Search results

  1. Gelange Vidunda

    Hamisi Taletale na PhD ya USD 2,500

    Degree kutoka kiwandani - degree yenyewe kubwa namna hii? Khaaa!!
  2. Gelange Vidunda

    Kuna baadhi ya watumishi wa umma wanapiga perdiem za maana sana huko tamisemi

    Hivi TAMISEMI si Ipo Dodoma muda mrefu? Sasa hao wanakula per diem wakati bado wapo hapo hapo Dodoma? Hebu pata facts vizuri kuhus huo mradi, wizara na hiyo ps3 (ni nini hii?) halafu weka vizuri hoja yako. Sasa hivi unaonekana kama santuri iliyovunjika - hoja zako zinagongana.
  3. Gelange Vidunda

    Sakata la Uber na Madereva Taxi jijini Dar: Ushauri kwa RC Makonda

    Mkuu wa mkoa itabidi akae pembeni kwa hili kwani yale teksi bubu lazima zisajiliwe kama gari ya biashara na ipate mkanda wa wilaya yake husika. Mapato kwa serikali hayo mkuu wa mkoa hawezi kuingilia. Mfanya biashara wa taxi atakuwa mwehu kukata huduma ya Uber ambayo inamletea wateja na harudi...
  4. Gelange Vidunda

    Kiwango cha Elimu Tanzania: Nani alaumiwe?

    Mungai: Takwimu zinathibitisha mafanikio yangu ya Elimu bora Luqman Maloto Wizara ya Elimu kama ambavyo imekuwa ikibadilishwa majina kwa nyakati tofauti na kuunganishiwa majukumu mengine kadiri inavyompendeza Rais wa wakatihusika, ndivyo pia wamepita Mawaziri wengi walioiongoza. Kila mmoja...
  5. Gelange Vidunda

    Mungai: Takwimu zinathibitisha mafanikio yangu ya Elimu bora

    Aliyekuwa Waziri wa Elimu katika Serikali ya Awamu ya 3 ya Raisi Benjamin Mkapa, Joseph Mungai, afunguka na kujadili kwa kina kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika elimu Tanzania wakati wa kipindi chake. Ifuatayo ni nukuhu alipokaa na mwandishi wa habari Luqman Maloto, na kuchapishwa na gazeti...
  6. Gelange Vidunda

    Mungai: Takwimu zinathibitisha mafanikio yangu ya Elimu bora

    Aliyekuwa Waziri wa Elimu katika Serikali ya Awamu ya 3 ya Raisi Benjamin Mkapa, Joseph Mungai, afunguka na kujadili kwa kina kuhusu mafanikio yaliyopatikana katika elimu Tanzania wakati wa kipindi chake. Ifuatayo ni nukuhu alipokaa na mwandishi wa habari Luqman Maloto, na kuchapishwa na gazeti...
  7. Gelange Vidunda

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Hajawahi kutabiri hivyo hata siku moja!
  8. Gelange Vidunda

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Nadhani kasema ilishatokea huko nyuma, kwamba watu walikuwa wanacheza na kunywa na bomu likalipuka. Kampala at 2 places come to mind during the 2010 World Cup RSA. Sasa, kuhusu kumteka Kaguta.........sijui!!!!
  9. Gelange Vidunda

    Kinachotokea Iringa, Tafsiri Yangu...

    Naona hapa kuna watu ambao hawajui nini kinaendelea mpaka kuanza kuandika maneno ya karaha - kuwa na mke mzungu kunaingiaje hapa? Kwani Maggid kavunja sheria yeyote? Ameanza kwa kusema kwamba "...aonavyo yeye...". He, Maggid Mjengwa, like everybody else, is entitled to his own opinion...
  10. Gelange Vidunda

    Ushabiki pembeni,Mr. Membe is far better than Mr. Kikwete

    What BS! Yeye ni Amri Jeshi Mkuu kutangaza tutaritaliate against M23? Kweli unabase uwezo wa Membe over Kikwete kwa sababu ameshindwa kutoa maamuzi kuhusiana na nani achinje? Really? What has Membe done for this country? Wilaya yake je? our whole statement is pathetic really....my opinion.
  11. Gelange Vidunda

    Presidential Delivery Unit - Kitengo kipya chini ya Rais - chatengewa Bilioni 29!

    Ceteris paribus, one must learn from someone who has succeeded in doing things, i.e. learn from one who is successful (legally, I might add!) Malaysia is that someone, that entity that has done well and succeeded. they have put their success here: PEMANDU - Performance Management Delivery Unit...
  12. Gelange Vidunda

    Lowassa amponza Kibanda: Taarifa za awali zahusisha kutekwa na urais 2015

    Uoga wangu usije ukawa ni yale mambo ya Said Kubenea, mambo ya kishenzi na wake za watu huku wakidai eti ni maswala ya kisiasa!! Swali langu ni moja tuu: Hivi katika siasa za Tanzania kweli mwandishi wa habari amekuwa muhimu/tishio kihivyo mbaka waanza kuwa eliminated? Sipati picha hiyo kwa...
  13. Gelange Vidunda

    Hatimaye serikali yaamua kunyoosha mikono... Gesi sasa kubaki Mtwara!

    Hii taarifa imetoka wapi? Manake mpango wa kujenga "...... mtambo mkubwa wa uzalishaji umeme huko huko Mtwara." ulikuwepo tangu zamani. In fact, sasa hivi gesi ya Mnazi Bay inabadilishwa kuwa umeme pale Mtwara mjini ambapo kuna 12MW tayari zinasambazwa Mtwara na Lindi. Hii taarifa potofu -...
  14. Gelange Vidunda

    Press Release Leo: Serikali Isitishe Mara Moja Ujenzi wa Bomba la Gesi kwenda Dar- Wana Mtwara

    My question exactly!! Artumas walishatengeneza kiwanda cha kubadili gas kuwa umeme long time!!! Lindi na Mtwara na vitongoji vyake vina MW12 kati ya uwezo wa MW18 tayari in place!! Wakati watu Dar na TZ yote kwa ujumla wanalalamika kukatwa umeme mara kwa mara hawa ndugu zetu Mtwara na Lindi...
  15. Gelange Vidunda

    Mtwara developments: A different point of view and additional information

    On another thread I presented these "facts" - the government has already implemented a gas to electricity project for the people of Mtwara & Lindi! http://www.wentworthresources.com/pd...%20Project.pdf. Also: refer to this link: http://www.wentworthresources.com/pd...ual_Report.pdf Refer to...
  16. Gelange Vidunda

    ''kwa sababu hizi gesi lazima ibaki MTWARA NA SIO KWENDA BAGAMOYO"

    Then you should read this and make your concerns available: http://www.mem.go.tz/wp-content/uploads/2012/11/Natural-Gas-Policy-Draft-Management-MEM-29-October-2012.pdf
  17. Gelange Vidunda

    ''kwa sababu hizi gesi lazima ibaki MTWARA NA SIO KWENDA BAGAMOYO"

    read and know the facts, my brother(sister?). name calling and stupid innuendos does you no good! Like I told the other diehard: Mnanichekesha kweli! Ndio maana watu wengine wasio waAfrika au weusi hutucheka kwamba ukitaka tusijue nini kinaendelea duniani basi weka kitu hicho kwenye...
  18. Gelange Vidunda

    ''kwa sababu hizi gesi lazima ibaki MTWARA NA SIO KWENDA BAGAMOYO"

    Mnanichekesha kweli! Ndio maana watu wengine wasio waAfrika au weusi hutucheka kwamba ukitaka tusijue nini kinaendelea duniani basi weka kitu hicho kwenye maandishi na mijitu (kama nyinyi - masluphill, mbwilo shadrack, et al) hamtasoma! Once again refer to this link...
Back
Top Bottom