Search results

  1. PSALM_1

    Tanzia: Mtanzania Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani

    Hahahaha.....watu wanachora mstari kwa kutumia point moja. Mtu aliyeishi vibaya na watu america amevunja rekodi ya kuchangiwa pesa nyingi za mazishi, mpaka sasa zimechangwa dola elfu sitini ($60,000+) na bado watu wanaendelea kuchanga, na tunatarajia kufikisha $70,000+. Drew amejizika vizuri kwa...
  2. PSALM_1

    Tanzia: Mtanzania Andrew Sanga amefariki dunia huko Houston Marekani

    haya maelezo hapo juu yanapigia mstari msemo wa kiswahili "JAMBO USILOLIJUA NI SAWA NA USIKU WA GIZA"
  3. PSALM_1

    Mh gasia ajiuzulu kama kashfa ya meno ya temboanahucka ya

    Kitimtim hakipo kwa Hawa, kamishna mstaafu wala kwa dereva. kitimtim kipo kwa hao askari waliokamata huo mzigo, muda si mrefu watafukuzwa kazi.
  4. PSALM_1

    Majangili yakamatwa Nanyumbu, dereva wa Mh. Hawa Ghasia abambwa

    Jeshi, usalama wa taifa vyote hivyo ni vyombo vya serikali. Na wote hao wanahusika kwenye biashara hii. Ni mara kadhaa magari ya jeshi yamekamatwa yamebeba meno ya tembo. Hilo gari lililotumika hapojuu ni la mstaafu wa jeshi. Tatizo watu wengi wanaamini jeshi na usalama wa taifa sio sehemu ya...
  5. PSALM_1

    Hivi vibamia vinaanzia nchi ngapi jamani?

    ungeuliza kule u-turn kwa mashangkwinakwi ungepata majibu mazuri.
  6. PSALM_1

    Natafuta mwanaume wa kula nae bata kesho

    ni pm kama uko serious.
  7. PSALM_1

    Sababu Kuu za Wanawake Wengi Kuvaa Nguo fupi

    vimini vingine ni lazima uvae na chupi.
  8. PSALM_1

    Sababu Kuu za Wanawake Wengi Kuvaa Nguo fupi

    sasa ulivyokuwa mrefu hivyo ukivaa nguo fupi si itaoneakna iko juu sana inapepea(kwenye mlingoti) kama bendera ya taifa? mi naona ni bora uvae nguo ndefu.
  9. PSALM_1

    Sent from my blackbel, iphone s, galaxy, nokia asha..... Ni ushamba

    hahahaha..... sent from my chemli aka koroboi.
  10. PSALM_1

    Karua backers reach out to President Elect Uhuru Kenyatta

    Karua kipigo alichokipata, inaelekea anajiuliza wanawake wenzake walikuwa wapi kum support, wamemshangaza.
  11. PSALM_1

    Kwenu madaktari-hivi Tanzania ugonjwa ni malaria tu?

    kuna mshkaji miaka ya zamani kidogo alipewa dozi ya malaria akawa hapati nafuu, kumbe alikuwa na typhoid, baada ya wiki moja akatokea jamaa ambaye alishawahi kuugua typhoid akamshauri akapime typhoid kwa daktari mwingine, akakutwa na typhoid na ilibaki kidogo ifikie stage mbaya. jamaa akatumia...
  12. PSALM_1

    CCM Vs CHADEMA

    Salaam wana JF Angalizo dogo kwa wana mageuzi. CCM wanaihujumu CHADEMA kwenye level ya juu zaidi kuliko CHADEMA wanavyofikiria. Inaonekana intelijensia ya CHADEMA inai- underestimate intelijensia ya CCM, kitu ambacho si sahihi, na kinaweza kuigharimu CHADEMA. Inavyoonekana CCM ina watu ndani...
  13. PSALM_1

    Taulo la hotel

    kwanza,hakuna mtu aliyeambiwa atakuwa taulo la hoteli kwenye hiyo post. Isipokuwa atakuwa na kazi kama taulo la hotel. Hapo inategemea tafsiri yako ya neno hoteli. Ukisema mke nitakayemuoa atakuwa na kazi kama taulo la hotel ninaweza kuona ni sahihi kulingana na tafsiri yangu ya neno hoteli...
  14. PSALM_1

    Taulo la hotel

    Asante nakala ya post kama ilivyo hii hapa chini. sijui mmejifunza kusomea wapi.
  15. PSALM_1

    je kuoa mwanamke ambaye ameachika na ana watoto kuna madhara gani kwa mwanaume au uhusiano?

    Sikushauri kuoa huyo mwanamke. Tafuta ambaye hajawahi kuolewa na ambaye hana watoto, unless na wewe una watoto na mwanamke mwingine. Matatizo ni mengi zaidi ukioa katika mazingira hayo. Pia kama wewe nimkristu fuata pia ushauri wa jamaa hapo chini:
  16. PSALM_1

    Taulo la hotel

    Halafu cha kushangaza hujamuita lara1 taulo la hoteli, umesema atakaye muoa lara1 atakuwa na kazi kama taulo la hoteli, lakini watu wanang'ang'ania umemuita lara1 taulo la hoteli.
  17. PSALM_1

    Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

    hayo ni mchache tu kati ya ambayo yataifanya ccm ing'ang'anie madaraka milele. Kuing'oa ccm ikulu ni kazi kuliko vile watu wanavyoongea. ccm hawawezi kuachia nchi kirahisi, hatuombei damu kumwagika lakini inaweza kutokea hivyo.
  18. PSALM_1

    Rupia Banda: Rais wa zamani wa Zambia akamatwa na polisi

    Nakumbuka Moi(rais wa kenya enzi hizo) aliongea kwenye vyombo vya habari kuwa anashangaa sana rais aliyeko madarakani kushindwa uchaguzi, akiwa na maana kwamba Kaunda hakustahili kushindwa kwa sababu yeye ndie aliyekuwa madarakani.
Back
Top Bottom