Search results

  1. Saint Ivuga

    kuhusu panya road: Dar es salaam hakuna Polisi

    napenda kuhitimisha kuwa dsm hakuna askari polisi.. kuna polisi wa kuidhibiti chadema basi.
  2. Saint Ivuga

    Ajira 350 za Askari Magereza

    Swali langu ni kuwa wahalifu wameongezeka? Yaani magereza wametanganza ajira nyingi kuliko hata tume ya ajira.. ile tume ya ajira kila kukicha wanatangaza kazi za mtendaji wa kijiji.. kuna tatizo mahala?
  3. Saint Ivuga

    Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
  4. Saint Ivuga

    Nani anapanga tozo za tunazolipa Serikali za mitaa?

    Wakuu naomba kuelimishwa hapa. Anayepanga hizi tozo tunazolipa Serikali ya mitaa ni nani? hasa Kinondoni. tozo kama Garbage fee collection, Ulinzi shirikishi. Nani anapanga kiwango na je hwa jamaa wapo chini ya nani? who regulate them.
  5. Saint Ivuga

    Watanzania waanza kununua petroli na dizeli nchini Zambia

    Kwa mujibu wa VOA Swahili, Watanzania wa mipakani wameanza kuvuka mipaka na kwenda Zambia kununua mafuta (Petrol/Diesel) Kumbuka hayo mafuta yamepita kwenye bandari yenu na kusafirishwa mpaka Zambia na matozo kibao. Pesa ya kununua lita moja Tanzania ukienda Zambia unapata lita moja na nusu...
  6. Saint Ivuga

    Ushauri kwa Rais na washauri wake: Anzisha vipindi vya televisheni kusikiliza kero za wananchi na kupokea simu zao

    Ushauri kwa Rais na watu wake, hii itasaidia sana kusikiliza kero za Tanzania nzima kwa wakati mfupi. Anaweza kuwa live kwenye TV na radio. Kuliko sasa hivi anatupotezea muda bara barani anafunga bara bara na ni hatari kwake. Hakuna mkuu wa wilaya au mkoa anayeweza kuzuia mwananchi asipeleke...
  7. Saint Ivuga

    Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99

    Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99. Taarifa hiyo imetolewa na Kasri la Buckingham Imeelezwa, Mwanamfalme Philip (Duke of Edinburgh) amefariki asubuhi ya leo Windsor Castle ===== Prince Philip, Queen Elizabeth II's husband, has died aged...
  8. Saint Ivuga

    Where is Tanzania's Economic Rescue Package?

    Habari, ukiangalia Bunge la Ndungai, ukimuangia Rais Magufuli, ukiangalia chama cha CCM kwa jinsi wanavyolichukulia hili janga la Korona, kweli kwenye akili zao wanafikiria au wanafahamu hali halisi ya uchumi wao nchi? Wanafahamu sekta ambazo zimekufa kabisa? I am sure wanalijua hili...
  9. Saint Ivuga

    Ombi kwa Rais wa Zanzibar: Ongea na IMF na WB mwenyewe achana na Tanganyika

    Ni wazi kuwa Tanganyika hawapo serious au wan upeo mdogo sana kwenye kukabiliana na majanga. Hapa najiuliza waliwezaje kumpiga Idd Amini? Inabidi muelewe kuwa Idi Amini ? Inawezekana Tanganyika ili play part ndogo sana. Tatizo sio wanajeshi ila Tatizo ni viongozi na maandalizi ndio kila kitu...
  10. Saint Ivuga

    Wazo binafsi: Serikali iunde timu ya Corvid -19 chini ya January Makamba

    Wazo Binafsi: Najua hili wazo langu hakuna atakayelifuata ila nitakuwa nimetoa ya moyoni. Ukiangalia kwa kawaida hakuna mpango mahsusi wa kukabiliana na gonjwa la C -19. Taarifa hazitolewi, tetesi zinaachwa zisambae na kuleta taharuki. Ninachoshauri: Rais aunde timu ambayo itakabiliana na...
  11. Saint Ivuga

