Yaani kama huo uchaguzi uliopita umefutwa kwa sababu zilizotajwa na ZEC, sitegemei kama huo wanao uorganize utafanyika. Maana wale vijana wa CUF wakiingia mtaani siku ya uchaguzi mpya, itakuwa ni vumbi tu Unguja! Hata robo ya wapiga kura haitajitokeza. Kwamaneno mengine utakuwa worst kuliko huu...
Ni upuuzi kujifanya mwanafalsafa kuficha ukweli hata katika mambo yaliyo wazi.
Lengo lako mwadishi ni kutumia two wrongs kuhalalisha uovu.
Hilo halipo, msitugawe kwa tofauti zetu mtatupeleka shimoni.
Kama ni kweli hilo bandiko la kuomba radhi ni sawa tu na mbunge kusema anachokiamini bungeni na kisha akalazimishwa kufuta kauli yake. Haimaanishi hamini alichokisema ila anatii tu amri ya speaker! ndivyo CCM wanavyofanya kama wameomba kweli radhi.
Kuthibitisha hilo, pale Unguja karibu kabisa...
Serikali inapaswa kuiangalia sector ya benk kwa ukaribu sana ili kupunguza dhulma wanazofanyiwa watu wa hali ya chini.
Central Bank ya Zambia baada ya kuona utitiri wa Microfinances ambazo pia zilikuwa zikicharge reckless interest rates, ilikuja na sheria ya kuweka upper limit ya interest...
Mwaka huu kazi ipo. Hivi mnajua kwamba ZEK imeshagawa majimbo ya Zanzibar upya? CUF huenda wakarudia upigaji kura ktk baadhi ya majimbo kama vile mji mkongwe, Bububu na Mtoni. Pemba hali huenda ikawa tete zaidi maana majimbo huenda yakapungua by 3!
CCM inawasomi waliomaliza madarasa lakini hawajaelimika!
Kura ya maoni ambayo ilitakiwa ifanywe kwa wakati tulionao ni ya kuwauliza wanannchi wanataka mfumo wa serikali ngapi.
SUK iwepo au isipokuwepo haiwezi kubadili msimamo wa viongozi wa upinzani Zanzibar na theluthi mbili ya kura bado...
Usiwe kama mtu aliyepatwa na mapepo twende kwa hoja.
Nimekuuliza swai moja tu:
Hebu nipe opinion yako kuhusu hii scandal ambayo imeendelea kuzungumzwa hadi jana kwenye main stream media:
UN demands action from Vatican on child sex abuse | Al Jazeera America
Kwanini kanisa linaficha ushahidi...
Tuanze na hili la maelfu ya watoto waliofanyiwa ushenzi na viongozi wa kanisa. Kwanini Baba yenu mtakatifu anashindwa kutoa ushirikiano kwa UNITED NATIONS ili wahusika washughulikiwe.
Hii ni current story sio hearsay. Munguwa kweli hawezi kutoa maagizo ya kumsupport muovu!
Au wewe unasemaje...
Hebu nipe opinion yako kuhusu hii scandal ambayo imeendelea kuzungumzwa hadi jana kwenye main stream media:
UN demands action from Vatican on child sex abuse | Al Jazeera America
Kwanini kanisa linaficha ushahidi wa vitendo vya kulawiti kama kweli ni dini ya mungu?
Updates: Mansoor:
1) Why spending billions za wavuja jasho kama CCM ilishaamua aina ya muundo wa serikali?
2) Kwanini muwaadhibu watu na kuwatukana watu wazima ( Akina Warioba) ilhali mliwatuma wenyewe wakafanye kazi hiyo?
3) Wazanzibari wana haki ya kujieleza kwa mujibu wa katiba yao.
4)...
Updates: Mansour
1) Muungano ni wa watu ili udum ni lazima maoni ya watu waskilizwe
2) Karume hakupinduwa ili atawaliwe na mkoloni mwengine
3) Hati halisi ya muungano ni lazima isionekane kwa sababu maalum.
4) Hoja ya kwamba Wazanzibari wako wengi Tanganyika, inaonesha wazi kuwa muungano...
Tunawapata, ingawaje ilikuwa inakatakata! Zanzibar kwanza.
Napenda huu mwimbo wa Mapinduzi ingawaje CCM hawautaki siku hizi kwa vile unaimbwa na wapinzani!
Hiki ndicho kinachompa kiwewe Idi na wenzake wa CCM: Pata barua ya maalim Seif kwa Kikwete: KAMATI YA MARIDHIANO SIX CUF 26 MARCH 2014 SERIKALI MBILI HAZIVUMILIKI PART 4/5 - YouTube
Balozi Seif Iddi ni balozi mkazi wa Tanganyika aliyeko ZNZ! Yeye ndie mwenye asili ya Tanganyika sio Wazanzibari wote. Hana uwezo wa kufanya chochote kwa Maalim Seif. Ni porojo tu za kujipendekeza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.