Search results

  1. Chimo

    Kiwanda cha Bakhresa - Bagamoyo kuanza uzalishaji wa sukari

    Unaongea nini bwenge Wewe Hebu tupishe na huo ujinga wa kuwaza muuaji Mfuate huko aliko kama unampenda saana
  2. Chimo

    Airtel Asante, mlipotufikisha natupa line yenu

    Kuanzia muda Huu sitoitumia Tena line yenu naona mnataka kutufilisi. Leo nimeunga Bando kama kawaida Yangu. Ofa yako kisha Bando Zaidi Sikufungua video Wala Sikutumia YouTube, TikTok wala Ista Zaidi ni kusoma message za WhatsApp tu Eti inaingia SMS Ya Kingesengese umemtumia 75% Ya Bando la...
  3. Chimo

    Clouds TV ( 360 ) na Clouds FM ( Power Breakfast ) mnajisikiaje kufanya Interviews na Watu wanaoharibu Serikalini?

    Walipotoka wale wakuu wa wilaya wateuliwa Na Barbie Kabaye Nimehama Naangalia Morning Trumpets Azam Hapo Ndio Pengo la Ruge Mutahaba Linaonekana Sasa Kwenye Hii Tasnia ya Habari. Ŕuge alikuwa anajuwa saana kupanga team kwenye vipindi
  4. Chimo

    Clouds TV ( 360 ) na Clouds FM ( Power Breakfast ) mnajisikiaje kufanya Interviews na Watu wanaoharibu Serikalini?

    Uko Sahihi 100% Huo Ndio Ukweli Kipindi Kimekosa Kabisa Watangazaji na waandaji
  5. Chimo

    Airtel kwa wizi huu nawahama

    Bujibuji kote huko nimewahi kuzungukia ila hapa ni kiboko hawa ni wezi wasio na Aibu na wala hawana aibu pia hawajui kuiba wanadhani wote wanaotumia Simu za mkononi ni washamba.
  6. Chimo

    Airtel kwa wizi huu nawahama

    Nitasikitika mamlaka Kama hazitakaa kuichukulia hatua kali za kisheria kampuni hii ya mawasiliano ya Simu za mkononi ya Airtel hapa nchini kwetu kwa wizi. Airtel wafanyakazi wenu wasio waaminifu hawawezi kuzibeba wala kuwa Na Dhamana baina yao na sisi wateja wenu bali ni nyie waajiri wao kwa...
  7. Chimo

    Samsung aongoza tena kwa mauzo ya simu duniani

    Wewe Unatakaje kwani hii si biashara au Umesahau Nokia walikuwa wanafanyaje enzi hizo? Wacheni hizo watu wanashindana kwenye kuionyesha Dunia ya Technology ubunifu wa Smartphone inayopelekea na sisi huku tufaidike na punguzo la bei we unafikiri isingekuwa hivyo kuna wabongo Wangapi leo...
  8. Chimo

    Samsung aongoza tena kwa mauzo ya simu duniani

    Ndio Nini Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
  9. Chimo

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kuna watu hawana kazi yani wewe wazazi wako hiyo ada bora wangenunuwa Punda ziwasaidie kuchota Maji kuliko kukupeleka Darasani kufuta ujinga ndio umezidi kuwa mjinga
  10. Chimo

    Prof. Assad hajitambui au anatumika?

    Hili Jinga limetokea wapi umebanwa uharo nenda kahare gebwe wewe Unaweza kuandika analysis Yoyote kuhusu economic au unakuja kutupotezea bundles zetu wewe unaweza kumchallenge Prof. Assad ? Mwehu kabisa Wewe tena na wanakutuma waambie warudi milembe wakanywe Dozi naona imewaishia
  11. Chimo

    Rubani wa pili wa Kenya Airways afariki kwa COVID-19

    Nani kakuambia au unadhani haya maradhi ni ya mchezo mchezo Sio leta vyote hivyo sio tangawizi tu hata taborawizi Last June kafariki kaka Yangu mwingine Nairobi Hakuna mti na mmeya ambao hakutumiwa kwa kufukizwa na kunyweshwa mpaka baadhi zililetwa kutoka India na kwingineko lakini mungu...
  12. Chimo

    Rubani wa pili wa Kenya Airways afariki kwa COVID-19

    Naomba muelewe huu ugonjwa wa corona au hivi virusi vyake vina different phace Unaweza kupata hiyo Covid 19 usijiwe na ikaisha usijuwe Unaweza kupata na ukasuffer na ukapona nina bahati mbaya nimepooteza ndugu wanne kwa Maradhi haya. Nimeweza kupata experience ya kutosha na wala haitegemei...
  13. Chimo

    Rubani wa pili wa Kenya Airways afariki kwa COVID-19

    Hapana Alifariki Siku nne baadae
  14. Chimo

    Rubani wa pili wa Kenya Airways afariki kwa COVID-19

    Marehemu ni Kaka Yangu na Kaka zangu Wengine waliokwenda London kumzika Leo wamegunduwa vitu vingi saaana ikiwemo baadhi ya Abiria kufoji Madical Report Kama wameshapimwa COVID 19 Marehemu Nilipoongea nae aliondoka Nairobi akiwa mzima hata Screen test alifanyiwa yeye na cabin crew wake wote...
  15. Chimo

    Msaada: Maeneo mazuri ya kuishi Mwanza

    Nitafute nikupe nyumba bomba isamilo jieani na pub maarufu ya the Joint maeneo tulivu ya isamilo Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Chimo

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Without Preparations Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Chimo

    Waziri Ummy Mwalimu, tupia macho kituo cha afya Igoma

    Mwenye Namba ya Mkuu wa Mkoa Mongella Tafadhali anitumie Inbox Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom