Search results

  1. K

    Jinsi au namna ya kuacha kazi

    watu wa hapa hawana ushirikiano ndomana nimekuja kwa wanajukwaa wenzangu ili mnimsaidie
  2. K

    Jinsi au namna ya kuacha kazi

    ndo naulizia sheria ndugu ilinijue
  3. K

    Jinsi au namna ya kuacha kazi

    sawa je nitakapochukua tu salary yangu na kuandika barua ya ku resign je sitowajibika kuwarudishia pesa ya mwezi mmoja?
  4. K

    Jinsi au namna ya kuacha kazi

    sawa je nitakapochukua tu salary yangu na kuandika barua ya ku resign je sitowajibika kuwarudishia pesa ya mwezi mmoja?
  5. K

    Jinsi au namna ya kuacha kazi

    asante ila naomba mbinu nyingena kikubwa sina muda wa kukaa hapa, then mshahara wa hapa unatoka tarehe 22 na leo ni tarehe 18
  6. K

    Jinsi au namna ya kuacha kazi

    Naomba kuuliza kama unataka kuresign kuacha kazi tarehe 22 (mwishoni mwa mwezi) mara tu baada ya kupokea mshahara na kuandika kuresign masaa 24, je unawajibika kurudisha mshahara wa mwezi mmoja? Asanteni wadau.
  7. K

    Tafadhalini jamani (kazi)

    Naomba kuuliza kama unataka kuresign kuacha kazi tarehe 22 (mwishoni mwa mwezi) mara tu baada ya kupokea mshahara na kuandika kuresign masaa 24, je unawajibika kurudisha mshahara wa mwezi mmoja? Asanteni wadau.
  8. K

    Kubadilisha kituo cha kazi kada ya uwalimu

    Namtafuta mwalimu wa kubadilishana kituo mimi niko mara serengete sec, nataka kubadilishana kituo na mwalimu anayetaka kuhama kutoka katika mikoa ya pwani na daresalaam, asante naomba kuwasilisha
  9. K

    WhatsApp yangu ime expire

    naomba kuuliza jamani whats yangu ime expy sija update muda mrefu nifanyeja natumia s6 samsung
  10. K

    Nafasi za kazi TTCL

    Tuweni na subira jamani
  11. K

    NSSF, e-mail yenu ina tatizo

    post gani hizo wametoa? je wanahitaji sifa zipi na una ambatanisha vitu gani naomba kujua tafadhali.
  12. K

    DSTV vs Zuku

    Je! nikinununa DSTV alafu nisipo lipia sitopata zile channnel za bure mfano TBC ITV STAR TV na EATV na CLOUDS? naomba kuuliza ndugu
  13. K

    Msaada kuhusu tv flat ya samsung led inch 32 series 4 2014

    Samahani wadau mimi nina samsung tv flat inch 32 series 4 2014, tatizo langu ni kwamba Je! nikitaka kutazama chanel zile za kulipia nitalazimika kununua king'amuzi? au ninaweza kulipia kutumia namba fulani iliopo kwenye hiyo TV? Pili, nina tatizo la ku seti rangi ilinione vizuri maana nona kama...
  14. K

    Msaada kuhusu kupata channels kwa antena ya kawaida kupitia LED Samsung Tv

    nami pia ninayo aina hiyo ya TV Lakini swali langu je ukitaka kutazama chanel zingine za kulipia mfano IMAAN TV, Je unahitajika kununua kisimbuzi(king'amuzi mfano star times), au unaweza kulipia kwa kutumia hiyohiyo chipu iliyoko kwenye TV? asanteni naomba kuuliza
  15. K

    Nashindwa kufungua PDF files kwenye computer

    ninatumia desk top, computer nina pdf reader aina ya "nitro"
  16. K

    Usaili- NAO tarehe 20/07/2015

    asante ndugu lakini nashindwa kudownload hiyo list napata ujumbe unaosema file has been demmaged siyo tatizo nini, hata nikiingia katika tovuti ya utumishi bado napata ujembe huohuo. msaada plz
  17. K

    Nashindwa kufungua PDF files kwenye computer

    Habari zenu wanajamvi, Naomba msaaada wenu, ninashindwa kudownload file kutoka katika tovuti ya secretariat ya utumishi wa umma lililo katika mfumo wa PDF, kila ninapo download halifunguki unakuja ujumbe unaosema file has been demaged na file lina ukubwa wa 2.8 mb lakini likiingia lina kua na kb...
  18. K

    Ushuhuda: Kazi zipo jamani!

    mwezmungu akujaalia moyo wa kazi na uvumilivu kazini, maana kuna changamoto nyingi kwani ni wapi umepata hiyo kazi?
  19. K

    Game ya need for speed ii

    naomba namba yako nikutafute mkuu
  20. K

    Game ya need for speed ii

    poa nashukuru mwanajamvi
Back
Top Bottom