Search results

  1. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    HAHAHAHAH..... mtoto wa nzi umetisha sana.... mi bado nipo Mwanza.... ubize tu wa hapa na pale. kubet bado nabet japo mara chache sana napopata nafasi. nakumbuka kubet nimeanza mwaka 2010 nikiwa mwaka wa kwanza chuo pale IFM tulikua tunaenda pale new africa kuweka mikeka manualy sikumbuki vizuri...
  2. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahaha lazma kesho akae ama zake ama zetu
  3. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Game za Afcon kama kawa under 2
  4. Rockcity native

    Afcon 2024: bingwa ni Morocco au Senegal

    Bingwa kwa asilimia kubwa atatokea hapo, ila mabishoo wa Nigeria wakikaza wakaacha kulilia posho kama kawaida yao wanaweza pia kushangaza Afrika.
  5. Rockcity native

    Kwa hili TFF hamtoibeba tena Kitayosce FC

    Labda wanangojea kivumbi cha leo kiishe, halafu washushe nyundo jumatatu
  6. Rockcity native

    Kwa hili TFF hamtoibeba tena Kitayosce FC

    Walau leo TFF mmetenda haki
  7. Rockcity native

    Kwa hili TFF hamtoibeba tena Kitayosce FC

    Ulimboka mtu kati a.k.a dalali
  8. Rockcity native

    Kwa hili TFF hamtoibeba tena Kitayosce FC

    Juzi zimetoka taarifa za upangaji matokeo kati ya mwenyekiti wa timu ya kitayose bw. Yusufu Kitumbo na baadhi ya wachezaji wa Fountain gate. Clip za maongezi hayo zimesambaa pamoja na miamala ya fedha kwa njia ya simu zimeonekana. Najua Uongozi wa Fountain ushapeleka vielelezo hivi takukuru na...
  9. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahahh lazma dhahabu ipite kwenye tanuru
  10. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Yanga akishinda na goli ziwe 2+ odds 6 Weka kilo ule kilo 6
  11. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    mpe horoya odds 3.24 weka laki 1 zima simu..... amka saa 3 na laki 3 yako safi.
  12. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Upo sawa kabisa..... sema ongeza ongeza ka mpunga umkokote kanji
  13. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Haahhah kumla kanjibah lazma uwe na timings.... weka game moja au mbili mpunga mwingi lazma utakua unampigapo
  14. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahahah baada ya kumaliza chuo nilikua sina kitu nikaona nianzishe ka uzi kakupeana maarifa na wana
  15. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ahahaha mi nipo poa kabisa Sema ubize umekua mwingi sana sionekani
  16. Rockcity native

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wa mikeka hali ya weekend vp Yaliyomo yamo au maumivu
Back
Top Bottom