya kushiriki kutoa maoni yangu. Niliifungua vizuri tovuti hiyo na nikaweza kuandika maoni yangu lakini sikufanikiwa kuyatuma baada ya kuambiwa kuwa muda wangu wa hiyo wavuti umeisha. Baada ya kuona hivyo niliamua kuandika maoni yangu pembeni ili nije nipate...
  10. W

    Dr Slaa katika mkakati Maalum wa kuing'oa CCM madarakani

    Unapoongelea isiwe na maslahi binafsi kisiasa unamaana gani? Mtu anaweza kufanya maamuzi magumu ambayo yanamanufaa kwa umma na kwake binafsi. Suala la kwanza katiaka mifano ya maamuzi magumu ya Slaa dhidi ni pamoja na uamuzi wa kuwavua uanachama madiwani wa Arusha na Mwanza( unaweza ukadhani...
  11. W

    Dr Slaa katika mkakati Maalum wa kuing'oa CCM madarakani

    Ukweli unaujua namna ambavyo mheshimiwa Kagame hasiti kuchukua maamuzi magumu kawa maslahi ya nchi yake ndivyo ambavyo Dr. Slaa asivyosita kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya chama chake. Kama unabisha hebu fananisha katika hilo lichama lako ni nani mwenye uwezo wa kusimamia sheria na...
  12. W

    Mwigulu Nchemba: CHADEMA itakufa 2015

    Kwa kweli leo hii wameamua kusema kile wanachodhani kuwa ni tatizo kwao kuwa ni mtu anayeitwa Dr. Slaa. Wanaombea nguvu za mzee huyu ziishe wakidhani kuwa hakutakuwa na mwingine wa kuwapa tabu. Hivi hawajiulizi kwa mafano Zitto akaamua kutulia akazidi kuijenga imani ya wanacdm juu yake unadhani...
  13. W

    Dr Slaa katika mkakati Maalum wa kuing'oa CCM madarakani

    Aisee ulitaka mikakati iakafanyikie lumumba mh! Dr. Slaa ndiyo mfano wa Kina Kagame nchi ipo katika mstari. Binafsi ninampenda Slaa kutokana na ujasiri wake wa kusimamia kile aznachokiamini na kuwa tayari kukitetea. Tuliowapa dhamna wangekuwa na moyo wa chuma kama wa Dr. Slaa ninakuhakikishia...
  14. W

    Taarifa ya BAVICHA kwa vyombo vya habari kuhusu kuwavua uanachama wanachama wake

    Haki imetendeka. si lazima haki ionekane kutendeka kwa masalia ila kwetu wapenzi wa CDM tunaona kuwa haki imetendeka. Kama wewe haujatendewa haki hamia ambako unadhani utatendewa haki
  15. W

    Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!

    CCM wanalilia nini masalia kupukutika? si walisema CDM hawaezi! Ninachoomba cdma mkuu wa masalia asifukuzwe endeleeni tu kumwangalia kwani kwa sasa ule umaarufu na kukubalika ndani ya cdm hakupo tena na hata yeye analijua kbisa kuwa wanacdm wengi hatumuamini licha ya uwezo mkubwa wa kisiasa...
  16. W

    Viongozi wa vyama vya upinzani Mtwara wakamatwa na polisi

    Hata wakiwakamata ninachoamini hauwezi kuizuia mvua kwa mikono. Serikali ya kikoloni ilikuwa na jeshi katili sana lakini mabadiliko yalikuja
  17. W

    CCM inafanya kazi kisayansi zaidi kuliko CHADEMA

    Ndugu mleta mada ni lini umekuwa mfuasi wa CDM? ni leo hii wakati unaandika hii mada au?
  18. W

    Anguko la CHADEMA lipo njiani

    Hili ni dua la kuku. Watanzania wengi ni wangapi. Wengi huweza kuanzia wawili. Endeleeni kuombea hilo anguko la cdm kwani ndio wajibu wako pia. Ila kumbuka Mungu anakubali maombi ya wenye haki!!
  19. W

    Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!

    Mkuu Paschal! Ninakusalimu ndugu yangu. Baada ya salamu ninaomba nitofautiane na juu ya hoja zako. Msingi wa mimi kutofautiana na wewe unajikita katika historia ya maandiko yako hapa JF na namna ulivyoanza kwa kujihami na kumalizia kwa kujihami. Nikianza na Historia yako ya maandiko yako hapa...
Back
Top Bottom