Search results

  1. Jubest

    Japo nimekosa kazi TRA lakini ningependa kuwashauri mambo kadhaa Utumishi

    ushauri wa bure fanya utafiti kwa kina halafu uandike kwenye mitandao nina uhakika asilimia mia moja huna unalifahamu kwa huyu unayemzungumzia kuwa na hakika na jambo ulisemalo
  2. Jubest

    Japo nimekosa kazi TRA lakini ningependa kuwashauri mambo kadhaa Utumishi

    usipende kusema uongo kigogo yupi acha kuchafua majina ya watu
  3. Jubest

    Japo nimekosa kazi TRA lakini ningependa kuwashauri mambo kadhaa Utumishi

    Kuwa na uhakika na usemalo usiseme uongo bila sababu
  4. Jubest

    Japo nimekosa kazi TRA lakini ningependa kuwashauri mambo kadhaa Utumishi

    Nina hakika humfahamu vizuri na unaenda kisa la jinai la mitandaoni fanya uchunguzi wa kina ndiyo utoe taarifa sahihi angalia usijeingia kwenye matatizo kwa ushauri wangu naiomba umutake radhi na ufute kauli yako
  5. Jubest

    Japo nimekosa kazi TRA lakini ningependa kuwashauri mambo kadhaa Utumishi

    Huyu mariam silas malipula unamfahamu vizuri au umeamua kuchafua
  6. Jubest

    Sh. 2000/=

    mtu akiomba bia mpe bia ukimpa pesa atakuzalau tu hatatosheka na hiyo pesa
  7. Jubest

    Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

    hawa ni watu wazima ailimia mia moja wamekubalina hakuna mbakaji, hapo wajua tenakiangazi arthi ikikauka walau manyunyu yakipta inashukuru.ulicho kiona kishie machoni mkeo asijue ugomvi huumalizi.
  8. Jubest

    Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

    wacha balizi hayo machache.........
  9. Jubest

    Hivi kutongoza ni kosa?

    sifa kubwa mwanamke aliekamilka ni kutongozwa hatakama ni mke wa mtu (kama wewe nimtokaji au unashuguli za hapa na pole ndani siku 7 lazima ukutane hilo hata kama ni utani ,utani mwisho kweli)
  10. Jubest

    Ephraim Kibonde Jahazi Show

    hao wavuvi watmpakura
  11. Jubest

    Elections 2010 Shibuda kateleza au ni mazoea tu? hebu sikiliza video hii

    mazoa yanatabu hata mtoto mdogo anawezakuita baba (badala mama)
  12. Jubest

    Dr slaaa kupewa uwaziri...

    na sikia atakuwa waziri mkuu
  13. Jubest

    Mke wa ndoa na Housegirl nani mtamu?

    navyofahamu HG nikama mwanao kumuendea kinyume ni dhambi kubwa sana hebu fikiria HG akiugua au andoke huwa kinatokea nini ?hawa wanaofanya hivi ni wale walioksa maadili au hawakwenda jando, huyo ndio dereva siku akiamua kuwatumbukiza mtoni hakuna ujanja,.halafu hawa ni wale wenye zege mdomoni...
  14. Jubest

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    hongera kwa kuwacho
  15. Jubest

    Msaada laptop yangu yenye vista iko very slow

    fanya update ya windows mara kwa mara
  16. Jubest

    Msaada laptop yangu yenye vista iko very slow

    ondoa hiyo norton inakawaida hiyo weka kasrsky
  17. Jubest

    Elections 2010 Makamba: Watanzania Watasahau .... Watatupa tena!

    tunaomba wateleze kwenye usipika watjua wtz wamelala?
  18. Jubest

    Hukumu ya Zombe: Aachiwa!

    huyu mtu hukumu yake haiko mahakamani iko kwa wanananchi wenyewe.yawezekana mahakama isineone kosa kwasababu hakushuhudia lolote
Back
Top Bottom