Wewe ni mpuuzi, huna ukijuacho, avatar yako tu inaonyesha unachowaza kichwani kikoje. Usifananishe ardhi na financial institutions.
Dawa ya mpuuzi ni kumpuuza!
Wao waendelee kuua vikongwe wao na kufanya uchawi labda wataendelea.
Habari za kimei hawezi kufikia akili yake hata robo. Kimei kawazidi akili sana kama mbingu na ardhi ndio maana hawezi kumwelewa kamwe.
Kuomba ni moja ya taratibu hiyo acha kujitoa ufahamu basi, ulitaka wakaombe wapi wasipopajua, watu elfu walioko kijijini ndani ndani watajuaje kama Ruvuma namtumbo kuna eneo kubwa lisilo na watu?!
Wakitumia mwakilishi wao bungeni ni kosa kisheria?! Acha kujitoa akili bwana mdogo, nakuelimisha...
Bungeni kuna taratibu na miongozo hiwezi kujiongelea ovyo kama sokoni kariakoo,
Sikushangai hulijui hili, kama hujui kuwa kuomba ardhi sio kosa kisheria , utajua kanuni na miongozo ya bunge?!
Ungekuwa na akili kidogo ungejiuliza wabunge wote hawakujua kama ni kituko au kosa isipokuwa wewe mzururaji tu kwenye mitandao?
Speaker wa bunge hakuona ni kituko na kosa ampe muongozo isipokuwa wewe mpuyangaji humu jf?
Mwanasheria was serikali kule bungeni hakuona ni kosa Ila wewe mnuka...
Ulivyo zuzu la kisukuma, umeweweseka na simanjiro, lakini mkoa was manyara hujauona?!
Nilivyotaja kule nyuma kwamba wachagga waliwahi kupelekwa KATAVI hukushtuka, wakati miaka ile hakukuwa na mkoa wa katavi Bali mbeya, tena ukaja kumegwa kuwa mkoa wa Rukwa! Alafu unajifanya kushtuka kutajaa...
Poa kaka. Nenda kafanye ibada. Maana wenzetu dini zao tunazijua kufuga imitunga na ibada zao ni kule patakatifu pa patakatifu GAMBOSHI.
Ahahaaa! Hatari sana!
Mkuu Loyalist hakuna kanda yenye umaskini mkubwa kama hii, wanadai wako wengi, kumbe wingi wa umasikini tu kama nyumbu, na vile mzee baba meko kawadanganya waendelee kufyatua watoto kama simbilisi ndio balaa, wanadhani kila mtoto anakuja na sahani yake ya wali mkononi. Begi la nguo na mahitaji...
Nimecheka sana aisee,
Naona umeongea kinyume chake, hivi ni kabila gani linasifika kwa kuwachukua ndugu zao MISUKULE kama ilivyo kwa Wasukuma nasikia mnaita IMITUNGA?!
nasema uongo ndugu zangu?!
Kabila gani linasifika kwa uchawi tangu enzi za kina MWANAMALUNDI, akikanyaga jiwe (mwamba)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.