Search results

  1. gost

    Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

    :cool::cool::cool::cool: Ni ujinga uliopitiliza kuchukua maneno ya kampeni za uchaguzi mkuu 2015 huku mitandaoni kuyaleta leo na kujengea mjadala kwa lengo la kutathimini tabia ya mtu.tukifanya hivyo hatabaki mtu salama na zaidi tutakuwa kizazi cha wajinga wa mwisho nchini Lakini masikitiko...
  2. gost

    Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

    A Wote wapo Kazini ila mbinu tu tofauti
  3. gost

    Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

    Hahahaaaaa... Watu kama nyie ndo mnaturudisha nyuma tz is full of conspiracy
  4. gost

    Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

    Hahaaaaa .... Una jisahaulisha
  5. gost

    Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

    Ndo una mcheka mwenzako au hahaha
  6. gost

    Kilio hiki bwana Lowassa utakilipia kabla ya 2015

    Hahahaaaaa naona usha anza kazi ulio tumwa.....soon the truth to be out
  7. gost

    Balozi Dr. Slaa uso kwa uso na wabunge 14 wa CHADEMA kwenye msiba wa mdogo wake

    Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa akiteta na Mbunge wa Arusha Mjini -Chadema ndugu Godbless Lema kwenye mazishi ya mdogo wake Francis Peter Qamara. Mazishi hayo yamemkutanisha na na Wabunge na Viongozi wa CHADEMA.
  8. gost

    Mpende, mchukie lakini Zitto anaendelea kuwa mwanasiasa adimu katika Tanzania yetu

    Maneno haya ni ya ukweli na kukatisha moyo huja toa ufumbuzi Ila Chadema wakae wakielewa kuwa kama ilitokea kwa Kamanda Mashaka, ikatokea kwa Diwani Luwena na ikatokea kwa yule kada wao wa Hananasifu jijini Dar, ambao wote waliuawa kinyama, na kama imetokea kwa “kupotea” kwa Ben Saanane...
  9. gost

    Nikipata sababu za kitaalam na zenye mantiki kwanini Rais Magufuli hapendi kusafiri ng'ambo nitashukuru

    Chezea kupinduliwa ww hali sio shwari hadi ndani kwake
  10. gost

    Kutoka Kisutu: Mbowe na viongozi wengine sita wa CHADEMA Wapata dhamana

    Ingekua kibatala analiopwa angekua tajiri kwa awamu hiiii. Yaani ni bandika bandua katoa viongozi wakuuu wamekamatwa wengine yaani kama kamchezo vile
  11. gost

    Kutoka Kisutu: Mbowe na viongozi wengine sita wa CHADEMA Wapata dhamana

    Yaani hawa police Mmmmmmm Tumetoa sita wamekamata 25
  12. gost

    Tetesi: Kweli Magufuli na msafara wake wana roho mbaya hadi GARI za wagonjwa zazuiliwa, bora yeye apite

    Yaani akiwa anatokea kwenye uzinduzi maeneo ya banana kuna njia ya kutokea kinyerezi wakafunga barabara kwa SAA kaza ila baya zaidi hadi GARI za wagonjwa zimezuiliwa yaani hawajali hata wagonjwa mbwa kweli hawa
  13. gost

    Kutoka Kisutu: Mbowe na viongozi wengine sita wa CHADEMA Wapata dhamana

    Nini kina endelea huko mbona kimya
  14. gost

    Ningependa kumjua msemaji rasmi wa wakazi wa Dar es Salaam

    Nyie wamikoani mbona siwasikii awamu hii aau hakuna wanaume huko
  15. gost

    Lema: Nimepata taarifa za ndani kuwa ninatafutwa na Polisi baada ya mkutano na waandishi wa habari

    Hahahaha naona una toa oder kijanja nini police wafanye
  16. gost

    Lema: Nimepata taarifa za ndani kuwa ninatafutwa na Polisi baada ya mkutano na waandishi wa habari

    Hahahaha naona una toa oder kijanja nini police wafanye
  17. gost

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Mpango huu umesukwa kwa ustadi wa juu sana na wabaya wa awamu hii ya 5 kushirikiana na baadhi ya maafisa wa serikali bila Mkuu kujua nia yao .bila kujua kua viongozi wa juu hawawezi toa tamko la maandamano la tarehe 26/4/2018 Bali wana weza fanikisha hilo kwa kuwekwa ndani na kumwacha kubwa la...
  18. gost

    Ni maandamano au ni mapinduzi?

    Lizaboni Hahhaha unataka wajichanganye humu muwashugulikie
Back
Top Bottom