Search results

  1. jajcom

    Msaada: Bei za kukodisha formwork za ujenzi

    Wapo watu wanakodisha formwork kwa ajili ya slab; ni za chuma na support zake! Wanafanya 20,000 kwa sqm meter (formwork za slab + support + installation kwa 30days) Sent using Jamii Forums mobile app
  2. jajcom

    Je naweza kupata mkopo bank kwa kutumia business plan?

    Business plan ni moja ya hitaji la msingi sana wakati bank wanatoa mkopo! Business plan inawasaidia kufanya risk assessment nakuangalia uwezekano wa cash flow! Unaweza kupewa mkopo kama una dhamana (yaani unasifa ya kukopesheka) Dhamana sio lazima, iwe ya kwako inaweza kuwa hata ya mtu...
  3. jajcom

    Nahitaji eneo la kujenga sheli

    Jaribu kuwa specific! karibu na bandari upande gani, Kilwa road? Kigamboni?au upande upi? Ni vizuri pia ukiweka taarifa za kutosheleza kwa mfano eneo litazame barabara au liwe umbali X kutoka barabara kuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. jajcom

    Kwa Bilioni hizi, naweza kujenga ghorofa ngapi?

    Ukubwa wa project unapimwa kwa kuangalia gharama halisi za jengo! Lakini pia na complexity ya jengo kwa maana ya vifaa vinayohitajika katika kufanikisha ujenzi! Kingine ni construction methodology inayohitajika, ndio inatoa picha ya size ya project. Binafsi naweza kusema, ghorofa 5 nakuendelea...
  5. jajcom

    Mchakato wa kubadilisha Director kwenye kampuni

    Haina haja ya wewe kujitoa! Swala la Msingi ni kuongeza mkurugenzi ili akusaidie kukamilisha majukumu ambayo yanamhusu Mkurugenzi! Siku ukiamua kurudi unaendelea na majukumu yako kama mkurugenzi bila kuathiri upande wowote! Ukisema ujiondoe; lazima ujaze form ya kutransfer share/contract ya...
  6. jajcom

    Kwa Bilioni hizi, naweza kujenga ghorofa ngapi?

    Kwenye field ya construction hiyo ni project ndogo sana! Kampuni ni nyingi sana, mpaka Class 6 inaruhusiwa kujengo hadi ghorofa 2. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. jajcom

    Kwa Bilioni hizi, naweza kujenga ghorofa ngapi?

    Kujua utaweza kujenga ghorofa ngapi inategemeana na vitu vifuatavyo:- 1. Ramani ya jengo - jengo lina ukubwa gani; Mara nyingi kuna rate ambazo ziko zinakuwa charged kwa square meter kwa standards tofauti. Lakini pia ramani ioneshe inaweza ku_accommodate watu wangapi 2. Materials - kwa sehemu...
  8. jajcom

    Kwa wenye diesel pumps za kuvuta maji naombeni ushauri wenu

    Kujua horsepower peke yake haitoshi! Nafikiri kitu cha msingi kabisa ni kujua discharge rate au ujazo wa maji unayohitaji kwa saa! Horsepower ya pump inafuata ukishajua kiasi cha maji unachohitaji kupump na kwa rate gani na umbali unaotoa maji mpaka unapoyapeleka (hapa itakubidi uzingatie tena...
  9. jajcom

    Anahitajika mtaalam wa kuandaa Pendekekezo la Biashara 'Business proposal's za misitu na mazingira

    Nimeshawai kuandaa mradi mmoja wa namna hii mwaka 2017, mradi ulikuwa umejikita katika utunzaji wa misitu kwa kutoa njia mbadala kwa wakazi wanaoishi jirani na misitu pamoja na kutumia mali asili misitu kufuga nyuki kama chanzo cha kujiongezea kipato kwa wakazi jirani na misitu ili kuacha...
  10. jajcom

    Paving blocks

    Nafikiri sio sahihi kabisa kuweka nylon chini ya paving blocks. Moja kati ya faida kubwa ya paving blocks ni kusaidia kupunguza changamoto za fall water (maji ya mvua), uwekaji wa paving blocks unasaidia kuruhusu kufyonza maji ya mvua (seepage/penetration of fall water) ili kuondokana na...
  11. jajcom

    Paving blocks

    Kwanini mnatanguliza nylon chini halafu paving blocks zinafuata juu?
  12. jajcom

    Ni kweli madirisha ya PVC white hayafai mikoa ya joto kama Dar?

