Search results

  1. HorsePower

    Nimechoka kuachwa, kisa najituma sana

    Mapenzi ni burudani, ikiwa kila siku hugeuka kuwa ni karaha. Tafakari, kisha chukua hatua. Babu HP
  2. HorsePower

    What's the soonest you slept with someone after meeting?

    Soonest? Labda baada ya kujihakikishia kuwa wewe na yeye manapenda kwa dhati na hamna nia ya kuchezeana na kufanya uhuni. Pia ni vyema mkaziangalia afya zenu mapema kabla humjajikuta mmeingia kwenye mahusiano ya kimapenzi yenye wimbi la majuto ya milele. Hakuna ufahari wala sifa yoyote ya...
  3. HorsePower

    Tupeane mbinu za kuishi na mwanamke mgomvi kwenye ndoa

    Pole kwa hizo changamoto Mjukuu wangu. Binafsi, naona njia ya kuishi na mtu mgomvi ni kumuelewa na kuikubalia hali na tabia aliyonayo. Unahitaji pia kuwa mvumilivu na kuongeza ukaribu wako na yeye kujua chanzo au asili ya yeye kuwa mgomvi. Isije kuwa kauli zake na matendo yake kwa kiasi...
  4. HorsePower

    Nimwache? Nahisi ana wowowo la Kichina

    Mjukuu, sijui level ya upendo wako kwake ikoje, lakini kama unampenda kwa dhati, ni vyema kukaa naye na kuongea naye kujua ukweli wa hili jambo na kama ni kweli kujua nini hasa kilimsibu mpaka akaamua kuongeza makalio. Kipeperushi ulichokiona juu ya meza yake si ushahidi wa kutosha kuamini...
  5. HorsePower

    Usimwamini mtu yoyote hata awe ndugu yako wa damu, nilimpa mimba shemeji yangu

    Kuna makosa binadamu huwa tunayafanya, lakini kwa hili, uliikosea mbingu na ardhi!
  6. HorsePower

    Unajijua unamaambukizi na unatumia ARVs useme kipindi tunamahusiano tusiuane jamani

    Kaka pole sana kwa presha iliyokupata Ila kwa dunia ya leo ilivyo, hatupimi afya ya mtu kwa kumuangalia au kumuuliza, kama unahitaji mahusiano yenye amani na afya, suala la KUPIMA si la kubeza, unaweza kuishia shimo la hewa!
  7. HorsePower

    Kwa mtizamo chanya kama huu mapenzi hayatasumbua ulimwengu

    Nimepitia uzi wako haraka haraka nikajikuta najiuuliza maswali ya kipuuzi kama ifuatayo ... Una uhakika wenye ndoa ndiyo wenye mapenzi ya uhakika? Haufahamu kuwa kuna wengine wameolewa tu kwa sababu ya umri kufika? Au wengine kwa sababu ya kutaka watoto? Au wengine kwa kutaka mali? Au wengine...
  8. HorsePower

    Hivi kwanini wanawake wa siku hizi kupika kwao ni adhabu?

    Nafikiri huenda malezi ya wazazi kwa kuacha kazi za ndani, upishi na majukumu mengine ya kazi za familia kufanywa na wasichana wa kazi. Wapo wengine wamekuwa bize mno na kazi za kujitafutia kipato na suala la kupika kwako ni kama kupoteza muda. Kuna baadhi ambao wamezaliwa wavivu na wazembe. Pia...
  9. HorsePower

    Kitumbua kimeingia mchanga

    Kusoma hujui mjukuu wangu, hata picha nazo huoni? Babu, HP
  10. HorsePower

    Nisipokuambia wewe nimuambie nani?

    Sasa huyo si ameshakuwa mke wa mtu? Kama ni msaada unaweza kutoa kama kwa rafiki wa kawaida lakini siyo yeye kukufanya wewe ndo nyumba ndogo yake au ATM machine yake. Siku ukikamatwa ndo utajua ubaya wa kula vya watu! Nakushauri, tafuta mwingine wa kwako, acha kupoteza muda na vya watu au...
  11. HorsePower

    Sina imani naye tena

    Dogo, si ungemuuliza tu huyu mpenzi wako kuwa amejipangaje kwa sasa kuhakikisha kuwa akiwa mbali na wewe huko masomoni mapenzi yenu yatadumu na hayatatokea kama yalivyomkuta mwenzio aliyekutangulia? Ila kwa maelezo yako, na kama kweli sababu aliyotoa huyo mpenzi wako ni halisi, basi ni kwamba...
  12. HorsePower

    Akiwa na rafiki zake lazima tugombane

    Nimefikiria kipuuzi tu, nikapata sababu lukuki kama ifuatavyo Hajui kutofautisha nafasi ya mpenzi na marafiki wa kawaida au Inawezekana hajawaambia hao rafiki zake kuwa ana mchumba/mpenzi ambaye ni wewe na hayuko tayari kufanya hivyo sasa au Ana mwingine ambaye anatambulika na hao rafiki zake...
  13. HorsePower

    Kitumbua kimeingia mchanga

    Ukiona manyoya ujue .....!!!
  14. HorsePower

    Nafikiria kuachana na yule mpenzi wangu asiyeniomba hela

    Kiongozi, kichwa cha habari na maelezo ya ndani vinanitatiza! Unataka kumuacha kwa sababu hakuombi hela au unataka kumuacha kwa sababu ya UDUKUZI wake? By the way, nafikiria jinsi ulivyomkaribisha huyo binti, naona kama something is missing kwenye huo uzi kuufanya uaminike.
  15. HorsePower

    Kwa nini unakuwa huru na mchepuko?

    Hapo juu mi nashauri ni bora wakaacha kabisa .... Maana mapenzi huwa sijui ni kitu gani, hayana siri, iko siku tu wapenzi watajisahau na mambo kuvuja. Madhara yake nafikiri kila mtu anayafahamu; kufumaniwa kupigwa, talaka, ugomvi, kuambukizana magonjwa nk
  16. HorsePower

    Kwako wewe unayeweza kunisaidia

    Pole ndugu, tunakutakia kila la kheri katika zoezi hili. Nafahamu uchungu na adha ya kukaa bila ajira. Pitia pia Zoom Tanzania, BrighterMonday na mitandao mingine ya ajira pamoja na kuwasiliana na makampuni yanayowatafutia watu ajira, huenda kwa kudra zake Mungu akabahatika.
  17. HorsePower

    Wanawake acheni kelele zisizo na ulazima wowote

    Hili suala ni gumu kidogo kulielezea ... Wapo wanapata mizuka ya ki-ukweli na pia wapo wanaojifanyisha! Cha msingi mshauri mpenzio apunguze kelele kama wewe haupendezwi nazo!
  18. HorsePower

    Simu za wanandoa nyingi ni chafu, hawaingii majumbani mwao mpaka wazisafishe

    Duuuu, hiyo sentensi juu imenishanga kidogo, watu 7? Labda inawezekana siyo michepuko kwa maana ya michepuko huenda ni meseji za utani wa ndani zinazosababishwa na kuzoeana na watu kupitiliza. Huwa nashauri kila siku, ni vyema wapenzi na wanandoa kuwa na mipaka ya utani na mawasiliano na watu...
Back
Top Bottom