Search results

  1. dnjoki

    Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

    Siyo mtaalam wa kula tunda kimasihara.
  2. dnjoki

    Dada wa mjini...

    Now this is ISO certified.
  3. dnjoki

    CAG: Mradi wa Umeme wa Bwawa la Nyerere unatumia upembuzi wa mwaka 1970

    Kituko cha karne,mambo ya 1979 kwa 2021......yaani hatujui hata kama kuna maji ya kutosha kufanya mradi uwe endelevu,alafu tunaweka Trillions????? [emoji1544]
  4. dnjoki

    Nifanyaje niweze kumudu kukata kona?

    Mambo ya garage na kukata kona wapi na wapi?Nenda kazikate kona huko na ukisha gongana huko ndiyo uje na posts na thread humu.
  5. dnjoki

    Tusahau janga la Corona tuendelee kujadili kuvunjwa kwa jiji la Dar?

    Tushapigwa kekundu hapo, upepo huuuooooo!!!!Lige goes on,bizniz as usual!!!
  6. dnjoki

    Nimejambiwa live na wachawi leo

    Mkuu,maskhara hayo mkuu.....kunusana tena!!!!Ayseee,au ndiyo ile design ya "kula tunda kimasihara" mkuu???!!!!Maana mna maskhara sana na mwenzi wako!!!!
  7. dnjoki

    Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    Wewe ni mwongo sana,ni muongo na mtu mlaghai sana.Acha hiyo tabia,inaharibu familia,jamii inayo kuzunguka na taifa kwa ujumla.Pumbafff wewe,hivi ni'nani alikitaka kichwa cha Yohanne m'batizaji?
  8. dnjoki

    Makundi ya Wanaume yanayoongoza kwa nguvu nyingi za kiume na stamina kubwa kitandani

    Kiongozi naomba niende nje ya mada maana concern yangu ni: Umepost mistari miwili yenye maswali mawili tu,lakini likes kwako ni nyingi kuzidi za mwandishi/muanzisha uzi!!!Kwakweli you are "The Boss" [emoji119]
  9. dnjoki

    Wateule wachemsha Kilimanjaro Festival, wamuangusha Jay Moe

    Binafsi huwa ninanunua,hata tape albam ya Jay Mo' ya "Ulimwengu ndiyo mama" nilinunua back then.
  10. dnjoki

    Wateule wachemsha Kilimanjaro Festival, wamuangusha Jay Moe

    Kwa WATEULE,mwanamuziki na msanii pekee na kipaji ni Jay Mo tu.Hao wengine waliobakia ni Wasanii tu na walijikita huko kwakuwa hawakua na shughuli ingine ya msingi ya kufanya.
  11. dnjoki

    Hii ndio Interview iliyoifanya dunia ifahamu uwepo wa huyu kiumbe

    Faza we baki na kazi za mwezini tu, huko mbinguni kazi zinepungua idadi maana hatanamba moko wetu hapa jamhurini keshaziwahi mbili chap.....kachagua kabisa kama siyo kupiga deki basi kuongoza malaika!!!
  12. dnjoki

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    Pascal Mayalla, Hakika maisha bila ya unafki. aaah,yangeboaga sana!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. dnjoki

    Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

    Mwaka umekatika sasa!!!!Hakuna post inayokuhusu kwenye ule uzi wa "kula tunda kimasihara" kweli [emoji38][emoji844] Sent using Jamii Forums mobile app
  14. dnjoki

    Rais Magufuli mtizame kwa makini sana Mwigulu Nchemba

    Hana kichwa hicho,yeye anaweza kufaulu mituhani tu ila ya kwenye karatasi kuyaweka tangible ni kaput!!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. dnjoki

    Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

    It is your opinion yes ofcourse....so what???!!ukiiweka wazi opinion yako mbele ya jamii huna budi kuwajibika nayo.Diversity and critical thinking nullifies your phrase of "it is my opinion".Uko vizuri katika conspiracy,bravo. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. dnjoki

    Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

    Humu jamvini wewe ni mfano hai wa mmoja wao. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. dnjoki

    Tetesi: Who killed Kobe Bryant?

    Kijana bado mdogo sana ila mchawi kwelikweli. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. dnjoki

    Huwa unatumia kiasi gani cha pesa kwa siku?

    Acha uwongo,kuanzisha tu thread humu jamvini kisha kuifuatilia inahitaji subscription ya bundle kubwa iwe kwa siku.....wiki au mwezi!!!Weka chakula na maji,pango la nyumba nalo likokotoe.....bill ya umeme na maji.Yaani thread yako uwongo mtupu. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. dnjoki

    Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    Basi nami ni m'Inuit,maana nimekulia na ninakaa Fredericton-New Brunswick Canada. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom