Search results

  1. S

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    password yangu ya fb anayo na mara nyingi anaingia kwenye ac yangu anachat na rafiki zangu wakijua ni mm mtu akiniita tu dia au wangu au mpz anamblock
  2. S

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    ndo niko kwenye zoezi hilo kwani jana mm nilikuwa kazini nilipofika nyumbani kutoa cm nikakuta mic cal zake nikamcal akawa apokei badae akaniandikia msg ushatoka kwenye mambo yako ndomaana ulikuwa hupokei cm zangu nikajaribu kumwelewesha kwamba haikuwa hivyo bali sikusikia cm coz nilikuwa kwenye...
  3. S

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    ahsante kwa ushauri
  4. S

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    basi usicomment kama hayakuhusu yangekuwa hayawahusu nisingeomba ushauri kwenu mtu anapoomba ushauri inamaana jambo hilo limekuwa shida isiyokuwa na suruhu kwake
  5. S

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    hapana sisi sio watoto tuna umri wakutosha wote wawil ana 31 nina 28
  6. S

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    anazo password zangu zote na nilimpa kumwonyesha tu sina baya llte nalofanya
  7. S

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    jaman sijakutana nae mtandaoni ni wivu tu unamsumbua labda maana sijui tatizo ni nn
  8. S

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    dah umenigusa sana kwakwel kwani usemacho nakiona mbele yangu nishajaribu kumuacha two times bt anajiludi na kusema anaomba nifuate anachotaka yy kama kumpa password zangu zote kitu ambacho nimefanya lakini haijasaidia kitu anataka nikitoka tu kazini nizime cm zangu mbili ibaki moja tu anayojua...
  9. S

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    marshal hatujakutana online sijui tu ana matatizo gani hata anashindwa kbs kuniamini.
  10. S

    RIP GOLDIE.....Naija singer is no more

    RIP mdada tulikupenda sna ila yeye aliyetuumba kakupenda zaidi!
  11. S

    Nampenda sana lakini aniamini nifanyeje

    Niko kwenye wakati mgumu sana ninaempenda aniamini hata kdg akiona niko online iwe fb, whats app na mitandao mengine anachanganyikiwa kabisa kwamba nachat nawanaume nishamwelewesha lakini wapi ata akinipigia cm bahati mbaya nisipopokea nikimwelewesha aniamini anahisi vibaya muda wote nifanyeje...
  12. S

    PICHA: Lulu akiwa mahakamani mapema leo asubuhi

    Binti kanenepa na kupendeza lk hakuwa gerezani.
  13. S

    Happy Birthday Hon. J Makamba

    Happy Birthday mkaka! Mungu akusimamie katika kazi zako!
  14. S

    Ivi inawezekana kweli????

    Wadau habari za mchana huu jana nilisafiri na kaka mmoja kwenye ndege alikuwa ni mtu mwenye mawazo mengi sana badae akaamua kuzungumza namnukuu kama ifuatavyo. (Dada mm naitwa .......................... akataja jina lake naishi Arusha nafanya kazi katika mgodi wa Tanzanite nimeoa na nina mtoto...
  15. S

    Doctor nisaidie

    thanx much
  16. S

    Doctor nisaidie

    thanx much!
  17. S

    Doctor nisaidie

    Nimekuwa nikipata tatizo la kutopata choo kwa muda mrefu sana naweza kukaa hata wiki nzima bila kupata choo bt nakula vizuri kawaida milo 3 sijui hata hicho chakula kinaenda wapi nimeonana na madaktari wengi kila mmoja akinipa ushauri wake mara kunywa maji mengi nakunywa wapi, mara kula sana...
  18. S

    Fastjet ni kero tupu!

    tusiwalaumu Fastjet kiukwel hata precision pia hayo mambo yapo wameanzisha ndege ya mbeya 249,000 lakini unaambiwa ndege imejaa zipo seat za 390,000 me nadhani nikufanya booking mapema sio ya papo kwa papo na tuamke sasa watanzania sio unangoja dk za majeruhi ndo wakimbilia airport kwan kumbuka...
  19. S

    Je kuna ukweli wowote ktk hili??

    wadau nisaidieni katika hili inasemekena boyfriend au husband akiwa na wivu wa kupitiliza mara akukague kwenye cm mara cm ikipigwa mkiwa wote anataka apokee yy yani ule wivu wa kero mara akuchagulie sehemu za kwenda mara nguo hii vaa hii sitaki ni kwamba yeye sio mwaminifu je kuna ukweli wowote...
Back
Top Bottom