Search results

  1. J

    Maazimio ya UVCCM kwenye kongamano la miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    MAAZIMIO YA UVCCM KWENYE KONGAMANO LA MIAKA 60 YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 🗓️21Aprili, 2024 📍Zanzibar Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi wameanzimia mambo yafuatayo katika Kongamano la UVCCM kuelekea Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 1. Vijana wa Chama cha...
  2. J

    Jokate: Fomu ya urais ni moja tu

    "Ndugu Vijana wenzangu, Secretariat ya CCM katika mapokezi yake ilisema wazi kuwa katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 itatoa fomu 1 kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye si mwingine bali ni Dkt. Samia Suluhu Hassan, vilevile kwa upande wa Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar ni...
  3. J

    Kama leo hii mwanamke atatwezwa utu wake, watawezaje kwenda kuchukua fomu ya uchaguzi?

    KAMA LEO HII MWANAMKE ATATWEZWA UTU WAKE, WATAWEZAJE KWENDA KUCHUKUA FOMU YA UCHAGUZI? "Serikali mwaka huu inaingia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu, wapo watu mbalimbali watagombea wenye jinsia ya kike, kama leo hii watatwezwa na kudhalilishwa, nani mtoto wa kike...
  4. J

    Waziri Bashungwa awasili Manyara kushuhudia utiaji saini mkataba wa ujenzi barabara

    BASHUNGWA AWASILI MANYARA, KUSHUHUDIA UTIAJI SAINI MKATABA WA UJENZI BARABARA. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Wilayani Babati Mkoani Manyara ambapo atashuhudia utiaji saini Mkataba wa Ujenzi wa barabara ya Dareda - Dongobesh (km 60), Sehemu ya Dareda Centre hadi Dareda...
  5. J

    Jokate Mwegelo: Vijana hawatakosea na tutashambulia kila kona kuzisaka na kuzilinda kura za CCM

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo ametuma salamu kwa Wapenzi watazamaji wanaowatazama Vijana wa CCM wakisubiri wakosee ambapo amesema Vijana hao hawatokosea na watashambulia kila kona ya Tanzania kuzisaka na kuzilinda kura za CCM pamoja na kugombea...
  6. J

    Jokate Mwegelo ni kiungo sahihi cha utendaji UVCCM

    Dada yupo vizuri sana kichwani
  7. J

    Jokate Mwegelo ni kiungo sahihi cha utendaji UVCCM

    Anaandika Humphrey Shao wa Msakuzi Kaskazini. kiongozi ni lazima awe ni yule anayejishugulisha kufikri kwa sababu ya watu na awe anaendana na watu anawaongoza naona huu ndio Mtazamo uliomuongoza Dkt. Samia Suluhu Hassan kumchagua Mdada Mtanashati Ndugu Jokate Urban Mwegelo kuongoza jumuiya...
  8. J

    Siku ya viwango na ubora barani Afrika

    SIKU YA VIWANGO NA UBORA BARANI AFRICA Dar es Salaam - Tanzania Tarehe 29/03/2024 Shirika la Viwango Tanzania TBS limeadhimisha Siku ya Viwango na Ubora Barani Africa kwa Nchini Tanzania Katika Makao Makuu ya shiriki hilo JIJI DAR ES SALAAM Mkurugenzi Mkuu wa TBS nchi Bwana Athumani Yusufu...
  9. J

    DC Shaka Hamdu Shaka hawezi mikimiki ya Wakulima na Wafugaji wa Kilosa, abadilishiwe kituo

    Kulikuwa na vifo sana kwa mwaka vifo 15 Hadi 5 lakini Toka DC Shaka kuweka mikakati mizuri ya wakulima na wafugaji Sasa hakuna kifo hata kimoja Toka amekuwa DC hapa KILOSA tunajivunia sana Mkuu wa WILAYA yetu anaguswa na matatizo ya wananchi wake
  10. J

    DC Shaka Hamdu Shaka hawezi mikimiki ya Wakulima na Wafugaji wa Kilosa, abadilishiwe kituo

    Sema wabobgo wanajitoa Akili sana Toka Shaka awe DC hapa KILOSA mauaji ya wakulima na wafugaji yamepungua sana. Usikii mikikimikiki ya wakulima na wafugaji
  11. J

    Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

    Wanawake wakiamua lao jua ndio basi Tena mama kama anamsukuma Mlevi 2025...... Atapata kura Zaidi ya asilimia 96
  12. J

    UWT yamchangia Samia Suluhu Hassan Tsh milioni 2 kwa ajili ya kuchukulia fomu ya urais ifikapo mwaka 2025

    UWT YAMCHANGIA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KIASI CHA TSH MILIONI 2 KWA AJILI YA KUCHUKULIA FOMU YA URAIS IFIKAPO MWAKA 2025 🗓️ 26 Machi, 2024 Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu. Mary Chatanda kwa pamoja wametimiza ahadi yao kwa kumpatia Mwenyekiti...
  13. J

    Mary Chatanda: Shukrani zetu kwa Rais Dkt. Samia zimejikita kwenye dhamira yake ya kuliunganisha taifa

    UWT WATOA HATI YA SHUKRANI WA MWENYEKITI WA CCM NA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Ndugu. Mary Chatanda (MCC) wametoa Hati ya shukrani kwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  14. J

    Mary Chatanda: Shukrani zetu kwa Rais Dkt. Samia zimejikita kwenye dhamira yake ya kuliunganisha taifa

    SHUKRANI ZETU KWA RAIS DKT. SAMIA ZIMEJIKITA KWENYE DHAMIRA YAKE YA KULIUNGANISHA TAIFA - MARY CHATANDA (MCC) "Shukrani zetu Wanawake kwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, zimejikita kwenye dhamira yake ya dhati ya kuliunganisha Taifa kuwa...
  15. J

    Makamu mwenyekiti UWT CDE. Zainabu Shomari atoa salamu za upendo za Rais Dkt. Mwinyi kwa UWT

    MAKAMU MWENYEKITI UWT CDE. ZAINABU SHOMARI ATOA SALAMU ZA UPENDO ZA RAIS DKT. MWINYI KWA UWT Makamu Mwenyekiti wa UWT Ndugu. Zainab Shomari akizungumza na Maelfu ya Wanawake waliojitokeza kwa wingi kwenye Kongamano la kumshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  16. J

    Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

    SAMIA KAMALIZA YOTE, DENI LIPO KWETU SISI KUHAKIKISHA TUNAMTENDEA HAKI - CDE. JOKATE Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Jokate Mwegelo amesema kuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kipindi cha miaka 3 ya Uongozi...
  17. J

    Jokate: Rais Samia kamaliza yote, deni lipo kwetu sisi kuhakikisha tunamtendea haki

    WANAWAKE HATUTACHOKA NA TUTAENDELEA KUMTII, KUMSEMEA, KUMTETEA NA KUMSHUKURU RAIS DKT. SAMIA KATIBU MKUU UWT JOKATE "Wanawake wa Tanzania hatujaja kumpongeza tuu bali tumekuja kumshukuru Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi njema na...
  18. J

    CDE. Issa Gavu apokelewa kwa shangwe na Mwenyekiti wa UWT CDE. Mary Chatanda

    CDE. ISSA GAVU APOKELEWA KWA SHANGWE NA MWENYEKITI WA UWT CDE. MARY CHATANDA katibu wa NEC , Idara ya Organaizesheni Ndugu. Issa Haji Ussi (Gavu) tayari amewasili katika Ukumbi wa Mkuki House na kupokelewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Mary Chatanda (MCC)...
Back
Top Bottom