Search results

  1. BabaTina

    Msaada tutani: TRA wanataka nilipie Withholding Tax kwenye Kibanda changu cha chips

    Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo...
  2. BabaTina

    Maisha ya Raia wako Yana thamani Kubwa Sana: Tujifunze kutoka Thai

    Huko nchini Thailand, timu ya watoto wachezaji mpira waliamu kufanya matembezi ya utalii wa ndani baada ya mazoezi yao ya mpira wa miguu katika moja ya mapango maarufu huko kwao. Wakiwa na baiskeli zao walipofika eneo la kuingilia ndani walipaki nje na wao kuanza safari ya matembezi kujionea...
  3. BabaTina

    Msaada-fundi gari mzuri

    Wadau naomba msaada kuna kigari changu kinanisumbua sana nshabadili sensor kadha lakini bado kinazima mara nyingi na kuwasha check engine...pia kina vibrate sana na mlio wake kwenye bomba ya kutoa moshi umebadilika... Mwenye namba tafadhali anisaidie hapa ya fundi mzuri na mwaminifu
  4. BabaTina

    Katika Nyakati ngumu kama hizi, Tunafanyaje? Angali, Sikiliza, Elewa, Chukua hatua

    Nini Dhambi X-Plastaz All my people East Africa Tanzania, Uganda and Kenya Dar es Salaam, A town Wherever you are Piga magoti, tuombe Mungu Hii ni siasa, dini, vita, ubwana, utwana, au kiama ghalika, sodoma na gomora? Simama imara, zunguka kila kona, kila anga angaza Kushoto, kulia, mbele...
  5. BabaTina

    Tetesi: Lies, intrigue, betrayal: How Ivan Ssemwanga lived out his last days on earth?

    By BigEyeUG Team It all started when a Newspaper advert ran showing that Ivan Ssemwanga’s house was up for sale. Then, an egoistic, charming and ever lively Ivan Ssemwanga flew to Uganda from South Africa in a bid to calm the rumours. To friends, Ssemwanga had started to get premonitions of his...
  6. BabaTina

    Hukumu Iliyocheleweshwa

    Soma taratibu na kwa umakini saana! __________________________ Eli alikosa sana aliporuhusu wanawe kuhudumu katika ofisi takatifu. Kwa kuruhusu mwenendo wao, kosa moja baada ya jingine, alipofushwa na dhambi zao, hadi ikafika hatua ambapo hakuweza kuficha macho yake yasione uovu mkuu unaotendwa...
  7. BabaTina

    Shilingi: Hiki Kisu kipya cha Harmo Rappa lazima mkae

    Ni hivi katika pitapita zangu nikamkuta ndugu yetu wa kutuinspire kupambana bwana fursa mtu mzima Harmorapa katupia dubwasha moja youtube la ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Shilingi...!! Hizi bila shaka ni salamu za mwaka 2017 kwa wale wote waliokuwa wakimdharau..... Big up sana...
  8. BabaTina

    Yanga msipobadili rangi ya jezi yenu mtaendelea kukinywea kikombe

    Mimi kama shabiki wa yanga nimeumia sana timu hii kila mara kuchapwa chapwa na simba. Lakini pia mwisho wa siku nikatafakari juu ya rangi ya jezi ya yanga nikaifananisha na rangi flani hivi amazing ya chama kile vs nuksi zinazoikumba nchi yetu! Hitimisho nililofikia baada ya kufikiri sana...
  9. BabaTina

    Hiki Chama huwa kinaboa sana na matamko Yake

    Kusema kweli mie si mwalimu lakini kwa wale ambao ni waalimu kwa hawa jamaa mnapoteza muda tu...Mission zao zote huwa ni failure...Wamejaa matamko kuliko utekelezaji. Kwa kifupi Vyama vyote vya wafanyakazi nchini havina faida yoyote kwa walengwa vimegeuka vyama vya matamko.
  10. BabaTina

    Umeelewa nini kwenye hii Picha

    Nambie umeelewa nini kwenye hii picha hapa...!
  11. BabaTina

    Anatafutwa Fundi anayeweza ku-instal BEIN DECODER kwa Dar

    Mambo vp wanajamvi...kuna jamaa angu kanipa haka kazawadi ka BEIN DECODER so nimejaribu mbinu zote za kumpata fundi wa kufunga imeshindikana...kama kuna mtu anafahamu ama yupo hapa tafadhali anahitajika haraka
  12. BabaTina

    Natafuta fundi wa kufunga Hii Decoder kwa Bongo

    Mambo vp wanajamvi...kuna jamaa angu kanipa haka kazawadi ka BEIN DECODER so nimejaribu mbinu zote za kumpata fundi wa kufunga imeshindikana...kama kuna mtu anafahamu ama yupo hapa tafadhali anahitajika haraka
  13. BabaTina

    Baada ya Kumalizana na CCM, Shigongo kaibuka na hii

    Kutoka mtaa wa pili kwenye ukurasa wa FB nimekutana na hii promo, Kwa mtazamo wangu tu hii hali ya kutuambia tuvumilie mpaka leo hii ni miaka 50.Sio fair kabisa! Yaani mtu kazaliwa babako anavumilia, unazaliwa wewe unaendelea kuambiwa Vumilia! Huu uvumilivu utaisha lini!??
  14. BabaTina

    Mtoto Anapoteswa namna hii Na wewe unarekodi tu Video Yako. Unaakili wewe!?

    Wanajamii kuna video inaenda viral huko Facebook ya mama mmoja akionekana kumnyanyasa mtoto mdogo mwenye umri wa kati ya miaka2-3. Katika video hiyo jimama moja lenye roho ya kutu kushinda shetani limekalia siti huku likionekana kumsimamisha mtoto yule ashike Bomba wakati lenyewe limestarehe...
  15. BabaTina

    Dah! haka kawimbo ka CCM mbele kwa mbele Jamani !

    Wanajamvi kwa kuwa tunaendelea kupigwa sana kila kona...ebu tujiliwaze na hiki kijitrack hiki cha watawala... Sio kabaya kanachezeka kweli kila kona ila nashangaa tu akaingii kwenye kumi bora za vituo mbalimbali vya redio..
  16. BabaTina

    Fid Q Ngosha the Don, haujawahi niangushe

    Wema anataka Almasi Zari anaujali muda..!!
  17. BabaTina

    Endeleeni tu Kumkwamisha Mh. Rais

    Mh. alishasema hapendi kujaribiwa na ameahidi kutatua matatizo ya wanafunzi hususani eneo la mikopo, Sasa nyie endeleeni kumchelewesha!
  18. BabaTina

    Mwenge wa Uhuru: Ndelemo na Vifijo unapita hapa Chinangali

    Nipo njiani tokea Dodoma-Dar mara ghafla gari kadhaa zinapigwa stop na mbele yetu tunaona gari mbili za Polisi waliovalia miwani myeusi wamesimama kwa mbwembwe nyingi wakikimbia huko na huko kama ishara ya kuweka hali ya usalama sawa! Tunajiuliza ni nini kinaendelea hapa..hisia zinatupeleka...
  19. BabaTina

    PPF mabavu haya mnayotoa wapi?

    Leo Jamaa angu mmoja muanga wa kukataliwa mafao yake na PPF kanitumia ujumbe huu... "Niko nssf mbeya hapa,naongea na wafanyakazi hapa wananiambia mpaka leo wanatoa fao la kujitoa kwa wanachama wao, kwa kweli PPF ni shida..!! Nikawauliza NNS hawana katazo lolote toka serikalini, wakadai hawana...
Back
Top Bottom