Search results

  1. Mzee Mwanakijiji

    Swali la Ugomvi: Kwani Wenzetu Hawa Walisomea Nini? - Part 1

    Na. M. M. Mwanakijiji Sikuwahi kuelewa kwanini wakati mwingine mtu anapokuwa na mawazo au ametatizika kimawazo anaanza kujikuna nywele. Au mtu anakuuliza jambo halafu hauna jibu unaanza kujishika kidevu au unakuna nywele hata kama haziwashi! Maswali au mambo mengine wakati fulani yanakwaza na...
  2. Mzee Mwanakijiji

    Gongo la Mboto 2025: CHADEMA wadai mambo 2 tu kwenye Sheria ya Uchaguzi

    Na. M. M. Mwanakijiji Kwa wanaokumbuka na wale wasiokumbuka ni kuwa mimi ni mpinzani wa madai ya Katiba Mpya. Sijaona bado na sijashawishika kabisa kutambua mchakato wowote halali wa uandikaji wa Katiba Mpya. Nilitakaa na kupinga mchakato haramu ulioanzishwa na Rais Kikwete wa kuivunja Katiba...
  3. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

    Kuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita magonjwa ambukizi mbalimbali. Madawa na tiba hizi zimetoka kwa msaada wa watu wa Marekani (na mimi...
  4. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Fupi: Kama Rais Samia hakueleweka basi haeleweki na haelekei kueleweka

    Na. M. M. Mwanakijiji... Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na ukali wa Magufuli...unaweza Kwanzaa kuwaonea huruma Hawa wakuu wa mikoa. Nasubiri kuona Nani atakuwa...
  5. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Dokezi: Upigaji wa Uchaguzi Mkuu Utaanza "Soon"...

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya vitu ambavyo huwa vinafanywa 'vizuri' na watawala wa watawaliwa unapoelekea mwaka wa uchaguzi ni jinsi gani huwa wanajipanga kujipendezesha kwa wakubwa wa dunia. Unajua pale nchi inapojisema tu kuwa ni ya "kidemokrasia" basi wakubwa wanaanza kuangalia vitu...
  6. Mzee Mwanakijiji

    Mnataka kumbebesha Hayati Magufuli madhambi yenu?

    Hivi mnataka tuamini kuwa Uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2020 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2020? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa...
  7. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu: Kwani Tatizo Gani Wameweza Kulitatua Likaisha?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna mambo mengine yakijirudia unaweza ukafikiria bado uko ndotoni. Maana kuna baadhi ya ndoto zinajirudia rudia hata kama huzitaki. Wengine wanaita "jinamizi". Zinakuja zinatisha halafu unashtuka unasema "duh hii ndoto hii!". Unarudi kulala unafikiri itapita; kumbe...
  8. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu: Tunaridhishwa Kirahisirahisi au na Mambo Madogomadogo? Au Yote 2

    Na. M. M. Mwanakijiji Unajua watoto unaweza kuwaridhisha na vitu vidogovidogo. Yaani wanaweza kulia hadi wanabadilisha Gia kama kupanda Kitonga. Hata hivyo unaweza usihitaji vingi, wakati mwingine maneno tu yanatosha. Au unaweza kumpa peremende atanyamaza na kulia kwa kujibembeleza hadi...
  9. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu: Kwani Watanzania Mnataka Umeme Mwingi usiopunjwa ili Mfanye Nini?

    Tujitahidi tujibu. Kama nchi ingekuwa inahitaji umeme mwingi usio wa kibaba sidhani hii hali ingeendelea hata kwa mwezi mmoja ukiondoa Mingo sasa. Kuanzia IPTL hadi leo bado sukuhisho la umeme linatafutwa. Eti wa maji ni mgumu wanatafuta wa jua!!! Halafu wengine wanasema wanataka wa upepo kwa...
  10. Mzee Mwanakijiji

    Swali la Wiki: Walidanganya, Walidanganywa, Walijidanganya, Walidanganyana, au Wanadanganya?

    Lazima jibu lipo mahali. Kuna mtu hasemi ukweli na katika kujitahidi kutokusema ukweli ametafuta maneno mazito matamu anayotaka yakubalike kama ukweli. Kuna watu wameshtukia na sasa wanang'aka! Wanaona kama wamezugwa, wameingizwa mjini au kwenye kile choo maarufu... Mimi ninalo jibu...
  11. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu: Ni Ufisadi 3.0?

