Search results

  1. BabaTina

    Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina ashikiliwa kwa mashtaka ya ugaidi

    Kuna sehemu nimewahi kusoma kuwa wakimbizi wengi wenye hadhi ya Paul uhifadhiwa katika nchi husika kama sehemu ya trade hapo baadaye...means pale linapokuja suala la biashara watu wanakutoa kafara
  2. BabaTina

    Uchaguzi 2020 TLP yatangaza kuungana na CCM. Yamteua Rais Magufuli kuwa mgombea Urais Oktoba 2020

    Hiki chama chenyewe kimepandikizwa na Beberu la Tanzania
  3. BabaTina

    Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    hata mie nimemsoma vema kabisa....kuna ujumbe anajaribu kuufikisha kwetu sisi watanzania...soma kwenye mistari
  4. BabaTina

    Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

    I SEE...! Hata siamini kabisa kama ni wewe... Sent using Jamii Forums mobile app
  5. BabaTina

    Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

    Huyo mtoto anapoingia ndani tayari anakuwa mwanae pia...so lazima imgarimu malezi yote yanayopaswa mtoto kupewa....kwa lugha nyingine anakuwa baba mlezi na atatakiwa kutoa matunzo yote. Yeye ni Baba na Kichwa cha nyumba. FULL STOP
  6. BabaTina

    Kula tunda kimasihara kunavyoigarimu ndoa yangu

    Bro! yaani hata usipoteze muda kabisa kuomba ushauri....huyu mdogo wa mke wako anandugu zake wengine huko ikiwa ni pamoja na hao kakazake, dada wengine, shangazi, bibi na wa upande wa jamaa waliompa mimba....waende wakeleane huko...tena weka uso wa mbuzi kabisa! kama alikuwa tayari kubeba mimba...
  7. BabaTina

    Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

    Nimejifunza kuwa mtoa taarifa wa kigogo ametegwa akaingia kingi na sasa kajulikanaa...inshort inawezekana sytem imeinjia hizi taarifa wakitaka kumpata mvujishaji wa taarifa za ikulu na wakafanikiwa baada ya kumuingiza mkenge naye akashare info kumbe si kweli. So i hope wamemcontain baada ya...
  8. BabaTina

    Hoja kuu mbili kuhusu taarifa iliyosambazwa na ubalozi wa Marekani, Tanzania

    Kudadeki zenu...pamafy, inawezekana Wamarekani wamestukia michezo yenu michafu ya kutengeneza matukio kwa ajili ya political gain...mlitaka mtengeneze tukio liwe next level limejificha kwenye sura ya kigaidi kwa ajili ya political gain kwa bahati mbaya wametibua mchezo mchafu....
  9. BabaTina

    Wajue wanawake ambao usipotumia Condom inakula kwako

    Haka kakomenti kampeta like nyingi....bila shaka wahusika ndo waliolike hapa
  10. BabaTina

    Mrejesho: CHADEMA imefutika Monduli,Siha na Simanjiro

    Mlichofanya ni kuwavesha nguo zenu lakini hakika mioyo yao haipo kwenu
  11. BabaTina

    Mjadala - Kitabu cha unyama wa Paul Kagame: Behind the Presidential Curtain: Inside Out of real Paul Kagame

    Duh...Asante kwa kushare...hii ngoma hatari tupu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. BabaTina

    Hospitali ya Massana sijapenda hii tabia. Ni mara ya tatu maabara mnafanya haya...

    Huu mwandiko mbovu kupita yote duniani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. BabaTina

    CAG, Prof. Mussa Assad Apongeza Media Kuzipa Umuhimu Ripoti Zake, Ataka Media Zijengewe Uwezo wa Uchambuzi, Zinaripoti Superficial Tuu, Haziendi Deep.

    Nakubaliana na wewe mwaka flani nilifanya kazi kama producer msaidizi kitengo cha utafiti basi nikawa nawatafutia data watangazaji kwa ajili ya kusupport hoja kwa topic wanazokuwa wanatakiwa kuzitengenezea vipindi...trust me...hawa jamaa pamoja na unadhifu wao waliweza kudadavua tu kwa asilimia...
  14. BabaTina

    Msaada tutani: TRA wanataka nilipie Withholding Tax kwenye Kibanda changu cha chips

    Asante kwa ufafanuzi wako Sent using Jamii Forums mobile app
  15. BabaTina

    Msaada tutani: TRA wanataka nilipie Withholding Tax kwenye Kibanda changu cha chips

    Nimepanga boss...nalipia 40 kwa mwezi Sent using Jamii Forums mobile app
  16. BabaTina

    Msaada tutani: TRA wanataka nilipie Withholding Tax kwenye Kibanda changu cha chips

    Wanabodi jana nimeenda TRA kwenda kufanyiwa tathmini ili nilipe kodi kwa ajili ya biashara yangu ndogo ya banda la chips, lakini nimeshangazwa baada ya kufanya hesabu zao wakaniandikia nilipie na Withholding Tax..! Naomba kufahamishwa kwanni wananitaka kufanya malipo hayo. Kwani navojua malipo...
  17. BabaTina

    Wanaume acheni kupiga wake zenu

    hilo pumbu ukilishika afu ukakosea kulishika vema....basi ujue ushakufa....maana hasira zake huyo mwanaume zitakuwa bora za mbogo....trust me eneo unalidhamiria kushika maumivu yake ni sawa na kuingiza mkono mdomoni utake kutoa moyo wa jamaa...
  18. BabaTina

    PSSSF Rais hapendi blah blah

    Na huu ndio ukweli wenyewe... Sent using Jamii Forums mobile app
  19. BabaTina

    Denmark withholds aid and cancels minister visit to Tanzania over human rights situation

    Pambayafu....umewasahau DANIDA na misaa yao kwa nchi yako....maka..lio ya mende
  20. BabaTina

    Trafiki wa ubungo mataa

    Mkuu keypad ya kichina nisamehe bure Ila utakuwa umenisoma
Back
Top Bottom