Search results

  1. Self Scientific

    Kikwete kairudisha Tanganyika!! next...?

    Duuh! Them groupies just keep springing out of nowhere from the woodwork! :D
  2. Self Scientific

    Elections 2010 I'm done with Kikwete! - Say NO to Second Term!

    Hapana. Hilo nitamwuliza Dr. Slaa hata kesho. Ila kwa sasa naomba ufafanue nini haswa ulitaka kumaanisha kwa kauli yako ifuatayo hapa chini: .
  3. Self Scientific

    Elections 2010 I'm done with Kikwete! - Say NO to Second Term!

    Nothing. I am only interested in knowing what you mean exactly by
  4. Self Scientific

    Elections 2010 I'm done with Kikwete! - Say NO to Second Term!

    You need only speak for yourself in this case.
  5. Self Scientific

    Elections 2010 I'm done with Kikwete! - Say NO to Second Term!

    Kwa hiyo tufanyeje? Au na sisi tutafute mizizi mikubwa zaidi ya kuchimba?
  6. Self Scientific

    SOUJA GIRL...huyu hapa (Domokaya la Kinugu)

    How about this one: http://www.youtube.com/v/9cragF06qGc
  7. Self Scientific

    Elections 2010 I'm done with Kikwete! - Say NO to Second Term!

    Ewalaah! Swadaktaah! Alhamdulilaah! Takbiru alaah walibaahlu! Ila naona umesahau the constructive part of your criticism. Sasa baada ya kunena maneno mazito yenye jazba kubwa kama hayo; jee una ushauri gani kuhusu pendekezo au mapendekezo ya suluhisho la malalamiko uliyo nayo dhidi ya Kikwete na...
  8. Self Scientific

    Elections 2010 I'm done with Kikwete! - Say NO to Second Term!

    Naomba upunguze munkari mjomba. Kwanza hii hoja ilikuwa haihitaji mada maalum. Wazungu wana msemo fulani: bark is worse than bite. Hebu jiulize: pamoja na ushahidi wote uliyo wazi hakuna Mtanzania hata mmoja kati ya watu milioni 40 (Dr. Slaa na Rev. Mtikila included) aliyeweza kufungua mashitaka...
  9. Self Scientific

    SOUJA GIRL...huyu hapa (Domokaya la Kinugu)

    Hoodrat aka SOULJA GIRL goes crazy... http://www.youtube.com/v/-NZtGz_7WI0
  10. Self Scientific

    Kikwete kairudisha Tanganyika!! next...?

    People like you get all worked up when anyone dares challenge what you appear to accept as incontrovertible "divine truths" from your beloved sage. Its your problem though, I can't be bothered!
  11. Self Scientific

    Kikwete kairudisha Tanganyika!! next...?

    I am entitled to my opinion in here just as you, and everyone else for that matter, are free to make your views known in this board. What I'm against is narrow-minded, self-righteous individuals like you who take it upon themselves the task of influencing public opinion through persistent...
  12. Self Scientific

    Umasikini Tanzania tuwalaumu Waarabu au sisi wenyewe?

    :D Eebana mwanamalundi kulikoni? Naona umehusudu hiyo picha ya Gary Glitter akipata chai jaba eapoti Bangkok baada ya kufeki ugonjwa ...... hahaahaaa ... hii kali babu!! :D
  13. Self Scientific

    Umasikini Tanzania tuwalaumu Waarabu au sisi wenyewe?

    Kasome historia ufahamu na kuelewa. Bagamoyo ilishamiri sana kielimu enzi zile za utawala wa Waarabu na ilikuwa "centre of learning" kwa Wanazuo wa Kiislamu enzi hizo. Wazawa wa kwanza kujifunza kusoma na kuandika walipitia madrassa ambazo ni shule kamili kulingana na ustaarabu wa Kiarabu, na...
  14. Self Scientific

    Kikwete kairudisha Tanganyika!! next...?

    ????:confused:????
  15. Self Scientific

    Umasikini Tanzania tuwalaumu Waarabu au sisi wenyewe?

    Hata mtoto wa darasa la 5 atakwambia kwamba kihistoria Uislamu unatokana na utawala wa Kiarabu, sasa sijui unataka uthibitisho gani zaidi ya huo. Hiyo "miundo mbinu, elimu dunia" na sijui vitu gani unayodai hebu tuambie vyanzo vyake ni nani na wapi? Hebu tuwekee wazi. Ni "elimu dunia" ambayo...
  16. Self Scientific

    Kikwete kairudisha Tanganyika!! next...?

    Nishakwambia wacha utoto ndugu! Unajiabisha bure mtu mzima! Kama huna hoja kaa kimya, au siyo! Hiyo "sheria dha hapa jamvini" inaruhus pia kukaa kimya, nadhani unafahamu hiyo!
  17. Self Scientific

    Kikwete kairudisha Tanganyika!! next...?

    Wacha ushabiki wa kitoto wa kitoto wewe! Tangu lini kupinga ukiritimba wa maoni kwenye jukwa la umma likawa sawa na kutetea ufisadi?
  18. Self Scientific

    Umasikini Tanzania tuwalaumu Waarabu au sisi wenyewe?

    Haloo, sijui unazungumza vitu gani. Hebu tuliza boli. Hapa ni muhimu kutofautisha kati ya Uislamu na Uarabu; dini ya Kiislamu chimbuko lake haswa ni tamaduni na mfumo wa maadili unaotokana na jamii ya Kiarabu/Waarabu, kubali usikubali. Sijadai kwamba Waislamu wote ni Waarabu (au kuwa Muislamu ni...
Back
Top Bottom