    Na. M. M. Mwanakiji Kurudi kwa KingMaker RA kwa uwazi, uthubutu na nguvu hii kumeniacha na maswali. Japonica baadhi ya Malibu nayajua laminitis mentioned naogopa hata kuyauliza. Wakati wa BWM tulishuhudia kutamalaki kwa ufisadi hata mtu akajiuzia Kiwira Ufisadi 1.0 Wakati wa JMK...
  12. Mzee Mwanakijiji

    Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sababu zinazotolewa za mkataba wa bandari: 1. Imekuwa ikiendeswa bila ufanisi (na bado tukawa tunawalipa mishahara) 2. Tunapoteza sana hela (miaka yote hili linajulikana) 3. Hatuna vifaa vya kisasa (kwani vifaa vinashushwa toka mbinguni?) 4. Hatuna watendaji wenye...
  13. Mzee Mwanakijiji

    Wazo la Leo: Aliyeumwa na Nyoka...

    Tatizo siyo DP World, tatizo ni kumbukumbu zetu. Sababu zinazotolewa ni zilezile na serikali inayotoa ni ya Chama kilekile; NBC TANESCO ATC TRC -NUDA Mwisho wa siku tukajikuta tunarudisha mikomoni mwa "Wazalendo!" Hili la bandari ni majaribio yaleyale ya kushindwa kwetu? Mkataba...
  14. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu: Sijui Nicheke au Nilie?

    Nikicheka ntaambiwa nina dharau najifanya najua sana. Nikicheka kimyakimya ntaambiwa nina kiburi. Nikilia ntaambiwa kwani we ndo unauchungu kuliko wengine? Unalia nini sasa kwani hukujua? Nikishika hamsini zangu ntaulizwa kwani hujali? Hakuna kinachotokea ambacho hakikutabirika au kujulikana...
  15. Mzee Mwanakijiji

    Swali Fyatu la Mwezi: Wakimpa Sifa Zake, Watapunguza za Kwao?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuna watu ambao tunawakumbuka kwa umahiri na weledi katika kazi, vipaji au matendo yao. Michael Jordan aliichezea timu ya mpira wa vikapu ya Chicago Bulls na kujionesha kuwa ni mchezaji bora Zaidi wa mchezo huo duniani. Wengi wanalijua jina la Michael Jordan lakini ni...
  16. Mzee Mwanakijiji

    Swali: Zawadi ya Mawe yasiyoonekana Milele ni Zawadi Gani?

    Sijui mimi sijaelewa au tunaambiwa tukubali tuzo hii..kwanini isingekuwa tuzo inayoweza kuonekana na vizazi vijavyo..au watu watakuwa wanapiga mbizi kwenda kuangalia mawe hayo... kujua yakoje? KUNA gharama iliyotumika...mtaambiwa mamilioni ya shilingi yalitumika kuzamisha mawe yasiyoonekana...na...
  17. Mzee Mwanakijiji

    Swali Chokonozi: Tumejiandaa na Mafuriko Yajayo?

    Miaka hii ya karibuni tumeshuhudia nchi nyingi zikikumbwa na mafuriko yasiyo ya kawaida ya kihistoria. Kuanzia Brazil hadi Nigeria, Sudan ya Kusini hadi Pakistani. Afrika ya Kusini na Msumbiji kote kumetokea mafuriko ya kutisha na Ulaya hadi Marekani. Wahenga walisema "mwenzako...
  18. Mzee Mwanakijiji

    Wazo Fyatu: Ukali wa Mbwa Humtegemea Mwenye Mbwa...

    Na. M. M. Mwanakijiji Unaweza ukakuta mbwa asiyebweka; unaweza kukuta mbwa anayebwekabweka tu lakini hang'ati. Kuna mbwa mwingine ukimtazama tu unajua huyu "shughuli". Na unaweza kukuta mbwa wanaopenda kucheza cheza; hawafoki, hawabweki, wapo wapo tu ila wanaona raha kuita "puppy, puppy"! Siyo...
  19. Mzee Mwanakijiji

    Swali la Uchokozi: Jeshi la Polisi Halina Wanawake Wenye Uwezo?

    Labda hili swali tungeliuliza hata kuhusiana na Jeshi la Wananchi. Hasa baada ya hizi teuzi. Najiuliza inawezekana kwenye majeshi yetu hakuna wanawake wenye uwezo na ufahamu wa mambo ya kazi, operesheni na mikakati ya kijeshi kuweza kushika nafasi za juu kwenye majeshi hayo? Labda Rais yeye...
  20. Mzee Mwanakijiji

    Ujumbe kwa Prof. Assad: Hatutaki Rais anayesikiliza kila mtu na la kila Mtu!

    Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya maajabu makubwa ni hili la watu kuamini kuwa ujio wa Katiba Mpya utawapa Rais ambaye ataweza kudhibitiwa na "taasisi". Kwamba, Katiba Mpya itazuia Rais kufanya lolote na kuwa atakuwa analazimishwa kusikiliza mashauri mbalimbali. Prof. Assad ni miongoni mwa...
Back
Top Bottom