Search results

  1. W

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Wazanzibar watambue mwisho wa muungano ndiyo mwanza wa mwisho wao kiustawi, kwani wengi wao ni wafanyabiashara wanaotegemea soko na bidha za bara. Kwa hayo wajue soko lao halitakuwa na mazigira yaleyale, itakuwa sawa na kununua na kupeleka bidhaa malawi au uae. Ndugu zetu wachina na india...
  2. W

    Guatemala: Kipengele cha Katiba yao kinafaa kuwepo kwetu pia

    Tuwe wakweli, hivi watoto na jamaa wa karibu wa maraisi wanaorithi wako africa tuu!! Vipi bush junior and senior ???
  3. W

    CHADEMA kisisikilizwe tena!

    kwa nini hoja zake zisijibiwe kwa hoja. Je ni kweli cdm waliwatumia wabunge wateuli kule katika halimashauri ya hai, na ilikuwa halali kisheria ama la. Na ccm walikuwa na nafasi gani kisheria kumtumia mbunge wao wa kuteuliwa. Kubwa sheria inasemaje kuhusiana na sakata hili??
  4. W

    Pweza: Oct, 2010

    hiyo ya pweza 'paul) na oct, 2010 imekaaje?
  5. W

    Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

    hiyo imekaaje: Oct, 2010??
  6. W

    General Tyre: Is it a slow death to a once an East Africa Giant??

    lets try the same way jerry of ghana did, by applying the firing sguard; kwani imekuwa fudisho kiasi kwamba uchaguzi wao ni mfano africa
  7. W

    Obama coloured kenya?

    Kwa pamoja watanzania tuungane kwani OBAMA ni mjomba wetu, Porfessor Sarungi amelithibitisha hili, hivyo tusiwape wakenya nafasi kwa hili. Wacha tarime kijiji cha KOWAK kiwe new American tourist destination.
  8. W

    Tanzania: Utawala bora vs Rushwa

    Hili ni tatizo la KITAIFA; watu wasiostahili kuwapo katika nafasi fulani ndiyo unawakuta. Katika maeneo mengi ya serikali kutoa huduma kujuwana ndiko kunatawala katika kupeana nafasi no transparency in allocating\recruiting staff in most of governments departments\institutions. Kubwa bado...
  9. W

    Restructuring - Jiji la Dar

    Asante kwa kuwa muona\mtaka maendeleo. Nakubaliana na mawazo yako kwa 100%; pamoja na wachangiaji wengine. Tatizo la viongozi wengi wa nchi hii ni kutokuwa na UWEZO wa ubunifu hata kwa mambo ambayo siyo very much technical; wengi wao wanajua kujaza matumbo yao tu; na ni kwa leo tu wala si...
  10. W

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    mgambo nilikaa mwezi tu; kwani nilichangamkia bogi la maramba; ticket ilikuwa packet moja ya sigara-sm. Maramba nilikuwa ikulu, kila week end tanga nyumbani; nikirudi mkate, sukari na sigara quater gurd ilikuwa kwa wengine wasikuwa na 'mm' kama hizo
  11. W

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Kwa kweli nimesisimka sana kwa yote; kwani limepelekwa mbali sana na kila mchangiaji. Mimi nilianzia mgombo-kabuku tanga na kumalizia maramba; 1989\90.lamsingi kwa wadau wote ili historia isipotee; ni vyema ifanyike documentation na hatimaye itayarishwe video series\film. Hapo tutakuwa...
  12. W

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Kuwapo Kwa Mahakama Ya Kadhi Popote Duniani Huwa Ni Kwa Misingi Ifuatayo I) Ni Kwa Ajili Ya Waislamu 2) Tena Waislamu Wenye Imani Ya Dhati Na Dini Yao 3) Amboa Kwa Hiari Yao Wenyewe Wataamua Kutatua Matatizo\migongano Yao Kupitia Mahakama Hizo 4) Na Mambo Ambayo Yatapelekwa Huko...
Back
Top Bottom