Search results

  1. omarilyas

    Coalition of the willing kati ya Makamanda wa Mafisadi kivuli na Walinzi wa Mfumo Fisadi!

    Naamka na kukuta Warema na Wasemaji wa Serikali ndio wamekuwa kisima cha ukweli mbele ya manazi wa CHADEMA na Lema ndio amekuwa Malaika Msemakweli wao. Wanachosahau ni kuwa wakati wa Buzwagi yalisemwa hayahaya kuhusu mkataba na wakati wa EPA waliyasema hayahaya kuhusu Dr Slaa na list ya...
  2. omarilyas

    Huyu ndio Lwaitama... Sijashangaa!

    Huyu ndio Lwaitama... Sijashangaa! Nimesoma andiko la Dr Lwaitama. Mzee wetu na mwalimu wetu lakini pia mpambanaji wa kudumu katika mapambano ya kifikra. Nimeangalia andiko lake katika angle mbalimbali na kugh'amua sababu ya alichokiandika, sina uhakika kama ndio msimamo wake lakini nia ya...
  3. omarilyas

    SAS: Taking the stock and visioning Africa in the next fifty years

    Wanabodi, KEYNOTE ADDRESS BY DR. SALIM AHMED SALIM AT THE OCCASION AFRICA VISION AWARDS NEW YORK – 20TH MAY 2010 AFRICA IN THE NEXT FIFTY YEARS Excellencies; Ladies and Gentlemen It is a real honour for me to be invited at this auspicious occasion and to join you in celebrating this...
  4. omarilyas

    Viongozi waasisi wa Tanzania - Tanganyika na Zanzibar

    Ndugu wanajamii, Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia hili neno la waasisi wetu. Kwa kweli naamini kwa wengi wetu maana halisi ya waasisi wetu bado ni suala tata. Kwa muono wangu ni kuwa kuna waasisi na viongozi waasisi. Kutambua waasisi ni zoezi kubwa mno lakini naamini kwa manufa ya kimfumo ni...
  5. omarilyas

    Kamarade Mkili Gervas ametutoka

    Nasikitika kuwataarifu wanahrakati wote wa UDSM miaka ya mwishoni mwa 90's na mwanzoni mwa 2000's kuwa rafiki yetu, ndugu yetu na kiongozi wetu mpendwa Kamarade MKILI GERVAS ametutoka jana Jumapili asubuhi baada ya kupata mshtuko wa moyo. Msiba upo nyumbani kwake Mbezi Salasala, Dar Es Salaam...
  6. omarilyas

    Maslahi ya Waisrael yawachanganya MENGI na SAKINA DATOO

    Kuna taarifa kuwa maslahi ya Waisrael ndiyo chanzo cha aliyekuwa mhariri mtendaji wa magazeti ya IPP kama The Gurdian, Nipashe, Alasiri na mengineyo mwanadada Sakina Datoo kulazimika kuachia ngazi. Inasemekana kuwa Mzee Mengi aliamua kumshusha cheo Sakina kwa kumpeleka kuwa mhariri wa gazeti...
  7. omarilyas

    Tujadili PICHA hii

    Mimi nimejionea mengi naomba kuwasikia wenzangu pia...
  8. omarilyas

    Wafadhili wakata ufadhili wao BENJAMIN MKAPA FOUNDATION

    Nimepata taarifa kuwa wafadhili kadhaa wakubwa wamekata msaada wao kwa taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation. Ni wazi hili litakuwa pigo kubwa kwa Mzee Ben lakini pia kwa watanzania ambao walikuwa wakifaidika na mfuko huu. Kwa upande mwengine nadhani hili linaweza kuwa ujumbe makini kwa...
  9. omarilyas

    Kundi la Masha lageuza zengwe la ID kwa kundi la Membe

    Kuna taarifa nimezipata kuwa lile zengwe la kuingilia taratibu za tenda ya kuendesha mradi wa vitambulisho nchini limekuwa zaidi ya ulaji wa Masha. Hivi sasa sakata hilo limegeuzwa kama vita kati ya "akina Masha" Vs "akina Membe" Sakata hilo sasa limeelekea bungeni ambako sumu imepenyezwa...
  10. omarilyas

    Tunajiandaaje na Tanzania iliyo mfano na Zimbabwe ya sasa?

    Ni wazi kuwa kama hali ya kisiasa itaendelea kama ilivyo sasa huku watawala wakiendelea na imani potofu kuwa CCM ni Tanzania na Tanzania ni CCM, ipo siku nchi yetu itafika walipofikia makamarade wenzetu wa Zimbabwe kama sio kufikia hali mbaya zaidi ya wao. Kwa mtazamo wangu mazingira ya nchi...
  11. omarilyas

    "Mwalimuchair" mailing list

    Kwa wale wanaoamini umuhimu wa maisha na falsafa ya mwalimu nyerere kama kina sisi hii ni platform nyingine muhimu ya kujaribu kile wanachosema "keep the fire burining" Hii ni kazi ya Mwalimu Nyerere Chair on Panafricanism, UDSM kilicho chini ya mjamaa maarufu Tanzania Kamarade Issa Shivji...
  12. omarilyas

    NEC Dodoma: Nafasi ya mwisho kwa JK kutetea urais wake na kulinda Tanzania yetu

    Katika siku za hivi karibuni "vigogo" wa CCM wanakutana mjini dodoma kama halmashauri kuu ya chama ambayo kwa kawaida hufuata kikao cha kamati kuu. Ni wazi kuwa baada ya uovu wa EPA na dafalau la BUTIAMA rais Kikwete analazimika kutumia nafasi hii kuthibitisha umuhimu wa yeye kuwa rais wa...
  13. omarilyas

    Prof Shivji atunukiwa Kiti Cha Usomi cha Mwalimu Nyerere

    Wazee najitahidi kuwatupia mambo ya leo MLIMANI wakati wa kumsimika msomi wetu Prof Issa Shivji Kiti Maalumu cha Usomi Cha Mwalimu Julius kambarage Nyerere. yeye anakuwa msomi wa kwanza kutunukiwa kiti hicho ambacho ni cha kwanza cha mfanowe kuanzashwa katika vyuo vyetu hapa nyumbani. kiti hiki...
  14. omarilyas

    Prof Baregu, Prof Mwami, Dr Mkenda katika Jenerali on Monday

    Ndugu zangu waliopo viwanja vya nyumbani ambao mlipata nafasi ya kuangalia kipindi cha Jenerali on Monday jana wakiongelea miaka minane baada ya kifo cha Mwalimu tusaidieni kutupa mambo maana wengine ndio hivyo tena..... Tanzanianjema
Back
Top Bottom