Search results

  1. H

    Magazeti yatia aibu kupotosha hukumu dhidi Mwanahalisi

    Naona ni kweli kilichoandikwa maana hata RAIA MWEMA nanukuu"kwa mujibu wa nakala ya hukumu ambayo raia mwema imeipata. ROSTAM ANATAKIWA SASA KULIPWA FEDHA HIZO KAMA FIDIA YA KUKASHIFIWA KATIKA HABARI ZILIZOANDIKWA NA MWANAHALISI"mwisho wa kunukuu. Sasa waungwana kama hivyo ndivyo ilivyo si...
  2. H

    Wanafunzi UDSM wafa Njaa!

    Nipo SUA hali pia ni mbaya sana kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza na wa pili watoto wa wakulima wapo taabani wanakula chai na mkate kama mlo wa siku nzima,unategemea nini kwa msomi huyu? ndugu zangu inatia uchungu watu wanajuta kuzaliwa katika nchi ambayo vipaumbele vya watawala ni kinyume na...
  3. H

    For your EYES ONLY: From Salva to Rostam

    Nackia kufakufa nimekumbuka wakati fulani akina RA na crew yake wakimtuhumu Jk kuwa ni saawa na mtu aliyeokotwa njiani akapewa lifti akafikishwa mjini na baada ya kufika akawatosa waliomtoa porini na kuwakimbilia walomwacha msituni katika hili walikuwa wanamlaumu bure maana inaonyesha bado wako...
  4. H

    Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?

    penny uko mbali ni wapi kusikofika VCD au DVD? tukutumieje mtandaoni au manual?
  5. H

    Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?

    nyati sikuelewi unakerwa na kuona maiti wa ajali ya dodoma kwenye video ya Bukuku? aah hiyo haiwezi kuwa sababu ya msingi
  6. H

    Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?

    dgeouff Bukuku amepita katika mambo mengi hasa katika ndoa yake na kuandikwa sana na magazeti ya mlokole shigongo hivyo unaweza kuona hata message za nyimbo kama Esther pale anpomalizia kwa kuwashtaki ma Naamani wanaoodhoofisha huduma zisiendelee mbele, pia katika wimbo 'ukiinuliwa na Mungu juu'...
  7. H

    Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?

    Mkubwa hao wote mie naona wanafanana sana kwani licha ya kutofaotiana aina ya mapigo ya muziki wao bukuku ni kama alikuwa anataka kuwajibu watu katika albamu yake ya mwisho na muhando amebaki kuwa mburudishaji zaidi kuliko kuwa muhubiri. ukitaka tujadili nani zaidi mkubwa labda ungekuwa specific...
  8. H

    Hamjambo wapenzi wangu!

    Kaka Mkubwa how people become great thinkers? are they born? Practice/learn? usimkosoe mapema hivyo utampunguzia kujiamini mkubwa
  9. H

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We believe in Arsene wenger
  10. H

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mliiona mechi ya WBA? Ngoma za kitoto hazikeshi gepu la point 3 na point zetu nyingine kwa man U, Liverpool na wazee wa recruit makocha ulaya nzima
  11. H

    Tanzania National Identities

    Hana lolote mkuu nchi imemshinda
Back
Top Bottom