Kuna watu wametumiwa barua pepe yenye ujumbe ufutao hapo chini. Je ujumbe huu unauhalisia?
Niwasilishe.
About Your Job Application on Tanzania Referendum Support Project
Congratulation for your intention to work with us in the project, Tanzania Referendum Support Project (TRSP) in...
Matunda ya shule kukosa walimu ndiyo haya. Yatasemwa mengi lakini daima tunasikia malalamiko shule hazina walimu, na hivyo watoto wanakuwa na muda mrefu wa kutunga mashairi.
Ulitaka waandike nini kama hawakufundishwa? Wakiandamana wanapigwa mabomu pengine wameona hii ndiyo njia pekee ya kufikisha ujumbe. Baadala ya kuwalaumu inatakiwa kujiuliza kunini inazidi kuwa hivyo? Namna nyingine yoyote itakuwa ni uvivu wa kufikiri.
Utamaduni wa kupenda kujisomea vitabu unatakiwa ujengwe, na kamwe hauwezi kurithishwa. Shule nyingi za msingi na sekondari hazina vitabu ukiachilia mbali maktaba, wanafunzi hutegemea "notes" kutoka kwa waalimu wao. Matatizo ya wanafunzi kitaaluma yanatatuliwa kwa "tuition'' ambapo hupokea kutoka...
Pamoja na ombwe la uongozi bado Tanzania iko juu kwenye utawala bora?
http://www.moibrahimfoundation.org/en/media/get/20111003_ENG2011-IIAG-SummaryReport-sml.pdf
Gazeti la Mwananchi leo lina habari isomekayo Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi, Dk Shukuru Kawambwawa, amesema walimu nchini wangekuwa wanatumia nguvu kubwa wanayotumia hivi sasa kudai posho na malimbikizo yao, wangeitumia madarasani matokeo mabaya yangekuwa ni historia. Wakulaumiwa hapo ni...
Ngereja asinge weza kufanya zaidi ya hapo, ndivyo walivyowalivyo isajili hiyo Dowans, kulikuwa na thread huko nyuma zilizungumzia headnquarter ya Dowans sa..
.... Yana mwisho!
Wazo lako linakosa mtiririko, lau kwa para moja ungeweza kutudokeza kuwa kwa nini Dr Slaa ni mgombea sahihi (heading inavyo someka) baadala ya kukimbilia kufikiri kuwa atapoteza.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.