Search results

  1. K

    Ninawashwa kwenye mrija wa kutolea mkojo na korodani zinauma

    Nenda hospital kubwa na utafanyiwa kipimo kikubwa cha mkojo (urine culture) majibu ni baada ya siku 4-7 then utapewa tiba Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
  2. K

    A day in the Buddhist college

    Uzi Bora kabisa kwangu
  3. K

    Msaada :Feni ya laptop yangu inapiga kelele

    Nmewahi kupata tazo hili mkuu nna tumia hp probook 6360b. Solution fungua hyo fan then iwekee yale mafuta yake ya kulainisha imekauka so ikzunguka sana inatoa saut km mashine mkuu ilkuwa mwaka jana had leo tatzo ksha. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Wanaoifahamu Nsumba Boys iliyoko Mwanza!

    Shule bora 4years nlkuwa pale pm any qns
  5. K

    Fundi labtop -Arusha

    Pouwa kaka ntafanya ivo
  6. K

    Fundi labtop -Arusha

    Habar wakuu nna pc yangu aina ya HP probook ci5 nlmuazmisha mtu akataka kuicharge kwa adapter tofaut ikapga shot ile adapta na pc ikagoma kuwaka pia imekatka huks (frame zlzo shkilia kioo) naomb kwa fund yoyote alie Arusha na anaweza solve hayo matatzo anchek pm au 0757897060.
  7. K

    Tatizo la Midomo (lips) kuwa nyekundu- Chanzo, ushauri na tiba

    Si ugonjwa bal huenda ikawa ni dalili ya gonjwa fulan (infection disease) nenda kapme especially magonjwa yanayo ambukizwa kwa njia ya tendo LA ndoa - km huna moja ya magonjwa hayo basi automatically itakuwa kuna madini umepungukiwa mwln. -tumia vdonge vya vitamins especially vtamn c Mara kwa...
  8. K

    Mke wangu anajamba jamba sana mpaka najiuliza kulikoni

    Pole sana mkuu kwa tatzo -Nini knapelekea mtu kujamba? Zipo sababu zpo nyng mojawapo na weng tunaifaham (nature ya chakula alcho tumia) -lnapo kuwa too much tayar hlo ni tatzo:- *kujamba kwa kujiachia bla hata haya/aibu ( psychological problem) *kujamba ovyo ovyo hata km MTU hapend (digestive...
  9. K

    Root Tecno N8 from tigo product

    Wakuu Naomba msaada jinsi ya kuroot hii smu kwa sababu naona kama siifaid inavyo paswa.
  10. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Karatu elfu saba tu upo moshi
  11. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    OK sawa mi pia npo g/arusha
  12. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    VP nkuadd kwenye magroup ya watsap ya kubadlshana ktuo?
  13. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    We mawasliano ili uweze kutaftwa
  14. K

    Msaada computer

    PC yangu aina ya HP co i5 window 10 inapo waka inatoa sauti isio ya kawaida yaani kile kifeni kinatoa saut ad kero
Back
Top Bottom