Search results

  1. M

    Am back, the New Dr. Marcossy Albanie

    Na iwe kama impendezavyo Yeye, nanyi wanadamu ni wake.
  2. M

    Why is Tanzania poor?

    Tanzania: kama familia ya mama Pekupeku Nani aje kuisimamisha nchi yetu katika mzunguuko huu wa matukio na umasikini? Kwa maana bila yavyo, hatutoki ng'oo! Kwamba ukiitafakari nchi hii, na yale YANAYOTOKEA siku hata siku, utabaini kuwa tuko kwenye mzunguuko wa matukio na matumizi. Ndio, tuko...
  3. M

    Am back, the New Dr. Marcossy Albanie

    ukitaka eBook US$ 10 tu
  4. M

    Am back, the New Dr. Marcossy Albanie

    Wagumu, Baada ya takribani miaka minne ya uvumilivu na kujitenga nimerejea hapa jukwaani tuendelee kujadiliana na kupashana habari zenye tija kwa nchi yetu. Miaka minne hii niliitumia kwa mambo makubwa matatu: 1. Kujiendeleza kielimu na kukamilisha utafiti: Hii ikumbukwe ni kujiweka sawa kiakili...
  5. M

    Wazanzibar wafunguka kuhusu Dr. Slaa; Wamesema hana sifa za kuwa kiongozi bora!

    Napendekeza watu walipie post zao humu.... wangekimbia wengi kama kulipia pumzi.
  6. M

    Itv kipima joto: Je mapambano ya rushwa, jamii inawezeshwa katika mapambano hayo

    Du... Sikujua kuna haya yanaendelea. Nashukuru kwa maoni yenu pia.
  7. M

    Mwanaharakati Albanie Marcossy atoweka kunusuru maisha yake

    Naamini ujumbe huu utamfikia The Boss pia, Kuwa kila kitisho cha usalama kina mazingira yake na namna yake ya kukikabili: Kukimbia ni moja ya mbinu ya kumkabiri adui popote! Na sasa nimerudi nikiendelea kutekeleza kile ninachoamini. Kwa taarifa tu, nilipata taarifa za kuwepo mpango wa uovu juu...
  8. M

    Taarifa: Usalama Wangu Hatarini

    Siku ukijitambua na kutambua hali na mbinu za kuimarisha na kusimamia usalama wako, utatubu! Salaam za kheri.
  9. M

    Lwakatare atakiwa kuachia ngazi kukinusuru chama na kuchafuka

    NADHANI MSOME KWANZA TAMKO LENYEWE: CIVIL AND POLITICAL RIGHTS WATCH The Citizens' Parliament watch Leo Machi 21, 2013 TAARIFA KWA UMMA JUU YA HALI YA KISIASA NA USALAMA NCHINI Taarifa hii ni matokeo ya ufuatiliaji shughuli za kisiasa na mwenendo wa haki za Raia unaoendelea hivi sasa...
  10. M

    Taarifa: Usalama Wangu Hatarini

    Pole sana, Chukua hatua za haraka za kujihakikishia usalama wako. Baada ya hapo wasiliana na wadau wengine wakusaidie kuwa salama na kuendeleza unayodhani ni azma yako kwa faida ya nchi yako. Karibu Tanzania: Mungu akulinde.
  11. M

    Mwanaharakati Albanie Marcossy atoweka kunusuru maisha yake

    Wana Jukwaa, Nawashukuru nyote kwa namna ya pekee kujali na kupaza sauti zilizowatia hofu watesi wangu na kunijaza ujasiri wa kurejea katika uwanja huu na mapambano ya mabadiriko Tanzania. Kusema kweli sina maneno kwa namna eyote kuweza kuwasilisha shukrani zangu ipasavyo: Naomba itoshe...
  12. M

  13. M

    Only Smart people can read this....

    Tafadhali kwa watanzania walio tayari kuitumikia nchi yao kwa moyo wote walio ndani ya mtandao wa JF, mnakaribishwa kujiunga katika timu muhimu inayoundwa hivi punde. KAZI: Kupika chakula bila kujijali binafsi. SIFA: Kujitoa. Tuma maombi na sifa zako kwa marcossy@yahoo.com kabla ya J5 hii ya Idd...
  14. M

    It specialists: Please help!!

    ONA HII Tafadhali kwa watanzania walio tayari kuitumikia nchi yao kwa moyo wote walio ndani ya mtandao wa JF, mnakaribishwa kujiunga katika timu muhimu inayoundwa hivi punde. KAZI: Kupika chakula bila kujijali binafsi. SIFA: Kujitoa. Tuma maombi na sifa zako kwa marcossy@yahoo.com kabla ya J5...
  15. M

    madaktari watatu

    NIMEKUPATA: Tafadhali kwa watanzania walio tayari kuitumikia nchi yao kwa moyo wote walio ndani ya mtandao wa JF, mnakaribishwa kujiunga katika timu muhimu inayoundwa hivi punde. KAZI: Kupika chakula bila kujijali binafsi. SIFA: Kujitoa. Tuma maombi na sifa zako kwa marcossy@yahoo.com kabla ya...
  16. M

    Jairo hana kosa

    Siku zao zahesabika. Kwa wale wenye mawasiliano ni pm. Chef
  17. M

    Kikwete aelekea Msoga Bagamoyo kujiweka sawa!

    Du lakini inatisha kweli, Sina uhakika kama bado yu hai: MBONA MSAFARA WAKE UNA - AMBULANCE, MADAKTARI BINGWA NA HATA GARI LA ZIADA??? Kwa kweli napata wasiwasi mkubwa kama anayetuongoza bado ni yeye, au vinginevyo... Au ye amebaki kupokea jezi za wachezaji wa Marekani tuu Ikulu.?? Akkhh.
  18. M

    Naomba kutoa hoja.......

    ‎"Think kiasi gani tumepoteza kama taifa, Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi! TICTS, RADAR,NDEGE YA RAIS, SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE, TWIN TOWERS BOT, MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini), KAGODA(EPA), MEREMETA, RICHMOND/DOWANS, WAKUU WA MIKOA...
  19. M

    Tuandamane kabla ya kamati ya bunge

    ‎"Think kiasi gani tumepoteza kama taifa, Kwa nini jasho letu linatumika vibaya hivi! TICTS, RADAR,NDEGE YA RAIS, SAFARI ZA NJE YA NCHI-UTADHANI YEYE NI WAZIRI WA MAMBO YA NJE, TWIN TOWERS BOT, MIKATABA ISIYO NA TIJA KWA NCHI(Madini), KAGODA(EPA), MEREMETA, RICHMOND/DOWANS, WAKUU WA MIKOA...
  20. M

    Picha ya Siku

Back
Top Bottom