Search results

  1. Z

    Kuhamisha Data kutoka kwenye simu inayotumia Window 7

    Wakuu naomba msaada wenu. Simu yangu inatumia OS ya window 7 data zangu zipo kwenye device na si kwenye SD Card,nataka kutumia simu nyingine yenye OS ya Android nimehangaika sana msaada wenu tafadhalini.
  2. Z

    IEBC: Spoiled votes during digital streaming Vs Manual streaming.

    Wakuu heshima kwenu,wakati tukishuhudia matokeo ya kinyang'anyiro cha Urais, kura zilizoharibika zilikuwa ni zaidi ya laki mbili (200,000) na vituo vilivyo wasilisha matokeo havikuzidi mia hamsini (150)sasa hivi wanatumia manual counting na na kura zilizo haribika ni chini ya laki mbili na vituo...
  3. Z

    UPDATE YA WP 7.8 imeshatoka??

    Wadau heshima kwenu naomba mnijuze hivi hiyo update ya WP7.8 tayari? Simi yangu ni Sumsung i917 inatumia WP 7 (not compatible with ISSD)thanks in advance.
  4. Z

    How to install ie9 and Adobe flash

    Please can any one come to the help, I am using SAMSUNG i917 Window Phone7, I want to update my phone but unable to download and install the software plz help!!!!!
  5. Z

    My Cell-Phone can'nt operate with m-pesa

    My phone is Samsung Galaxy model SGH-i917; Software is Windows Phone 7. Can anyone come to the help as I'm unable to use locally,neither playing U-tube it prompts me for installation of software.
Back
Top Bottom