Search results

  1. K

    Mkuu wa wilaya ya Temeke aamlisha watakavaa nusu uchi wachapwe viboko hadharani

    Hiyo safi sana, ila agizo hilo lisilenge akina dada tu pia wanaume wanaovaa suruali au kaptula huku makalio yakiwa nje washughulikiwe. Inatia kinyaa sana jitu linatembea barabarani huku likionyesha boxer yake chafu eti fashion, pumbavu zenu wavaa kata K wote!
  2. K

    Mwigulu Nchemba na Siasa za kishirikina Iramba magharibi

    Mleta uzi mbona jina lako limekaa kigagulagagula?
  3. K

    MBUNGE H. KIGWANGALA Ashushuliwa na M/kiti Zungu

    Mhe. Masele ni graduate wa UDSM alihitimu B.A mwaka 2004, kijana ni mzuri anajitahidi sana acheni wivu jamani.
  4. K

    Siku za Lowassa CCM zinahesabika!

    source please, acha porojo.
  5. K

    Kigwangala, iwe ni kweli au si kweli, umejidhalilisha

    angefanyaje wakati yeye aliambiwa na lisu kuwa hoja yake ni poorly thought na ni kwajili ya kutongozea kura tu?
  6. K

    Tanzia: Joel Mkude aaga dunia

    R.I.P Mkude poleni wafiwa.
  7. K

    CCM Na Zuzuka La 'Umati' Kigoma

    Mmmh mtambo kazini!
  8. K

    Mpya hii kwa mzalendo kijana

    chama cha vijana, that is a nonstater!
  9. K

    CHADEMA wahurumieni watanzania

    well said mkuu! hawa jamaa sijui vipi!
  10. K

    Kwa jambo hili sintomsahau Mh. John Mnyika!

    Amiliki inawezekana kuna uafadhali katika upatikanaji wa maji baadhi ya sehemu tu, kuanzia stop over kwenda mpaka mbezi kwa yusufu vurumai ya magari ya maji bado iko vilevile kama zamani. kuna maeneo mengi sana ambayo hayajui maji ya bomba; makabe, mshikamano, msumi nk huku kote maji ni bidhaa...
  11. K

    Dr Slaa ajibu tuhuma dhidi yake

    Vipi riba, mkuu umelipa nayo au katibu mkuu unapata soft loan?
  12. K

    Sitta ampinga Makinda kuhusu mabunge mawili

    Nakubaliana na mheshimiwa Sita 100%. Mabunge mawili ni kuongeza gharama zisizo za lazima wakati nchi ikikabiliwa na upungufu mkubwa katika upatikanaji wa huduma za jamii ikiwemo maji safi na salama kwa watu wake.
  13. K

    Tunataka rais aliyesoma shule za kata

    Hayo ndiyo maoni yako uliyompelekea jaji warioba? kweli upinzani bado saaana.
  14. K

    Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

    tandika mabomu hao wanataka kugawa nchi yetu vipande vipande,
  15. K

    Dr. Slaa avunja ukimya suala la Gesi Mtwara na vurugu nyingine zinazoendelea kwingineko nchini

    Sasa hapo ndiyo kasema nini, halafu anasemea facebook? kumbe naye kishageuka kuwa babu wa mipasho?
  16. K

    Madiwani Bukoba watwangana ngumi baada ya kushindwa kuelewana...

    Taarifa ulete wewe halafu unataka authenticity yake upate kwetu, be serious bana!
  17. K

    Dr. Slaa amtishia mwandishi wa habari! Ni baada ya kuhoji ufujaji wa fedha za chama

    nyinyi mmepata umaarufu na ufuasi mkubwa sababu ya kuzushi na kutuhumu watu, leo mnaulizwa kuhusu tuhuma zilizotolewa na makamu mwenyekiti wa bavicha badala ya kujibu tuhuma mnaanza kutishia maisha mwandishi ama kweli mkuki kwa nguruwe......
Back
Top Bottom