Search results

  1. S

    Mikopo ya haraka inapatikana

    haya ni masharti yangu,unaweza kuyafuata au ukaacha. hujalazimishwa,unaweza kuomba mkopo huko ulipo watakusaidia.
  2. S

    Mikopo ya haraka inapatikana

    wewe unapiga kelele kwenye mtandao unaudhibitisho gani kwamba ni wizi. kigezo gani umetumia kusema kwamba ni wizi.ulishaibiwa au kuna mtu ameibiwa? kubadilisha masharti ni jambo la kawaida,benki au taasisi inayojulikana ikibadilisha unasema sawa mzee watu wengine wakibadilisha unasema wizi...
  3. S

    Mikopo ya haraka inapatikana

    riba na muda wa mkopo ni flexible tunajadiliana na muhitaji mkopo. riba inarange kati ya 10% na 25% kwa mwezi. marejesho ya mkopo kati ya mwezi 1 na miezi 8.
  4. S

    Mikopo ya haraka inapatikana

    Nenda benki kawalilie watakupa ela ya kirahisi benki zipo nyingi sana hapa tanzania zimejitolea kusaidia wananchi.ukifika benki watakupa kwa urahisi na haraka mkopo wowote unaotaka
  5. S

    Mikopo ya haraka inapatikana

    sasahivi tunakutana na muhitaji halafu tunajadiliana kuhusu riba.sio lazima tumchaji 30%.riba inaweza kupungua ikafika 15% au 20%.ikiwa gari ni ya dhamani na ni mpya riba inapungua.halafu garama za kufanya valuation ya gari yako ni bure!! Hatuchaji. Kwahiyo tukishakagua gari yako tunajadiliana...
  6. S

    Mikopo ya haraka inapatikana

    mawasiliano ya simu ni rahisi sana hata kwa meseji inatosha kukuelewesha na maswali yako kujibiwa hata kukuelekeza ukitaka kuja ofisini. riba asilimia 30 ya mkopo. mkopo utakaopata unakuwa nusu ya dhamani ya gari yako Mfano gari yako ina dhamani ya milioni 50 unakopeshwa milioni 25. muda wa...
  7. S

    Mikopo ya haraka inapatikana

    Wale wote wanaohitaji mikopo ya hela tuwasiliane. Kuna kampuni inatoa mikopo ya hela ya haraka. Masharti ya kupata mkopo unatakiwa kuweka dhamana gari lako. Mawasiliano zaidi ntafute kwa 0713902202
  8. S

    Mikopo ya haraka inapatikana

    MIKOPO HARAKA INATOLEWA KWA WALE WOTE WENYE KUHITAJI HELA ZA HARAKA KWA AJILI YA BIASHARA ZAO NA MAHITAJI MENGINE. HAKUNA URASIMU. MASHARTI YA KUPATA MKOPO NI KUWEKA DHAMANA YA GARI. MAWASILIANO,NITUMIE MESEJI NO YANGU NI 0782440468 AU EMAIL. somigroup@yahoo.com
  9. S

    Research: Finger length may predict financial success

    nimeipata kwenye Yahoo! jana nikavutiwa sana jinsi wazungu walivyovuka mipaka katika fani ya uchunguzi.
  10. S

    Research: Finger length may predict financial success

    The length of a man's ring finger may predict his success as a financial trader. Researchers at the University of Cambridge in England report that men with longer ring fingers, compared to their index fingers, tended to be more successful in the frantic high-frequency trading in the London...
  11. S

    Natafuta wauzaji wa gemstones,gold na almasi

    Nina wanunuzi kutoka ulaya,israel na usa wa almasi,gold na gemstones aina zote. Kama una yoyote kati ya hizo hapo juu tuwasiliane mara moja. Hapa chini kama zinavyosomeka ni email mteja wangu walinitumia kutoka usa/uk na israel respectively. kwahiyo fanya haraka tuwasiliane. Namba yangu...
  12. S

    nauza laptop mpya!

