Barabara ya sinza
Akiwa PM alifika pale shekilango akapiga mkwara mzito sana; after 2 days wakaanza kuweka lami.
Barabara ilikua mbovu sana before 2006
Maybe wangeipa jina la Lowassa Road kwa heshima yake
Hii shule inafaa kuwa chini ya Alumni ( as an NGO or Trust) sio Serikali
Serikali imeshindwa kusimamia shule kwa sababu wanaiweka daraja sawa na shule za kata. Hii inasaidia shule binafsi kibiashara so huenda kuna watu wananufaika shule inapochakazwa na kuharibiwa
If riding on the bed is a problem, try on the chair with your six inch heels on so that you may balance the rythm.
You may also seat him at the edge of the bed and ride whilst slighty bending n your feet on the floor.
If on the bed, then try riding with one hand on his chest and the other on...
Kuna instagram account inaitwa Muregi; madem wa Kenya wamefunguka sana kuliwa na Uber Drivers
Nasubiri kusoma hapa testimony zenu mkitoka Kidimbwi na Tipsy.
Toronto maisha gharama sana; jaribu miji midogo hapo hapo Ontario Kama Oshawa; London; Windsor or Niagara
Ingia Instagram angalia page ya canadaexpressentrygirl ina taarifa muhim kuzijua Kabla hujaenda
Tafuta Mtu wa kukusaidia accommodation cz ukifika utateseka
Ila Kama Unataka kujilipua...
Kiongozi mzuri anaandaa viongozi wa kumrithi na anaishi kwa mfano
Africa hatujui kuchagua viongozi
Kiongozi Mzuri hawezi kupendwa, ukipendwa ujue unaharibu
Mtu wa maamuzi magumu hawezi kupendwa na wazungu
Viongozi wa African wengi ni puppets wa wazungu
Biggest sources za usd ni tourists na gold sales
Je kuna upungufu wa watalii? Hapana
Je kuna upungufu wa gold? Hapana
What’s happening then!
Wakenya wamekuja kununua?
Tunalipa mikopo!
Tunalipia ndege na miradi!
Au tunatengeneza crisis ili tuje na solution ya upigaji
Tuendelee Kula Mtori Nyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.