Search results

  1. wakyagara wakinyora

    Natafuta mchumba wa Kike nimuoe

    hutanitenda kama mwanzo?
  2. wakyagara wakinyora

    Ushoga Makongo Sekondari

    nipo mkuu tatizo wakati mwingine muda,mambo inabana
  3. wakyagara wakinyora

    Bosi kanilengesha kwa binti yake sasa nashindwa kuamua

    sina cha kueleza zaidi mkuu,naomba umtafute madam B au heaven on earth atakupa ushauri mzuri kwani wanauzoefu na madarasa ya ushauri kwenye hali kama hizo
  4. wakyagara wakinyora

    Bosi kanilengesha kwa binti yake sasa nashindwa kuamua

    ukiyumba tu,kuyumbishwa kunakuwa rahisi sana
  5. wakyagara wakinyora

    ghorofa lililopiga ufa na kuamriwa kuvunjwa

    wadau,naomba kujuzwa kuhusu ghorofa lililopiga ufa kariakoo baada ya lingine kuanguka na kuamriwa livunjwe kwa kauli mbalimbali za viongozi wetu,limeshavunjwa?na kama bado tatizo nini?naomba kufahamishwa wakuu
  6. wakyagara wakinyora

    Kiukweli sipend ndugu nyumbani kwangu

    unadhani huyo mkeo alishuka tu kutoka mbinguni?nani alimzaa,nani alimlea,nani alimsomesha nani alimshauri akawa na tabia njema hadi ukamuona anafaa kuwa mke?unapenda mteremko eh?
  7. wakyagara wakinyora

    Nilivyoteswa na niliyempenda na hatimaye akapigwa mtungo

    uamuzi mzuri ila sidhani kama ilikuwa busara kuupeleka huo mkanda ukaonekane ukweni.umewadhalilisha wazazi wake pia japokuwa uko sahihi
  8. wakyagara wakinyora

    Bruno metsu afariki dunia

    rip metsu
  9. wakyagara wakinyora

    Kaka kamuoa dada!

    kuna tabia zingine huwezi kuimagine kabisa
  10. wakyagara wakinyora

    Kaka kamuoa dada!

    it was the only part my mind could not accept,till now,haven't got the answers on the "HOW FACTOR"HOW DID THEY START SUCH A NASTY THING?I CAN'T IMAGINE BRO
  11. wakyagara wakinyora

    Nape: Mimi ni miongoni mwa vijana 3 tu wenye akili kati ya 106 waliofaulu 1993!

    samahani kaka,kipindi anasema hayo alikuwa ametumia kilevi kidogo au alikuwa sobber?
  12. wakyagara wakinyora

    Kaka kamuoa dada!

    Wadau, Hii nimekutana nayo Julius Nyerere International Airport TERMINAL ONE,ambapo kuna m-baba mmoja mtu wa makamo hivi ambaye ana kijikampuni cha huduma za usafiri wa anga. Kwa taarifa nilizopewa na mmoja wa wafanyakazi wake ni kwamba,mkasa ulikuwa hivi,m-baba huyu aliyekuwa ameoa kwa ndoa...
  13. wakyagara wakinyora

    Natafuta mpenzi

    sifa zote ninazo ila nimeoa.uko tayari
  14. wakyagara wakinyora

    Mmmhhh. . . . . . . .huku ni kupenda ama ulimbukeni?

    samahani bro,usimshangae sana huyo binti.hiyo ni hali ya kawaida kabisa katika maisha ya kimapenzi na ni maisha ya kimpito tu.ukweli ni kwamba kama ulishawahi kupenda then kuna kipindi flani "ulishawahi kuwa ---- au teja wa penzi la mtu flani"uwe mdada au mkaka lazima kuna mtu alisha wahi...
  15. wakyagara wakinyora

    Ushoga Makongo Sekondari

    sema tu cameroon kaka,usihangaike sana
  16. wakyagara wakinyora

    Nampenda mwanaume ila naogopa kumwambia nifanyeje

    Dah!!! Aisee yaani kuna watu humu wanajua kutongozeshea balaa,utadhani vile samaki anasogezewa chambo....haya,mpelekeni mwenzenu akazini tu
  17. wakyagara wakinyora

    Pinda afuta amri ya Waziri Magufuli

    katika suala hili mi bado nitasimama upande wa wamiliki wa malori,sheria ipo,sawa kabisa lakini inamapungufu ndio maana serikali ikakubali punguzo la asilimia 5 kwa kuzingatia mapungufu ya sheria.kwanza kabisa serikali na hasa waziri magufuli angerekebisha mizani kwanza kabla ya kuondoa hiyo...
Back
Top Bottom