Search results

  1. aka2030

    Kwanini kawawa hajaenziwa kama sokoine?

    Nauliza tu kwanini? Wakati ni mmoja ya watu waliolitumikia taifa hili kwa kila hali Nashauri watoto wake na wao waandae kumbukumbu yake itasaidia utawala kumkumbuka
  2. aka2030

    Watu maarufu waliofanikiwa kwa kuwatekeleza baba zao

    1. Ommy dimpoz Jamaa amefanikiwa sana baada ya kumterekeza baba yake akiwa anatanua DSM na fedha za kuhongwa na GSM baba yake anaendesha bajaj huko sumbawanga 2.Diamond platnumz Huyu amefanikiwa sana na nyota imeng'aa kwa kumzalilisha baba yake na kumuweka mbali kabisa yeye akiwa anakula bata...
  3. aka2030

    Tofauti kati ya timu ya Wananchi na Mabwanyeye

    Yanga juzi wakati wamacheza Ghana walivaa vitambaa vyeusi kuonyesha wanaguswa na tukio la Hanang hamna timu nyingine imefanya hivyo Yanga kwenye foundation ya prof jay imechanga tsh 5m upande wa pili hata simba ambayo ndio timu yake haijatoa hata mia Hapo ndio tofauti inapoanzia Azam...
  4. aka2030

    Hili ndio Kundi gumu CAF

  5. aka2030

    Kutana na kocha anayefundisha timu nne kwa wakati mmoja

    Huyu si mwingine ni mchawi mweusi Bakari shime ambaye anafundisha timu za mpira za Timu ya wanawake Tanzania Timu ya Under 21 wanawake Tazania Timu ya under 17 wanawake Tanzania Timu ya wanawake Tanzania bara
  6. aka2030

    Trafiki round about ya Goba Center anatafuta nini?

    Nashangaaa Goba Center imejengwa round about kupunguza foleni ila bado unakuta kuna trafiki jioni Ambapo sasa hata umuhimu wa kuwa na round about haupo tena foleni vile vile
  7. aka2030

    Serikali inakusanya vipi kodi kwenye biashara kwenye app ya Airbnb?

    Hii biashara maarufu na pendwa kwa sasa Tz nauliza serikali yetu inakusanya vipi mapato
  8. aka2030

    Nini kinaisibu Shilingi ya Kenya?

    Kila siku inazidi kushuka thamani sasa ni kenya tsh 1 sawa na tsh 16.51 wakati zamani ilifika mpaka 22 Ni hujuma kwa Ruto Ama wakenya wamerudia tabia yao ya asili ya uvivu
  9. aka2030

    Kariakoo, Upanga na Posta wana nchi yao nyingine kabisa

    Baadhi ya maeneo ya Kariakoo, Upanga na Posta hawa watu ni wana nchi yao ndani ya nchi Mtu anazaliwa Posta hajawahi kufika hata Magomeni Hudumza zote wanapata huko huko Posta mpaka kuna vyuo vikuu vya nje vyenye matawi Starehe zao ni huko huko Hosptali zao ni classic zipo Maduka yao Posta mengi...
  10. aka2030

    Tulizuia vipanya tumeruhusu Bajaj

    Kwa kweli moja ya sababu ya kuzuia vipanya(hiace) kuingia katikati ya Jiji ilikuwa ni kupunguza msongamano, namakosa yabkibarabani mengi waliyokuwa wanafanya madereva vipanya Hii kero sasa inaletwa na hizi Bajaj Kwanza zimekuwa nyingi kupita hata mahitaji. Huko mjini unaweza usigongwe na gari...
  11. aka2030

    Kati ya Dodoma na Arusha wapi pazuri kujenga apartment kwa ajili ya biashara ya Airbnb?

    Nauliza wadau wapi ni pazuri ambapo soko kwa sasa lipo. Kuna rafiki yangu yupo Canada ana wazo la kufanya hiyo biashara.
  12. aka2030

    Tujikumbushe ma Dj's walioinyanyua Bongo Fleva

    Dj Mars Dj Venture Dj Skills Dj D White Dj Juice Dj Nelly Dj Kessy Dj Muli Bring Bring Dj Majizo Di Sam Dj Cutter Dj Jongo Dj D7 Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
  13. aka2030

    Nipo hapa kuthibitisha mayele kuchezea yanga 2023/2024

    Habari ndio hiyo anarudi yanga dili lake la nje limebuma atabakia yanga kwa mwaka mmoja zaidi
  14. aka2030

    Wiki ya Mwananchi inafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa?

    Nauliza tu unafanyikaje kwenye uwanja uliofungwa maana TFF imesema ngao ya jamii itafanyika Tanga sababu uwanja umefungwa kwa marekebisho
  15. aka2030

    Ushauri: JKCI na MOI zikajengwe nje ya Muhimbili

    Ili ziweze kutoa huduma kwa ubora na kuipa Muhimbili eneo kubwa mle kuwa na taasisi zaidi ya moja pamesababisha kuwa na msongamano ambao mpaka sasa umesababisha magari kuanza kulipia
  16. aka2030

    LATRA mabasi kuondoka saa 9 usiku ni usumbufu na mzigo wa wananchi

    Ni kero kubwa iliyotengenezwa na latra mabasi kuanza safari saa 9 usiku. Mfano mtu anakaa mbali na stendi hapo lazima aondoke kwake saa 6 usiku km usafiri upo au aondoke mapema akalale lodge ya karibu na stendi. Unakuta sehemu ya kusafiri na 60k unatumia mpaka 150k. Kwanini isiwe kama majirani...
  17. aka2030

    Hongera kwa Bruno Gomes kwa kuasili (adopt )mtoto pale Singida

    Huyu mtumishi wa Mungu na mke wake baada ya kufika Singida walienda kituo cha kulea watoto na kumchukua mmoja ambaye kwa sasa wanaishi nae na mke wake kama mtoto wao Hakika kwa imani na matendo yake nina imani mtoto atalelewa katika kumjua Mungu.
  18. aka2030

    Uongozi wa yanga uombe zuio mahakamani baadhi ya vyombo vya habari kuandika kuhusu yanga

    Hii itasaidia sana kudhibiti vyombo vya habari na waandishi wa hovyo Wafanye kama alivyofanyaga manji kuzuia vyombo vya habari ya mengi kuandika kuhusu yeye Kwa kuanzia waanze na kuzuia Efm na TVE kuzungumza kuhusu yanga Kisha waje na baadhi ya waandishi uchwara kama juma ayo Hii italeta nidhamu...
  19. aka2030

    Baiskeli Bodaboda, Bajaji muwe na nidhamu barabara za lami hazijajengwa kwa ajili yenu

    Hamna serikali inayoweza kutenga pesa ijenge barabara ya lami eti bajaji sijui boda ipite Barabara za lami ni kwa ajili ya magari. Nawakumbusha wajue hilo so wanapopita kweywe barabara ambazo hazijajengwa kwa ajili yao wawe na nidhamu na kufuata sheria
Back
Top Bottom