    Nafikiri unazungumzia madirisha ya uPVC na sio PVC! Kuna utofauti mkubwa kati ya PVC (Poly Vinyl Chloride) na uPVC (unplasticized Poly Vinyl Chrolide). Kwanza tambua uPVC ni material ngumu sana, na haijikunji kirahisi kama PVC, ndio maana uPVC inakuwa recommended kwa ajili ya frame za milango...
  13. jajcom

    Yote maji lakini mbona yanatofauti kubwa hivi ?

    Kwanza lazima utambue contents za Maji zinategemeana na chanzo halisi cha maji mfano: content ya Maji ya Kilimanjaro haiwezi kufanana na Uhai, Afya, Jambo au Masafi kwa mantiki ya kwamba yanatoka kwenye vyanzo tofauti. Lakini pia unapaswa utambue Maji naturally yana minerals (madini), sehemu...
  14. jajcom

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Binafsi nimeota maelezo kulingana uzoefu wangu kwenye route ndefu! Unaweza majaribio ukapata uhalisia. Nimeshawai kusafiri nayo kutoka Moro mpk Mwanza kwa speed ya wastani wa 140, niliweka mafuta full tank Mara 3 (kwa mchanganuo kwa kwamba kipindi hicho over 3yrs back full tank nilikuwa najaza...
  15. jajcom

    Ushauri kuhusu grand mark 11 gx 110

    Binafsi kwa uzoefu wangu kutumia gx 110 (miaka 2) Route za mjini inatembea kati ya km 7 - mpaka 8km kwa litre 1. Kwa masafa marefu nimegundua vitu viwili kutoka kwenye hii gari 1. Ukitembea speed chini 100 hasa 80, fuel consumption yake inapungua. 2. Ukitembea speed zaid ya 100 inakula mafuta...
  16. jajcom

    MSAADA: Hospital nzuri ya kutibu Masikio

    Nenda Ekenywa Magomeni! Wao wamespecialise kwny magonjwa kinywa tu (mdomo, masikio na pua)! Nilikuwa naumwa sikio, nilienda pale na ambulance nikiwa katika hali mbaya sana nikapata huduma nzuri sana, nilipata special care kwa upande wa sikio, kuanzia hapo sijawai kupata tena tatizo la sikio
  17. jajcom

    Office Table, Desktop na Printer Vinauzwa

    Nauza vitu vifuatavyo; 1.Desktop na CPU (RAM 2, HDD 220) yake + printer sh.200,000/- 2. Office table (hardwood) made in brazil, Sh.600,000/- Ukichukua vyote bei napungua mpaka sh.650,000/- Sababu ya kuuza nina hama kikazi
  18. jajcom

    Vitabu ya Malipo

    Habari wanaJF Natafuta mtu/company inyotengeneza vitabu vya malipo kwa ajili ya comapny/organization kama nilivyoorodhesha hapo chini:- 1. Cash Book 2. Payment Voucher 3. Pretty Cash Expenses Naomba kufahamishwa wahusika/company inayofanya hiyo kazi kwa DSM. Ahsanteni
  19. jajcom

    PC Game: Call Of Duty 4 Modern Warfare, Naitoa bureee!!!

    Mkuu naomba link ya American truck simulator
  20. jajcom

    Nifanye nini nikiwa chuo ili nikimaliza nisitegemee ajira?

    Binafsi nilishawahi Kuwa na wazo Kama lako wakati nikiwa chuo Kikuu.. Nilipokuwa first year nilipanga pindi nimalizapo chuo nifungue company yangu binafsi au organization.. Lakini ktk mwaka huo huo first year nilibahatika kufanya field ktk organization flani, nilikuwa inspired jinsi...
Back
Top Bottom