    Mwigulu utagombea urais Mwaka huu? Tunataka tuanze kuandika mawe

    Vijana wako tunajitolea kuandika mawe yote ya Tanzania mpaka yale ya Dodoma
  12. Saint Ivuga

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apata maambukizi ya CoronaVirus

    Prime Minister Boris Johnson has tested positive for coronavirus, Downing Street has said. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Waziri huyo amethibitisha kuwa na maambukizi huku akiwa na dalili za kawaida za #Covid_19 Amesema yupo karantini na ataendelea kuwa kiongozi wa Serikali katika kupambana...
  13. Saint Ivuga

    Uchaguzi 2020 Rais Magufuli: Uchaguzi utafanyika, wapo wanaofikiri kwamba tutaahirisha. Nani anataka kukaa kwenye maofisi haya muda wote huo?

    Rais Magufuli akipokea ripoti ya Takukuru na ya CAG amesema kwamba uchaguzi hautaahirishwa kutokana na uwepo wa ugonjwa wa Corona. NUKUU "Sisi tunaendelea kukutana, ndiyo maana hata Bunge linaendelea na vikao vyake, hata huko kwenye nchi zilizoathirika kabisa, mamilioni ya watu wamekufa kwa...
  14. Saint Ivuga

    Ni wakati muafaka wa Zanzibar kujitenga na Tanganyika

    Ukifuatilia matamko ya Serikali ya Zanzibar baada ya huu ugonjwa wa Korona ni wazi kuwa Zanzibar inajitambua, inapenda wananchi wake na ina uwezo wa kuchukua hatua kwa akili na stahiki kulinganisha na huku bara. Sasa sijui ilikwaje hadi wakaingia mkenge na kuingizwa kwenye ndoa na Tanganyika...
  15. Saint Ivuga

    Wachina wazuiwa kuingia Kenya wakitokea Tanzania

    Kenya. Watu 16 walizuiwa kuingia nchini Kenya kupitia mpaka wa Lunga Lunga katika mji wa Kwale wakitokea Tanzania Kati ya watu hao, 13 ni raia wa China. Raia hao wa China ni Xiao Zhanquan, Xu Shaul, Xu Duo, Lyu Xiaohua, Zhou Changyong, Jiang Chunyang, Xiao Zhanquan, Lyu Xiaohua, Wang Xiaoba...
  16. Saint Ivuga

    Ushauri kwa Wizara ya Afya: Wachina wasiingie nchini

    Sina uhakika kama bado wanaendelea kuingia, ila ni ushauri kwa wizara ya afya, wachina wote wasiruhusiwe kuingia nchini au wale wote wanaotoka nchi zenye corona. Hii ni kwa maslahi mapana ya nchi yetu. Nchi kama Iran walijifanya wajanja na wabishi sasa hivi hali ni tete na ni mbaya
  17. Saint Ivuga

    Mtoto wa miaka 16 ajiua baada ya picha zake za ngono kusambaa

    A girl who was allegedly defiled by her uncle, Patric Ayoyi has committed suicide by hanging herself. Her body was found dangling from the roof of her rural home in Sabatia, Vihiga County. Police have confirmed the incident, saying the girl who heated the internet on Sunday for her bedroom...
  18. Saint Ivuga

    Wizara ya Afya, very serious question concerning Chinese here in Dar es Salaam

    Nimepita sehemu nyingi sana za DSM ambazo kuna wachina , mikocheni, Masaki, nakadhalika. Hawa jamaa wanavaa Mask za kuzuia Corona. And they are very serious Ni Kama wapo Wuhan, sasa wanatuogopesha wananchi wa kawaida. Je, wizara ya Afyaimeshauri wananchi wote tuvae haya madude? If not Whats...
  19. Saint Ivuga

    Mbwana Samatta kutimkia Schalke?

Back
Top Bottom