Search results

  1. samuel faraj

    Naamka nakuta kaniblock

    Dawa ya moto moto sio[emoji23]
  2. samuel faraj

    Mwanaume kamili wa kuongezeana furaha na siku za kuishi duniani anatafutwa

    Hiyo ladydii ndio id yako mpya enhee[emoji23][emoji23][emoji23]
  3. samuel faraj

    Nimemuonea huruma mume wangu baada ya kukagua simu yake

    Shida nini sasa mama si uvikubalie [emoji23] ubadili radha
  4. samuel faraj

    Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

    Hukijui unachokiongea boss[emoji4] ghorofa dola million 172? Lile jengo kwanza sio lao wamepanga ni la manji
  5. samuel faraj

    Nini kimeikumba Airtel? Wameuza minara yake yote na kugeuka wapangaji!

    The same to voda na tigo walikua wanamiliki wakauza so walichofanya airtel sio kigeni….. wanapunguza management headache na kuongeza ufanisi zaidi
  6. samuel faraj

    Kanali Martini Mkisi kweli maisha ni gwaride

    Nani alikwambia ukimbie umande[emoji1787][emoji1787][emoji1787] shule muhimu mzee utaishia kutumwa tumia tu hapo[emoji2][emoji2][emoji2]
  7. samuel faraj

    Kwa hizi maktaba alizojenga Rais Magufuli zinaweza kushika namba moja kwa ubora Afrika

    Acha kukurupuka kupost kitu bila kua na details library hizo zimejengwa kwa msaada wa serikali ya China hakuna hata shilingi ya serikali ya magufuli
  8. samuel faraj

    Kijana wangu anakesha kwenye games analala alfajiri

    Mtafutie demu[emoji2] awe anampotezea muda
  9. samuel faraj

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Hadi kufikisha dar itakua bei gani total
  10. samuel faraj

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Boss tcl 55” smart tv unauzaje
  11. samuel faraj

    Wanaume tuna Matatizo

    Na kama huna cha kutikisa inakuaje sasa[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. samuel faraj

    TANZIA TANZIA: Mchungaji Dkt. Peter Mitimingi wa Warehouse Christian Centre (WCC), afariki dunia

    Ila likitoka la mwanaume fresh sio[emoji14][emoji14]....... ubinafsi tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. samuel faraj

    Mwanaume uliza swali lolote hapa, sisi wanawake wa MMU tukujibu

    Mbona sie tunawakubali mkiwa hamna kipato cha kujikimu, kutwa mizinga? ..... don’t be selfish my dear[emoji51][emoji51] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. samuel faraj

    Mwanaume uliza swali lolote hapa, sisi wanawake wa MMU tukujibu

    Huyu atakua muuza k[emoji4] biashara matangazo [emoji14][emoji14] Sent using Jamii Forums mobile app
  15. samuel faraj

    Mwanaume uliza swali lolote hapa, sisi wanawake wa MMU tukujibu

    Acheni kuendekeza njaa nyie Sent using Jamii Forums mobile app
  16. samuel faraj

    Maisha halisi ya secretary POMPEO

    Sawa tajiri secretary pompeo tumekusoma! Vipi ndinga unaazimisha?[emoji4] nina ka function weekend Sent using Jamii Forums mobile app
  17. samuel faraj

    Nyie wanaume mnachotufanyia sisi tuwapendao...

    Wanawake wa design yako mmebaki less than 2% mkuu[emoji4] Very wise and positive thinker Sent using Jamii Forums mobile app
  18. samuel faraj

    Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

    Yes bei zimechangamka kidogo Sent using Jamii Forums mobile app
  19. samuel faraj

    Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

    Wana yale ma sausage balaa mzee Sent using Jamii Forums mobile app
  20. samuel faraj

    Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

    Hao kitimoto yao nzuri sema ndio wezi sanaa.... wanayo nyingine iko river side inaitwa city pork...tamu ila hushibi [emoji51][emoji51][emoji51] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom