Search results

  1. M

    Gazeti la Uhuru Vipi Tena?

    Gazeti hili limetoa picha za majeruhi wa mabomu Mbagala ukurasa wa mbele wakiwa wamelazwa chini wawili wawili kwenye godoro moja. Binafsi sijafurahishwa na picha hizo likiwa ni gazeti la chama tawala lisingeonyesha picha hizo. Wengine mnasemaje?
  2. M

    utwana hutaishi tanzania

    Pamoja na nchi hii kupata uhuru wake miaka zaidi ya 40 sasa bado kuna watu wanatumikisha na mabwana makubwa na kunyanyashwe na pia kudharauliwa. wakati wa ukoloni mababu zetu walitumikisha na kuitwa makabwela. watu wasio na kitu. lakini hadi sasa watu ni maskini wa kutupwa. cha kushangaza...
  3. M

    Mh Masilingi vs Prince Bagenda

    Wakuu hivi kwa nini wanasiasa wa Tanzania wanapenda sana kupakana matope? Badala ya kuweka kipaumbele cha kuleta maendeleo kwa wananchi wake wao kazi kusemana tu. Ndio maana hutuendelei, sasa hivi wanafikiria uchaguzi wa 2010 hakuna cha ahadi walizotoa 2005. Kusema kweli huyu mtu anitwa...
  4. M

    Na hii ya viongozi wa UWT je?

    mwenyekti wa uwt Sofia Simba ametangaza safu ya viongozi (wajumbe) wanzake 5 watakao fanyakazi nao ni:- Hawa ghasia shamsha mwangunga zakia megheji zainabu shomari thureya abdala kamati ya utekelezaji pamoja nahao hapo juu ni lucy mayenga fatuma toufiq...
  5. M

    uchambuzi wa magazeti

    Nina omba kueleweshwa hivi ni sawa redio kutumia takribani saa nzima inachambua magazeti mawili tu tena ya jioni ? Hapo biashara ipo kweli kama hata barua za wasomaji inasomwa.Kuna sheria yeyote inayohusiana na hili. Mwenye uelewa atueleweshe.
  6. M

    waziri huyu vipi

    wakati wa mapokezi ya taifa stars waziri mmoja kwa furaha alisema kuwa atahakikisha anapata upenyo wowote mpaka aende ivory coast kuona mashindano ya kutafuta mabingwa nyumbani.hii haijakaa sawa ni kwa gharama za nani. kazi kweli kweli
Back
Top Bottom