    Dell inspiron 1580 17 inch widescreen,hardisk 100 GB ,RAM 1Gb zipo 5. bei sh.1200000 kila moja. kama unanunua zote kwa pamoja bei itashuka kuwa sh.1100000 kila moja. inamaana jumla zote 5 sh.5500000. simu yangu 0713902202. wahi mapema!!
  13. S

    Property Market in DAR...

    hiyo ni kawaida kila mahali uchumi wa nchi umelemea zaidi properties kama majengo,ardhi nk kwaio ukiwa na ela nunua nyumba nyingi sio magari.magari dhamani yake inashuka muda unavyozidi kwenda wakati majengo dhamani inapanda. kumbuka hivi karibuni hata uchumi wa ulaya na usa uliporomoka sababu...
  14. S

    Nifanyeje ili nipate mkopo wa kuanzisha biashara

    benki za hapa tanzania zinatumia siasa ya kusema tunakopesha ili ujiunge uwe na akaunti kwao lakini urasimu upo palepale wanatoa mkopo kwa watu wachache sana.inamaanisha biashara ya benki hapa tanzania bado ni changa sana kama ni mtoto basi ana wiki 1 toka kuzaliwa.wao wanamjali mtu tajiri aliye...
  15. S

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    hapa nakuunga mkono kwa hoja yako ya watanzania kuwa wavivu. asilimia 90 ya watanzania ni wavivu. maana utakuta kama mtu una dilizako za kutafuta ela na unakuwa na mishemishe nyingi za hapa a pale watu hapa bongo watakucheka , kukukejeli na kukushangaa. ndio maana utakuta wachaga wengi...
  16. S

    Ogopeni: Lilian Garden Bar Mikocheni

    kwa kawaida bar zote watumishi wakiwa wanawake huduma inakuwa mbaya sana! kama hukuwapa pesa au kinywaji wanasusa kukupa huduma.huwa wana kawaida ya kwenda kuwahudumia wateja wanaowapa pesa au kinywaji
  17. S

    Makabila Yetu na Urembo

    kwanza.wahehe ni kweli wanakula mbwa.kuna kipindi fulani nilikuwa nasoma mkwawa high school nikawa nimetamani kwenda kubadili menu kutoka menu ya shule kwenda kwenye menu ya uraiani nikafika kwenye kajimgahawa ka kiubabaishaji pale iringa mjini nikamuagiza muuzaji wali nyama akaleta wali na...
  18. S

    Wahaya tunachunguzwa sana katika mapenzi, why?

    ule mtindo wa katelelo wanaujua wahaya tu,ni kama unyago wa kihaya, kwaio unakuta kijana wa kihaya akiomba katelelo kwa dada wa kabila lingine inakuwa patashika nguo kuchanika,ndio maana ni bora kijana wa kihaya amuoe msichana wa kihaya wataona katelelo ni kitu ya kawaida,maana huko kagera...
  19. S

    Natafuta Mme !

    kwanini utoe tangazo la kutafuta mume kama vile unatoa tangazo la kununua nyumba au gari?? utaonekana haupo serious kutaka kuolewa.unanikumbusha jinsi wazee wenu wa huko mwanza wanavyotoa masharti ya kutoa ng"ombe ili uoe binti wa kisukuma. kweli utatulia nyumbani hata ukimpata huyo mwenye sifa...
  20. S

    Natafuta Mme !

    kwanini utoe tangazo la kutafuta mume kama vile unatoa tangazo la kununua nyumba au gari?? utaonekana haupo serious kutaka kuolewa.unanikumbusha jinsi wazee wenu wa huko mwanza wanavyotoa masharti ya kutoa ng"ombe ili uoe binti wa kisukuma. kweli utatulia nyumbani hata ukimpata huyo mwenye sifa...
Back
Top Bottom