Search results

  1. Principal Focus

    Kufungiwa kwa wimbo wa "Mwanza" wa Rayvanny na Diamond: Je, ni mawazo ya bodi nzima au mtu binafsi!?

    Hata dini yenyewe inatambua kuna wakati wa uovu na wakati wa mema.
  2. Principal Focus

    Kufungiwa kwa wimbo wa "Mwanza" wa Rayvanny na Diamond: Je, ni mawazo ya bodi nzima au mtu binafsi!?

    Duniani hapa hakuna mkamilifu, leo unaemuona mtenda dhambi kesho ndio anaingia mbinguni....๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
  3. Principal Focus

    Utitiri wa wanamuziki wa hovyo unawabania wenye vipaji vya kweli

    Kipindi anataka kukua kwanini hakupalilia shamba ili asiote kwenye miba!? Maana hata mbinguni si wote watakao ingia sembuse kwenye muziki!! Waambie tu wajipange kipindi wanataka kutoka wapalilie shamba ili wastawi vizuri..
  4. Principal Focus

    Kufungiwa kwa wimbo wa "Mwanza" wa Rayvanny na Diamond: Je, ni mawazo ya bodi nzima au mtu binafsi!?

    Mimi naona Basata na Tcra wafanyakazi wake hawataki kukubali kuwa tupo katika karne ya teknolojia. Kila kitu kimehalalishwa kwa muda maalum.
  5. Principal Focus

    Kufungiwa kwa wimbo wa "Mwanza" wa Rayvanny na Diamond: Je, ni mawazo ya bodi nzima au mtu binafsi!?

    Lakini nyimbo za wenzetu huwa tunaziminya hayo maneno makali kisha tunarushwa kwa luninga zetu... Ili hali hata muda mwingine " https://jamii.app/JFUserGuide and bitch" zimetawala kwenye nyimbo.
  6. Principal Focus

    Kufungiwa kwa wimbo wa "Mwanza" wa Rayvanny na Diamond: Je, ni mawazo ya bodi nzima au mtu binafsi!?

    Sio kwamba tafsiri yako ndio imekupa hiyo tafsida ya nyege nyege
  7. Principal Focus

    Kufungiwa kwa wimbo wa "Mwanza" wa Rayvanny na Diamond: Je, ni mawazo ya bodi nzima au mtu binafsi!?

    But kama ni kulinda maadili, wala si siku nyingi mawaziri wawili wampinga RC wa dar kwenye ushoga, mbali zaidi Mh Kangi Lugola akasema mashoga wako salama Tanzania na hakuna atakae waonea.
  8. Principal Focus

    Kufungiwa kwa wimbo wa "Mwanza" wa Rayvanny na Diamond: Je, ni mawazo ya bodi nzima au mtu binafsi!?

    Hakuna anae tetea uovu but kwanini basi kusiwe na muda maalumu kwamba wanaotaka kusikiliza uovu wasubiri mida flani na wengine mfanye daylight.
  9. Principal Focus

    Kufungiwa kwa wimbo wa Mwanza Nyegezi; Je, ni wazo la bodi nzima au wazo la kibinafsi?

    Habari Wana JF! Katika sakata hili linaloendelea la kufungiwa wimbo wa "Mwanza Nyegezi" kutoka usafini WCB na jinsi walivyokuwa wanajibizana mitandaoni kati ya WCB na Basata hiyo jana, nimepata shida sana kujua mchango wa wajumbe wa bodi walioteuliwa na Mh Mwakyembe kama nao walihusika vipi...
  10. Principal Focus

    Kufungiwa kwa wimbo wa "Mwanza" wa Rayvanny na Diamond: Je, ni mawazo ya bodi nzima au mtu binafsi!?

    Habari Wana JF! Katika sakata hili linaloendelea la kufungiwa wimbo wa "Mwanza Nyegezi" kutoka usafini WCB na jinsi walivyokuwa wanajibizana mitandaoni kati ya WCB na Basata hiyo jana, nimepata shida sana kujua mchango wa wajumbe wa bodi walioteuliwa na Mh Mwakyembe kama nao walihusika vipi...
  11. Principal Focus

    Kwenu vidume mnaojifanya hampendi umbea ila hamkauki celebrities forum

    ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
  12. Principal Focus

    Kwenu vidume mnaojifanya hampendi umbea ila hamkauki celebrities forum

    Huwezi kuwa cool kila muda... Kuna vitu mtu lazima afanye ikiwa na kupitia humu kumaliza stress zake, na haimaanishi yeye ni fala au lofa kisa ni mwanaume. Dunia huwezi ibadili ila unaweza kujitengenezea ulimwengu wako wa kuishi.... Sio kila siku habari za viwanda tu ili kuonekana na watu uko...
Back
Top Bottom