Search results

  1. I

    Fomu za kujiunga(Joining instruction) kwa shule mbalimbali za sekondari nchini

    salaam wana jf.... tunaomba mwenye mawasiliano ya Kondoa GIRLS au kupata joining instructions ya hapo kwao shuleni atusaidie tafadhali..cell: 0753210877
  2. I

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Habari ndugu wana jf.. Naitwa JAMES PETER ni mtumishi mwalimu idara ya Sekondari niko ROMBO KILIMANJARO Natafta mtu wa kubadirishana kituo cha kazi anae Toka BUSOKELO MBEYA. Aliye tayari tuwasiliane ani PM au nipigie 0625841197 ASANTE!
  3. I

    Vipi kuhusu hii bodi ya mikopo 2016

    namba za bodi hizi hapa: 0763459165 & 0754373481 wapigieni na nyie wenzangu tusikie wanasemaje kuhusu application za mikopo maana mwaka huu wamechelewesha na vijana wanatakiwa kwenda JKT kuanzia tarehe 1-5 june.
  4. I

    Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

    usiwasemee watanzania sema wewe na uchache wa mawazo yako kujua kiongoza bora!! toa uchafu wa mawazo hewa yako
  5. I

    Wimbo wa Amani- Ulioimbwa jana

    hapa c mtupe wimbo jamaaan
  6. I

    Naomba wimbo au jina la huyu msanii

    acha utani ndgu....basi.
  7. I

    Naomba wimbo au jina la huyu msanii

    Hi wadau....... jamani samahani naomba kama kuna mtu anajua kwaya moja au kikundi cha waimbaji waliimba wimbo wa ''amani'' juzi kwenye maazimisho ya miaka 53 ya uhuru. naombeni wimbo au jina la msanii....
  8. I

    Natafuta Kazi au hata Kibarua cha Muda

    JUST FOLLOW THIS LINK BELOW>>>>GoPaidWeekly.com Get Your Guranteed Home Job for 1500$ weekly
  9. I

    Ajira za walimu 36,000 kumwagwa mwaka huu

    Zsyretedtddrßrddu!dshggttzxsfffffffffffffffffrfreydus£uwDdr53awet
  10. I

    Nikuhusu huyu doctor-nisaidieni

    Habari wana jf, samahani naombeni kwa yeyote mwenye contacts za doctor IZAACK NDONI... wa tiba mbadala.. Natanguliza shukrani!!
  11. I

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    pole bwana ni muda mrefu nakuona humu ukihangaika....
  12. I

    Tetesi kuhusu TTCL customer care

    eeee ndo usubiri, kwani huwa hamsomi matangazo vizuri?? huwa wanasema kama hujasikia call for interview then count, you are not qualified enough to be considered for interview...au endelea kusubiri, sio mnatusumbua kuuliza maswali yenye majibu.... let say wengine wameitwa utafanyaje sasa...
  13. I

    Mwanamke Mwenye Kishungi namtafuta

    asubhi asubuh, tutafika kweli mida ya kazi hiii
  14. I

    Kidato cha sita 2013 wanatakiwa kuripoti JKT 24/06/2013

    wewe akili zako chache saaaana, umesha ambiwa serkal haina dini..... sasa unatoa wapi fikra potof za kidini hapa.... na unamawazo ya shari tu.... watu wenyewe hata kwenye kiganja hamjai tuki watafuna tunawamaliza tu sema hatu pendi ukorofi na kuvunja amani ya nchi.......
  15. I

    Naombeni nitajieni shule nzuri ye mchepuo wa ECA

    ndo ka test the diferenc.... usikariri, nini sasa kitaharibika ukiwa kwa boys? labda kama unaendekeza mambo fulani ndio unataka lazima wawepo girls tu or boys tu (sijui are you a boy or girl?)
  16. I

    bodi ya mikopo heslb help plz

    SASA WW UNACHO HANGAIKA NI KITU GANI? KWANI LAZIMA KILA KITU UFANYE MWENYEWE? WAPE WATU HELA WAFANYE KAZI!! watu tunafanya kazi hiyo.............. time is not in your favour......
  17. I

    Msaada jaman TCU imenishinda

    POLENI SAANA, BUT NACHO KIJUA MIMI NI RAHISI, SIMPLE AND INSTANT..... COZ I HV BIN WORKING WITH THIS THINGS..... Kama upo online dakika hii contact me....0753210877
  18. I

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    wewe, nimegundua ni MJINGA kweli... unapost irrelevant coment kwenye kila thread ya mtu... hivi ume elewa mleta maada kasemaje?? anakuambia anahitaji mtu wa kubadirishana nae!!!, katoa contacts zake pale, ili mwenye haja awasiliane nae, NOT otherwise.... eti unauliza sababu sababu....!!!! sababu...
  19. I

    Kubadirishana na mwalimu aliye njombe au makambako

    natafta mwalimu (sekondari) wa kubadirishana anayetoka wilaya ya njombe mji au makambako, aje mbeya-rungwe........ kwa mawasiliano zaidi: 0753210877 au 0712765157
  20. I

    Kubadirishana na mwalimu anayetoka njombe/mkambako

    natafta mwalimu (sekondari) wa kubadirishana anayetoka wilaya ya njombe mji au makambako, aje mbeya-rungwe........ kwa mawasiliano zaidi: 0753210877 au 0712765157
Back
Top Bottom