Habari wapendwa,
Wale walioomba nafasi za kazi UDSM May 2016 wameanza kuita watu. Usaili utafanyika Jumatatu 04.07.2016.
Msikae mbali na simu zenu, mimi nimetumiwa SMS na kupigiwa simu.
Magogoni hiyo hiyo ya anko mtumbaji, opp na OWM nyuma ya Wizara ya ardhi.
ni Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania ambacho kina Matawi Tabora, Tanga, Singia, Mbeya, Mtwara na hapa Dar, kozi zinazotolewa ni Secretarial Studies Cert&Dip, Records Mngt Cert&Dip, Accounts, HR, Librarian na nyingine...
Mkuu nina uhakika 100% hiyo kozi magogoni ipo sio kwa kuambiwa na huyo Lulu nimemwona kwa macho yangu sasa wewe sijui nani kakambia hiyo kozi haipo. tafuta namba za chuo piga halafu uulize, labda ifutwe kesho
inaelekea hujanielewa kabisa lakini mimi naona nimeeleweka kwa kusema aliye tayari aje inbox ndiko tutapeana full details. sasa nimepata ma PS 4 inbox na mchakato itaanza next week
Habari wapendwa,
Mimi ni Personal Secretary nimeajiriwa na utumishi nafanyia kazi Mbeya mjini, lakini mume wangu anaishi na kufanya kazi Dar.
Natafuta mtu wa kubadilishana naye yeye atoke Dar aje Mbeya na awe ameajiriwa na utumishi, kwa aliyetayari naomba aje inbox
Eti kuelekea shimoni nani kakuambia? aibu yenu yaja Oct. CCM Mbele kwa mbele na rudia tena mbele kwa mbele nasema tena mbele kwa mbele daima nyuma mwiko, namalizia mbele kwa mbele kuelekea IKULU, hapa KAZI TU MAJUNGU PELEKA UKAWA, Hapa KAZI tu MATUMAINI PELEKA ANGAZA
Hivi we mleta mada akili zako zimetulia kweli huna hata haya kuandika uongo na kuwadhalilisha walimu wamekukosea nini? hii video ilishasambaa sana mwaka jana sasa wewe leo umetumiwa kwenye ki WhasApp chako ndo unaileta humu. kuwa mstaarabu acha kuandika vitu vya kusimuliwa jamii forum haitumiki...
Wandendeule wenzangu wa Namtumbo hawajui upinzani ni nini! wao wanajua chama ni hicho chenye kijani tu, wakipewa vitambaa vya kichwani na khanga za kuendea shamba ndio washachanganyikiwa hawaelewi, hawasikii, Ila kwa mkoa mzima wa Ruvuma wapinzani wakitaka washinde wasimamishe mgombea mmoja hapo...
yaani hao ni wanafiki wakubwa kwani kujiuzuru mtu si unatangaza tu najiuzuru kwani lazima wamwandikie barua Rais hawataki kujiuzuru wala nini wanajishauwa tu wanataka Rais aseme msijiuzuru ili wapate chakusema, (Rais kaema tusijiuzuru) kama kweli wana nia ya kujiuzuru waige mfano wa Lowassa wala...
Hawa Dagaa kama huwezi kuwapika utawachukia sana lakini ukiweza kuwapika maisha ni murua hawapikwi kama dagaa wengine wenyeji wa mkoa wa Ruvuma wanalijua hilo, lazima uwaloweke na walowane sana kama umechelewa kuwaloweka wachemshe hadi walinike, (na ukiwa unawaloweka weka na chumvi kabisa)...
Hivi kweli Lundenga hana mshipa wa aibu kabisa we mikelele yote hiyo mbona inaleta aibu na kero! hivi sijui naye
anapita humu! sijui jamii inayomzunguka ina mfikiriaje yaani sipati picha na alivyokosa sura kama yangu,
mwe Singidaaa(ni shidaaa)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.