Search results

  1. yassin12

    Kufutiwa matokeo

    Baraza hawakuleta majibu yoyote ila tume ilioundwa na waziri mkuu ilifika shuleni na kuwahoji wanafunzi juu ya tukio lote lililotokea siku ya mtihani mpaka kusababisha baraza wafute matokeo hayo na kugundua kua ni usimamizi mbovu na mwalim kuhamisha kazi ya mwanafunzi mmoja kuwapa wengine na...
  2. yassin12

    Kufutiwa matokeo

    Mwanafunzi kufutiwa matokeo yake kwa makosa ya walimu au utendaji mbovu au kuonewa kwa njia yoyote ile na baraza la mitihani wakapewa habari hyo kuhusu uonevu huo na bado wakakaa kimya mwanafunzi yupo mtaani tu anatumikia adhabu kutokana na utendaji mbaya wa watu wengine NINI KIFANYIKE HAPO JAMANI
  3. yassin12

    Makosa ya Mwalimu na Msimamizi yametuponza wanafunzi

    mimi kwa jina naitwa Yassin Said Athumani ni kijana ninaeishi morogoro ni mmoja kati ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne katika shule ya Jabal hiraa seminary school lakini matokeo yang yalifutwa na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA kwa madai kuwa katika majibu yangu somo moja la mwisho...
  4. yassin12

    Ufutwaji wa matokeo ya kidato cha nne 2012

    mimi ni mmja kati ya wanafunziwalofutiwa hayo matokeo ila na mimi nilienda baraza la mitihani na kuwapa barua yang na kukanusha madai hayo ya kufanya udanganyifu ktk exams room
  5. yassin12

    Kufutwa kwa matokeo

    mimi kwa jina naitwa Yassin Said Athumani ni kijana ninaeishi morogoro ni mmoja kati ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne katika shule ya Jabal hiraa seminary school lakini matokeo yang yalifutwa na BARAZA LA MITIHANI TANZANIA kwa madai kuwa katika majibu yangu somo moja la mwisho...
  6. yassin12

    Ufutwaji wa matokeo ya kidato cha nne 2012

    Naomba nieleweshwe kitu hapo vp kuhusu wale wanafunzi 700 waliofutiwa matokeo kabisa
  7. yassin12

    Matokeo Necta2012Kutenguliwa

    Alaf jaman mwanafunzi anafutiwa matokeo yake na sababu za kufanana kwa mitihani ikiwa undani wake sababu zinajulikana,, paper ya computer practical wakat wa ku print kaz zinatoka nying na kukuta wanawekewa na wengine majib ya mtu mmoja tu hili baraza wanalizungumziaje na kuna uhakika wa...
  8. yassin12

    Matokeo Necta2012Kutenguliwa

    Kwan matokeo kua mabaya au mabovu nani atatakiwa kuwajibika
Back
Top Bottom