Na. M. M. Mwanakijiji...
Alipozungumza Jana Rais Samia kuhusu kukosa usingizi kunakomkuta kama Rais unaweza kudhani roho ya Magufuli ilimuingia ghafla. Yaani, maneno yake ukiyaweka kwa sauti na ukali wa Magufuli...unaweza Kwanzaa kuwaonea huruma Hawa wakuu wa mikoa.
Nasubiri kuona Nani atakuwa...
Sijaelewa... kama kweli wapo na wametangazwa hadharani hawajashtukizwa kutiwa pingu..wanaanza leoleo kuvunja mtandao na kupoteza ushahidi..hizo hela walizojigawia si ndo itakuwa "kilichoenda kwa mganga "?
Na. M. M. Mwanakijiji
Mojawapo ya vitu ambavyo huwa vinafanywa 'vizuri' na watawala wa watawaliwa unapoelekea mwaka wa uchaguzi ni jinsi gani huwa wanajipanga kujipendezesha kwa wakubwa wa dunia. Unajua pale nchi inapojisema tu kuwa ni ya "kidemokrasia" basi wakubwa wanaanza kuangalia vitu...
Sitetei kama kipofu...tuwe wa kweli. Unapolinganisha kitu unalinganisha na kingine. Ukisema "mtaa ule una nyumba moja mbaya sana, haina mabati mazuri wala milango imara".
tunaenda mtaani na kuangalia na kukuta kuna nyumba moja tu. Sasa unawezaje kulinganisha.
Uchaguzi au uchafuzi wa 2020...
Hivi mnataka tuamini kuwa Uchaguzi Tanzania miaka yote ulikuwa unafanyika vizuri, kwa Amani, na bila makadokado ya Chama tawala na wapambe wake? Kwamba kufika 2020 mambo yakaharibika? Yaani, tuamini JPM na timu yake walivuruga uchaguzi ili washinde 2020? Kabla ya hapo mambo yalikuwa powa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.